Search results

 1. comte

  Uchina na mikopo yake rahisi lakini ya kificho kwa nchi maskini yaleta sitofahamu miongoni mwa wakopeshaji wakubwa

  Inaelezwa kuwa Deni la Aafrika linaendelea kupanda, na ukweli huo unasababisha mvutano katika maeneo yasiyotarajiwa. Shirika la Fedha Duniani (IMF) na Benki ya Dunia wana wasiwasi sana juu ya ukosefu wa uwazi, usimamizi dhaifu wa deni, na ukosefu wa uwezo kwa idadi kubwa ya nchi zenye kipato...
 2. comte

  Papa Francis kakataa wazo na pendekezo la kuwaruhusu baadhi ya watu walioa kuwa mapadri katika mazingira fulani

  Pope Francis on Wednesday dismissed a proposal to allow some married men to be ordained in remote areas, reaffirming the Roman Catholic Church's centuries-old commitment to celibacy among priests. The decision, one of the most significant of his papacy, appeared a victory for conservative...
 3. comte

  Hapo ulipo leo kama hujui na hujali historia, utakuwa unatoa hukumu ambazo siyo sahihi - unafanya dhambi

  Alikuwa karani na mtoza ushuru wakati wa Ukoloni. Akanunua Lori akawa anasafirisha vifaa vya ujenzi. TANU ilipoanzishwa John Rupia akawa muweka hazina wa kwanza. Alisema”TANU haikuwa na Pesa, hazina ilikuwa ni mifuko yetu”.Uzalendo ulimfanya atumie Pesa yake binafsi kwa ajili ya TANU.
 4. comte

  Chama cha Democratic na mgombea pendwa Joe Biden waaibika na kuchelewsha kutangaza matokeo ya kura za maoni

  Chama cha Democratic kimeshindwa kuonyesha weledi katika kuendesha uchaguzi baada ya mfumo wao wa uchaguzi kushindwa kutoa matokeo kwa wakati na kusababisha watu wazue ni kwa sababu mgombea anaye pendwa na wakubwa wa Democratic alikuwa amepigwa vibaya. Ingekuwa Afrika kelele za uchaguzi usio...
 5. comte

  Sakata la Mh. Zitto, benki ya dunia na misaada: wapinzani wanatimiza wajibu wao vizuri

  Nimeona watu wameonyesha waliokuwa wanatusaidia wanaanza kutushtukia; waliokuwa WANATUKOPESHA wanakataa kutukopesha; na waliokuwa WANATUHESHIMU wameanza kutupuuza. Kosa letu kama taifa ni kukubali vyama vingi vinavyotoa fursa ya vyama vya upinzani na wabunge wapinzani. Kama hatukujua wapinzani...
 6. comte

  Mh. Spika wa JMT unaeiweka nchi yetu upande upi?

  Siamini kuwa umeviluta suala la Mh. Zitto na kuliunganisha na sakata la mashitaka ya Rais wa Marekani Trump kwenye bunge lao. Umesahau kuwa Trump bado ni rais na anaweza kuchaguliwa tena kuwa rais wa Marekani. Unaiweka nchi yetu upande upi?
 7. comte

  EPL- Mbwana Samatta 1=1 mechi moja goli moja=100%

  Posted at 19:2719:27 GOAL - Bournemouth 2-1 Aston Villa Mbwana Samatta (70 mins) GAME ON! It is that man Mbwana Samatta on his Premier League debut. A real poacher's instinct from the Tanzania international, reacting quickest to Keinan Davis's shot which loops into the air and the former Genk...
 8. comte

  Maalim Seif, ACT Wazalendo na uchafuzi wa taswira ya Zanzibar

  Heady scent of change hangs over the spice islands of Zanzibar This is a difficult time for the people of Zanzibar. Instead of working for the people, the governing Chama Cha Mapinduzi (CCM) and its leaders continue to manoeuvre to remain in power to enrich themselves, rather than serving the...
 9. comte

  Mbwana Samatta kapambana kadri alivyoweza kwa mechi ya kwanza, siyo mbaya

  Player ratings Aston Villa: Nyland (9), Konsa (6), Hause (6), Mings (7), Guilbert (7), Nakamba (7), Luiz (6), Targett (7), El Ghazi (6), Samatta (5), Grealish (9). Subs: Davis (7), Trezeguet (8), Elmohamady (7) Leicester: Schmeichel (5), Pereira (7), Evans (6), Soyuncu (5), Chilwell (6)...
 10. comte

  Historia inaonyesha wakati wa vita (kisiasa, kiuchumi au wenyewe kwa wenyewe) ni sahihi viongozi kutumia matamko kuliko sheria

  Franklin D. Roosevelt holds the record for issuing executive orders — more than 3,000 of them, an average of 307 per year — as he led the nation out of the Great Depression and through World War II. By comparison, Trump has issued 136, or 47 per year, which is more frequent than any president...
 11. comte

  Maneno mengine bhana

 12. comte

  CCM na matajiri: Dhambi ya unyanyapaa haitatuacha salama

  Kumekuwepo na jitihada za kibaguzi za kuwanyapaa watu wanaoitwa matajiri ndani ya CCM. Hulka hii ni hatari kwa sababu ni ya kibaguzi na ubaguzi unasifa ya kuwalaani wabaguzi. Aidha kuwanyanyapaa matajiri kwa sababu ya utajiri wao unaepuka mchango wao katika kuanzisha na kujenga TANU ambayo...
 13. comte

  Barrick to construct a road from Bulyanhulu to Mwanza according to the contract signed today

  Barrick Back in Business in Tanzania Press Release PDF Format (opens in new window) Dar es Salaam – January 24, 2020 – Barrick Gold Corporation (NYSE:GOLD) (TSX:ABX) says it has made significant progress in reshaping the Tanzanian operations it consolidated through the take-over of Acacia...
 14. comte

  Wosia kwa wanawake kwenye ndoa na mahusiano kuwa mnyenyekevu sio kuwa mpumbavu

  Hakuna mwanaume mkorofi kwa mwanamke mnyenyekevu hata ungekua umemkosea nini ukijishusha ukanyenyekea analainika labda awe na mapepo ndio unyenyekevu wako hautagusa moyo wake. Mume hafokewi, mume hagombezwi, mume humfanyii jeuri na kiburi, akinuna na wewe unanuna asipokutafuta na wewe...
 15. comte

  Sisi ni Wajamaa kweli au Mabepari uchwara

  Engonzi Zitafa Busha shared a post to the group: NGUVU KATIKA DAMU YA YESU. 1 hr · Isaya Daniel SiboraFollow September 25, 2018 "Dada alimuuliza,'unauza bei gani yai moja? Mzee akamjibu Tsh 250 mwanangu! Akamwambia nitachukua mayai 6 kwa 1000 badala ya 1500 kama haukubali naondoka. " Mzee...
 16. comte

  Hili limekaaje: (Twiga - Tanzania 16% + Barrick 84%) yaani jambo la kwanza ni kupunguza wafanyakazi?

  Barrick kupunguza wafanyakazi North Mara Kwa mara ya tatu sasa ndani ya miaka minne, kampuni ya Barrick imetangaza kupunguza wafanyakazi katika Mgodi wa North Mara ili kumudu gharama za uendeshaji. Mgodi huo uliokuwa unamilikiwa na Acacia hivi sasa upo chini ya kampuni ya Twiga iliyoundwa...
 17. comte

  Genge la viongozi wa Iran linalovuruga Dunia

  These Are the 5 Iranian Leaders You Should Know About Tensions between the United States and Iran seem to be deescalating again, but the countries clearly are still at loggerheads. Much media attention has been focused in recent days on President Donald Trump and his national security team...
 18. comte

  Amri za maisha yenye furaha 2020

  Mimi sijaongeza neno nimeileta ilivyo Jennifer Mgendi 18 hrs · Nimeikuta mahali nikaipenda.... MAMBO YA KUZINGATIA 2020 ILI KUEPUKA PRESHA ZISIZO ZA LAZIMA 1. Wapeleke watoto wako shule unazomudu kulipa ada kwa sasa sio sababu mwanao anasoma shule ya gharama kubwa basi ndio atapata matokeo...
Top