Search results

 1. TheChoji

  Tunaochapika Januari baada ya kutapanya Christmas tufarijiane hapa

  Wakuu hali ni mbaya! Baada ya kuweka heshima vijijini huko Moshi kipindi cha Krismasi na mwaka mpya, ambapo ilikuwa ni mwendo wa kuchinja mbuzi, bia kwa wingi, na kufuru za kila aina, sasa cha moto nakiona. Tangu Januari hii imeanza mambo hayaendi kabisa. Yaani naishi kama digidigi hapa...
 2. TheChoji

  Kijana usijidanganye: Shoo peke yake haitoshi kukufanya usiachwe

  Mara nyingi nimeona watu wakichangia kwenye nyuzi mbalimbali kwamba ukitaka mwanamke asikuache, basi unatakiwa "usimamie kucha" na kupiga shoo za kibabe kama vile unalima shamba la mihogo. Kwamba mwanamke ukimgegeda vizuri, basi hawezi kukuacha atakua wako tuu siku zote nk. Swala hili...
 3. TheChoji

  Mabibi harusi acheni kuwachoresha mabwana harusi kwa kuwalazimisha kucheza "stepu"!!

  Kuna hii tabia imezuka siku za hivi karibuni japo ilikuepo pia zamani. Tabia yenyewe ni hii ya maharusi kuingia ukumbini huku wakicheza muziki kwa step ili "kuchangamsha" shughuli. Kichekesho ni pale unapokuta mmoja wapo wa maharusi hasa mwanaume sio mtu wa muziki na hajui kabisa kucheza...
 4. TheChoji

  Orodha ya Watu 10 matajiri zaidi Duniani /Africa na viwango vyao vya elimu kwa mwaka (2019)

  Uzi huu nimeuleta maalum ili iwe fundisho kwa wale wanaosema hakuna wasomi ambao ni matajiri au kusoma hakuna maana, ni kupoteza muda nk. Listi ya matajiri 10 duniani, kiasi cha utajiri, vyuo walivyosoma 1. Jeff Bezos - (USD 110 billion) - Princeton University - Bachelors 2. Bill Gates - (USD...
 5. TheChoji

  Maafisa mikopo: Vituko na vimbwanga vya wateja!

  Kwa ambao tumewahi au tunafanya kazi hii, kwakweli ni kazi yenye changamoto sana hasa kwenye taasisi hizi ndogo ndogo (Microfinance). Mara nyingi wateja wetu huwa ni wasumbufu na wakati mwingine hufanya vituko kiasi kwamba ukimuelezea mtu anaweza asiamini! Ni jambo la kawaida kabisa mteja...
 6. TheChoji

  Naomba kujua mshahara wa Rubani.

  Baada ya hii ajali ya jana iliopelekea kupoteza maisha ya wanadamu wenzetu, nimejikuta nikiwaza sana kuhusu kumshauri mwanangu kusomea urubani. Ni nini hasa kinachowavutia watu kusomea na kufanya urubani? je kazi hiyo ina maslahi makubwa kuliko kazi hizi unazofanya miguu yako ikiwa ardhini mfano...
 7. TheChoji

  Hoteli/Lodge nzuri iliyopo Bagamoyo

  Wasalaam, Weekend hii baada ya shamrashamra za Valentines day nategemea kujivuta Bagamoyo kwa mapumziko mafupi. Nimejaribu ku google nione sehemu nzuri ya kufikia ila napata sehemu za ghali sana nje ya bajeti yangu. Pia naona nyingi kwenye mtandao ni za zamani zamani. Mimi nataka hoteli /...
 8. TheChoji

  "Mwanadamu wa kawaida" huwezi kuelewa

  Mara nyingi nimekua nikiona watu wanaoleta mada ambazo wanadhani ni ngumu kueleweka (hasa jukwaa hili) hua wanapenda kutumia misemo kama "Kwa akili ya kawaida huwezi kuelewa" au "mtu wa kawaida hatanielewa" au utasikia "swala hili liko nje ya upeo wa akili za mwanadamu" (hasa mambo ya dini) n.k...
 9. TheChoji

  Karanga zinafaa kuungwa..?

  Wakuu, Kuna mtu amewahi kujaribu kuunga karanga kwa kitunguu na nazi kama unavyounga maharage akaona inakuaje ukila na wali? Naona kama karanga ni laini na tamu kuliko maharage, njegere, choroko n.k Kama kuna aliewahi kujaribu anipe mrejesho..
 10. TheChoji

  Mabasi na matumizi mabaya ya Air Cinditioner

  Bado niko na haya mabasi yetu. Nafikiri wahudumu/madereva/kondakta wa mabasi makubwa yenye AC kuna kitu hawaelewi. Kazi ya AC au air conditioner sio kuleta BARIDI bali ni ku regulate hali ya hewa ili iwe ya kawaida ambayo watu wote wataishi kwa raha, sio baridi wala sio joto. Ndio maana kitufe...
 11. TheChoji

  Nani mwingine anapanda basi la mkoani kwa kuzingatia sehemu wanayosimama kula kama mimi?

  Kuna kitu nimegundua na nafikiri wamiliki wengi wa mabasi ya mikoani ama hawakijui au wanakipuuza. Watu wengi tunaosafiri mathalani ruti ya Dar-Arusha hua tunachagua basi la kupanda kwa kuzingatia ni wapi linapaki wakati wa chakula! Kuna wakati unapanda basi zuri luxury lakini sasa hiyo...
 12. TheChoji

  Hoteli / Lodge nzuri jijini Tanga

  Wakuu nna shida kidogo naomba msaada. Nategemea kwenda Tanga wiki ijayo kwa shughuli binafsi. Naomba mwenye kujua hoteli au lodge nzuri ya kisasa ambayo naweza kufikia. Bajeti yangu ni 30,000 - 50,000 na napendelea sehemu tulivu, safi na yenye huduma nzuri. Kuna thread ipo humu ila ni ya zamani...
 13. TheChoji

  Moshi tunahitaji madaraja ya watembea kwa miguu.

  Katika kuendelea kuupendezesha mji wa moshi, naona kuna dosari inaanza kujitokeza. Hii inatokana na watu wanaovuka barabara kuongezeka sehemu nyingi hivyo kusababisha kuwekwa zebra kila mahali kitendo kinachoongeza foleni. Kwa sasa tatizo sio kubwa sana ila ni bora kuliwahi kwa kuweka simple...
 14. TheChoji

  Msaada: Hoteli nzuri Singida

  Wakuu habarini za leo? Nipo njiani naelekea Singida. Naomba anaejua hoteli nzuri ya kisasa iliyopo Singida mjini anijuze. Napenda sehemu safi na tulivu, pia yenye chakula kizuri. Bajeti yangu ni 50,000. Natanguliza shukrani za dhati..
 15. TheChoji

  Wapi nitapata ngao ya kidonge?

  Mimi sipendi kulala ndani ya neti. Usiku wa leo nimeumwa na mbu kupita maelezo. Hii imenifanya niikumbuke dawa ya ngao ambayo ilikua inatumika siku za nyuma. Ukweli ni kwamba, kwa uzoefu wangu ngao ya kidonge ile orijino kabla hawajatoa ngao ya maji ilikua ni kiboko sio tu kwa mbu bali kwa...
 16. TheChoji

  Hiyo ni fake!

  We mdada, hilo pochi ulilobeba kubwa kama kapu la kuendea sokoni na lina manembo ya LV, GUCCI n.k halafu umelinunua elfu 60 za kitanzania, hilo ni FEKI..!! Huwezi kupata WALLET mpya original ya GUCCI au LV kwa chini ya Tsh 150,000 achilia mbali pochi. We libebe tu, ila ushajua.. Bro, hiyo buti...
 17. TheChoji

  Ni mimi nazeeka au mziki mzuri unapotea !?

  Mimi sio mtaalamu wa muziki. Ila mimi ni mpenzi wa muziki kuanzia zilipendwa, RnB, Bongo Fleva, na hata Bolingo. Nimejaribu kuangalia muziki unavyokwenda naona kama kadri siku zinavyoenda na mziki unazidi kuzorota sio tuu hapa Tanzania, bali sehemu nyingi duniani. Imefikia wakati siku hizi ni...
 18. TheChoji

  Whatsapp na picha za kutisha..

  Mmeshindaje? Siku za hivi karibuni kumejitokeza tabia ya watumiaji wa Whatsapp ku-forward picha zinazoonyesha matukio ya kutisha kama vile watu waliokatwa mapanga, waliokatwa/unguzwa sehemu za siri, waliokitwa mashoka vichwani, waliopata ajali mbaya na nyingine ambazo kwa maoni yangu sioni kama...
 19. TheChoji

  Simu zilizotingisha miaka ya 2000 - 2003 (Part 1)

  Kama ilivyo kwa siku hizi ambapo kila mtu anataka awe na simu latest, hali ilikua hivyo hivyo miaka ya 2000 ambapo simu ndio kwaanza zilikua zinaingia. Zifuatazo ni simu ambazo zilikua maarufu kipindi kile na ukiwa nayo ulikua unajiona mtu wa maana sana.. 1. NOKIA 1100 - Simu iliyouza zaidi...
 20. TheChoji

  "Mtego" wa teknolojia

  Wadau mi kuna kitu nimegundua. Nadhani hawa watengenezaji wa vifaa mbalimbali vya kielektroniki kama simu, tablet na kompyuta ni WEZI na hawana lengo zuri kabisa na sisi walaji na wanashirikiana kutufilisi bila sababu yoyote kwa kisingizio cha kukua kwa teknolojia.. We hebu jiulize.. Ni kwanini...
Top