Search results

 1. Kubwajinga

  Ni uchaguzi wa waadilifu dhidi ya genge la wahuni - Lowassa anawakilisha genge la wasaka madaraka

  Ni uchaguzi wa waadilifu dhidi ya genge la wahuni Lowassa anawakilisha genge la wasaka madaraka kwa manufaa binafsi KWA muda mrefu kikundi cha wahuni kilijaribu na kufanikiwa kupoka madaraka ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM). Watu hawa walitaka kujijengea "syndicate" ya kuongoza nchi, humo...
 2. Kubwajinga

  Ugomvi wa Lowassa na Kikwete wawapumbaza Watanzania

  Ugomvi wa Lowassa na Kikwete wawapumbaza Watanzania Hili nimelipata sehemu fulani kwenye kijiwe cha mijadala ya kisiasa, inayojadili hali ya kisiasa ndani ya nchi hii, hasa katika kipindi hiki cha kampeni za Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25, mwaka huu: "Ninyi wote hapo ni wajinga tu. Mngekuwa...
 3. Kubwajinga

  Lowassa sasa anatumia Helicopter aliyomnunulia mshenga aliyemtongozea Uraisi CHADEMA

  LOWASSA Sasa anatumia Helicopter ya Ufufuo na Uzima Dini sasa imesha kuwa ndani ya siasa. FISADI PAPA EDWARD LOWASSA ANACHOJALI NI YEYE KUPATA KITENGO CHA KUJITAJIRISHA NA SIO AMANI YA TANZANIA.
 4. Kubwajinga

  Spika wa Bunge Makinda Amegoma kufungua Barabara Ipitiayo Nyumbanikwake?

  Barabara iliyofungwa kwa Makinda haijafunguliwa Spika wa Bunge, Anna Makinda Na Joseph Zablon, Mwananchi (email the author) Posted Jumatatu,Marchi11 2013 saa 16:24 PM Manispaa ya Kinondoni imeshindwa kuifungua barabara inayowaunganisha wakazi wa Kijitonyama na Sinza iliyofungwa wiki...
 5. Kubwajinga

  CHADEMA yambeba Odinga

  Chadema yambeba Odinga JUMATATU, MACHI 04, 2013 06:21 NA ARODIA PETER, NAIROBI Chama cha Demokrasia na Maendeleo *Kilimtumia magari, wasanii kuzunguka nchi nzima WAKATI wananchi wa Kenya leo wanatarajia kupiga kura kumchagua rais wa nchi hiyo, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)...
 6. Kubwajinga

  Samuel Eto'o learns not to lend his Bentley to teammates

  Samuel Eto'o learns not to lend his Bentley to teammates By Brooks Peck; Fri Mar 19, 2010 12:59 pm EDT According to a report in La Repubblica, Inter Milan striker Samuel Eto'o's €150,000 Bentley GT, which he lent out to rarely used teammate Marko "The Austrian Cristiano Ronaldo"...
 7. Kubwajinga

  Plot to assassinate Speaker Sitta

  By ThisDay Reporter 23rd February 2010 THE Speaker of the National Assembly, Samuel Sitta, was at the centre of an assassination plot in Dodoma last year, it has come to light. According to well-placed sources, the alleged attempt to eliminate Speaker Sitta (pictured) was timed for the...
 8. Kubwajinga

  Wanaharakati watishia kuzuia uchaguzi 2010

  Wanaharakati watishia kuzuia uchaguzi 2010 Na Richard Makore; 17th February 2010 Mkurugenzi wa LHRC, Francis Kiwanga Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), kinatarajia kwenda mahakamani kusimamisha Uchaguzi Mkuu unaotarajia kufanyika Oktoba, 2010 ikiwa serikali itakaidi...
 9. Kubwajinga

  Tupunguze Idadi ya Wabunge ili Tusomeshe Watoto Wetu

  Tupunguze Idadi ya Wabunge ili Tusomeshe Watoto Wetu. Juzi nilisoma tamko la kushangaza na kusikitisha kwenye gazeti la Mwananchi lililotolewa na Makamu wa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi (NEC), Jaji Omar Makungu, kuwa wana mpango wa kuongeza idadi ya wabunge ili kuondoa misuguano ndani...
 10. Kubwajinga

  7.7bn/- Muhimbili Paediatric block handover next month

  7.7bn/- Muhimbili Paediatric block handover next month By Dominic Nkolimwa; 25th January 2010 Muhimbili National Hospital Health and Social Welfare ministry is set to handover the new paediatric complex block build by the government at a cost of 7.7bn/- to the Muhimbili National...
 11. Kubwajinga

  CCM Zanzibar sasa washiriki maandamano ya CUF

  CCM Zanzibar sasa washiriki maandamano ya CUF Maelfu ya wafuasi wa chama cha CUF na CCM Zanzibar wakijumuika katika maandamano ya kuunga mkono kauli ya katibu mkuu wa CUF Maalim Seif Sharif Hamad ya kutaka uchaguzi mkuu visiwani humo usogezwe mbele, Maandamano hayo yalianza katika uwanja wa...
 12. Kubwajinga

  Mtoto wa kigogo ahusishwa tukio la ubakaji hoteli ya KNCU

  Mtoto wa kigogo ahusishwa tukio la ubakaji hoteli ya KNCU Daniel Mjema,Moshi: Date::1/16/2010 MTOTO wa mfanyabiashara mashuhuri wa mjini Moshi (jina tunalo), ametiwa mbaroni na polisi kwa tuhuma za kuhusika katika tukio la kumlawiti mwanamme mmoja katika hoteli ya KNCU mjini Moshi baada ya...
 13. Kubwajinga

  Kikwete Fuata Nyayo za Netanyahu

  Last update - 18:10 09/12/2009 Netanyahu cancels trip to Copenhagen climate conference By Barak Ravid Prime Minister Benjamin Netanyahu has canceled his planned trip next week to the Copenhagen summit on climate change. Aides to Netanyahu said the reason for the cancellation was the...
 14. Kubwajinga

  Waziri wa Mkapa amshukia Kikwete ataka CCM imtose 2010

  Waziri wa Mkapa amshukia Kikwete ataka CCM imtose 2010 ATAKA CCM IMTOSE 2010 KAMA HAWEZI KUFANYA MAAMUZI MAZITO Ramadhan Semtawa WAZIRI wa zamani katika serikali ya awamu ya tatu, Matheo Qares ameshauri kuwa CCM isimsimamishe tena Rais Jakaya Kikwete kutetea wadhifa huo iwapo atashindwa...
 15. Kubwajinga

  Kamati ya Bunge yaonya Rais kutembea usiku!

  Raisi wetu sasa amekuwa kama mwanafunzi wa shule za wasichana. Badala ya kutibu ugonjwa wanampa tu asprin. Hivi ina maana hawajui ni kwa nini wananchi ambao mwaka juzi tu walimuona JK kuwa ni mwokozi leo wanampiga mawe??? WaTZ mkae sawa msije mkalimwa risasi, utawala wa mabavu waja. Kamati...
 16. Kubwajinga

  Atupwa selo kwa kumnyooshea mkono rais

  Huu upuuzi wa polisi/ askari kanzu kunyanyasa wananchi unahitaji ukemewe na JK mwenyewe kwani ni kinyume kabisa na demokrasia. Ina maana Joe the Plumber wa USA itabidi aswekwe ndani Obama akishinda uraisi?? Atupwa selo kwa kumnyooshea mkono rais Na Festo Polea, Mwananchi 10/20/2008...
 17. Kubwajinga

  Wanafunzi 227 kutimuliwa UCLAS

  Tuition pale Ardhi nafikiri ni kama TShs. 1,000,000. Matumizi ya JK NY kwa siku 10 kama atakuwa na entorage ya watu kama 10 hivi, itakuwa ni kama U$100,000. Hii inatosha 40% tuition fees ya wanafunzi kama 300 hivi. Mheshimiwa raisi sijui atatueleza ni kwa nini hawa wanafunzi wanafukuzwa...
 18. Kubwajinga

  Govt bans permits to foreign petty traders

  Govt bans permits to foreign petty traders THISDAY REPORTER Dar es Salaam GOVERNMENT will this year stop issuing working permits to foreigners engaging in petty businesses reserved for locals. A spokesman of the Immigration Services Department, Abdi Ijimbo, said in an interview...
 19. Kubwajinga

  Inflation now hovers around double digits

  Inflation now hovers around double digits THISDAY REPORTER Dar es Salaam TANZANIA’S annual inflation rate is inching closer to double digits after rising to 9.8 per cent in August up from 9.5 per cent in July due to escalating oil and food prices, according to the National Bureau...
 20. Kubwajinga

  When will CCM come of age?

  ANALYSIS: When will CCM come of age? NKWAZI NKUZI MHANGO St John’s NL, Canada SHOCKED and flabbergasted, I read the story that�Andrew Chenge a.k.a. Vijesenti, a former cabinet minister expelled for allegedly being involved in mega corruption was appointed by Chama Cha...
Top