Search results

 1. Saharavoice

  The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

  Kwani rufaa imetoka Mapenzi ya timu yana mahusiano gani na hii adhabu
 2. Saharavoice

  Natafuta hizi mashine maarufu kama compressor digger

  Mtafute huyu mtu 0769555552 anayo compressor ipo Dodoma
 3. Saharavoice

  Pigo la kwanza kwa Simbachawene

  Off course hayo mengine in udhalilishaji na ni kinyume cha hata na maadili ya kiafrika. Sitetei imani za kudhalilisha
 4. Saharavoice

  Pigo la kwanza kwa Simbachawene

  MshanaJr ndiyo imani zenyewe hizo tuziheshimu kwa sababu kuna watu wanaziamini. Wazungu hawakuziheshimu za kwetu wakaziita za kishenzi, nasi tumeamua kufuata humo humo kuziita za wenzetu vibanda imani. Bado ukoloni uko katika bongo zetu
 5. Saharavoice

  Pigo la kwanza kwa Simbachawene

  Taarifa ya kwanza kimsingi ilipikwa kwa sababu ya kukwepa rawama kwa vyombo vya usalama. Na hiyo ndiyo ilitumika na mkuu wa mkoa na waziri. Tukiachana na imani, whether unaiamini au huiamini lakini maadamu kibali cha mkutano kilitoka, then jeshi halikuwajibika kulinda usalama kwenye mkusanyiko...
 6. Saharavoice

  Baraza la Maaskofu wa Makanisa ya Kipentekoste Tanzania(CPCT) lakemea watumishi wa Mungu wanaotapeli waumini kwa kuwauzia vifaa vya upako

  Nadhani kuna wivu ndani yake. Biblia ni pana sana na haifai kukaririshwa Yale tu walitufundisha wakoloni wamisionari. kama watu wanapona, tatizo liko wapi
 7. Saharavoice

  Klabu Bingwa Afrika: Dar Young African Vs Zesco

  kocha zahera anaona kile ambacho hatuoni. hivi Kalengo in mchezaji kweliiii
 8. Saharavoice

  Klabu Bingwa Afrika: Dar Young African Vs Zesco

  Banka na Tshishimbi wamepwaya.
 9. Saharavoice

  Klabu Bingwa Afrika: Dar Young African Vs Zesco

  kuna MTU anapenda sana kurudisha mipira nyuma bila akili. Mara tatu sasa. ataigharimu sana yanga
 10. Saharavoice

  Bima ya afya(NHIF) ahadi nyingi, utekelezaji sifuri

  Kuna vipimo vingi sana na madawa mengi ambayo wameyaondoa kwenye bima zao hali inayosababisha usumbufu mkubwa kwa wagonjwa lakini pia vituo/hospital nyongi kupata hasara kubwa. Kimsingi hizi Bima (NSSF na NHIF) kwa kiwango kikubwa haziwasaidii wananchi kama ambavyo tunaaminishwa na wanasiasa
 11. Saharavoice

  Afrika Kusini: Mahakama ya Gauteng yaamuru ndege ya Air Tanzania iliyokuwa inashikiliwa nchini humo kuachiwa. Hermanus Steyn akata rufaa

  Hili la wapinzani kuunga mkono ndege yetu kushikiliwa SA, litawapunguzia kura uchaguzi ujao. Timing yao ilikuwa mbaya.
 12. Saharavoice

  Upepo wa Membe mtaani usipime

  Tatizo mimi siyo mgomba Mpaka ifike July 2020 watavuma wengi humu.
 13. Saharavoice

  Upepo wa Membe mtaani usipime

  Wapinzani wanapenda sana kuyumbishwa, utafikiri migomba. Mpaka pale watakapoacha kuimba nyimbo za CCM angalau kutakuwa na matumaini ya kushinda. Ama kweli CCM ni baba lao
 14. Saharavoice

  Uwezekano wa Magufuli kuongoza nchi kwa kipindi cha pili haupo

  Ndoto zingine watu wanaziota mchana kweupee
 15. Saharavoice

  Rais Magufuli huhitaji kujieleza unapomtoa Waziri. Kwa January Makamba jikalie kimya

  Kwa nini watu bado wanadhani January kaonewa? Kwenda against rais wako, ni kosa Dogo? Kuna tofauti gani kati ya yalimkuta zitto chadema na haya ya January
 16. Saharavoice

  Tetesi: Baada ya Makamba, mabalozi watatu, wakuu wa mikoa watatu na wakuu wa wilaya saba kutumbuliwa

  Wakati mwingine ni vigumu sana kujua tunasimamia nini Wapo wengine huko nyuma walisemwa sana kwamba wanajihusisha na biashara za nyara za serikali (Maangamizi ya Tembo, Faru nk), Ajabu watu wale wale leo wako mstari wa mbele kuwaunga mkono. Imekuwa kama ukitaka kujisafisha na madhambi yako ya...
 17. Saharavoice

  Teknolojia ya voice cloning ndiyo imetumika kutengeneza sauti za maigizo za Nape/Kinana

  Mitambo ya TCRA haina uwezo wa kurekodi sauti? TCRA iko chini ya nani? Kama mtu umeonekana unataka kuhatarisha amani ya nchi, phone tracking unaikwepaje? Technolojia sasa iko juu sana, na vyombo vyetu vya usalama yumkini vina hiyo technolojia. sina shaka kabisa, hizi ni sauti zao.
Top