Search results

 1. super thinker

  Career women: Nisaidieni katika hili

  Du, too hot lkn kwann walioana in the first place, Ushauri: Familia kiujumla na kibusara ni Mama, kama Mama anakosa muda wa kutosha na familia yake then kuna possibility kubwa sana kwa familia kutokuwa stable, kwa mfano, hapo tyr mtt amepelekwa boarding katika umri mdogo sana meaning kwamba...
 2. super thinker

  Ripoti ya Twaweza ya #SautiZaWananchi: Magufuli na CCM wang'ara dhidi ya wapinzani - Sept 22, 2015

  Sasa hasira imehamia mtaani...........sasa ni man to man campaign, hakuna lori, hakuna basi, hakuna posho, hakuna fulana, hakuna kofia, kiu ni mabadiliko, mtanzania changamka hakikisha una watu 50 walioelewa dhana ya mabadiliko na watakaopigia kura mabadiliko, M4C original sio "MforC" Inachosha...
 3. super thinker

  Kumbuka Kuhakiki

  Vurugo zooooote hizi zisitufanye tukasahau kuhakiki vitambulisho vyetu vya kupigia kura maana you never know what happens Kindly, nenda kajihakiki
 4. super thinker

  Nimemtafutia kazi sasa anakataa kutoa penzi kwa bosi, mimi nimfanyeje?

  jean phillipe beyun Inbox me her number I honestly assist her in searching for another Job.............you are not her brother but rather a killer, na I dont believe the world has a person of your type
 5. super thinker

  Gari ya Biashara Inauzwa - ISUZU Journey

  Gari ya biashara inauzwa, aina ni Isuzu Journey engen ya 4BD1, iko barabarani kwa sasa na vibali vyoote vipo active, TLB, Insurance, Kodi ya Mapato. Ilikuwa njia ya Ubungo Masaki sasa imehamishiwa Makumbusho Ununio, barabara nzuri sana, kwa wanaojua magari ya biashara Isuzu Journey is the best...
 6. super thinker

  Yanayojiri kikao cha Kamati Kuu CHADEMA sasa Mbezi Garden Hotel

  Hebu tujikumbushe matukio ya makabidhiano ya rasimu ya 2 ya katiba...........ambayo huyu aliyekabidhiwa aliikataa, kweli inchi hii ina kiongoziRAIS KIKWETE, DK SHEIN WAKABIDHIWA RASIMU YA PILI YA KATIBA MPYA - Global Publishers
 7. super thinker

  Toyota Allion for sale mpya kabisa

  Mkuu spareparts zipo sana
 8. super thinker

  Starlet inauzwa - bei ya kutupa

  Duh...............
 9. super thinker

  Bus Coaster Inataka Kazi

  anataka wazo na uzoefu..........sio mteja
 10. super thinker

  Toyota Allion for sale mpya kabisa

  Hii kitu ni pick and drive.............leseni yako tuuuuuuuu
 11. super thinker

  Starlet inauzwa - bei ya kutupa

  Toka nimejiumga JF miaka mingi ilopta sijawah ona pumba hii
 12. super thinker

  Toyota Allion for sale mpya kabisa

  Mkuu nipo Kigamboni, na gari ipo huko pia...........ni ku-arrange tu, imetembea kama KM 105,000 hivi Njoo tuzungumze
 13. super thinker

  Toyota Allion for sale mpya kabisa

  Allion iko sokoni, yom 2002, cc 1800, bei shilingi 11 millioni slightly negotiable, vibali vyote up to date, bongo imetumika mwezi mmoja tu. Contacts call 0713 227 551 kuiona gari, iko katika very good condition uhakika asilimia mia.
 14. super thinker

  Nyumba inauzwa bei poa.

  Hii ndo shida ya real estate agents wa bongo, wanainflate sana hizi properties, maendeleo yao yatakuja ila kwa taraibu sana na nyingi hufa kwasababu ya hii tabia, zinakosa sustainability!!!!!!!! haya endeleeni tuone mtakapofika
 15. super thinker

  Maskini mke wangu kumbe ulitoa mimba? Kwanini sasa hukunambia nifanye maamuzi?

  Kwani mkuu your Past is as clean as a Mount Everest glacier?? we all make errors at one point in time, we all stand a chance to realize the errors and rectify
 16. super thinker

  Gari ya Biashara Inauzwa - ISUZU Journey roho

  Call the number for negotiations
 17. super thinker

  Nassari agawa madawati ya shule Meru, Madiwani wa CCM wayakataa

  Maadui watatu wa maendeleo kwa sasa ni CCM, Maradhi na Umasikini
 18. super thinker

  Gari ya Biashara Inauzwa - ISUZU Journey roho

  Mkuu ungeiona kwanza, umeshuka sana asee
Top