Search results

 1. J

  Election 2010 JK agwaya kutaja wabunge wa kuteuliwa?

  Wakati mwaka 2005 kazi ya kutaja wabunge wa kuteuliwa na Rais kwa mujibu wa katiba ilikuwa rahisi mno kazi hiyo mwaka huu inaonekana ni ngumu na ndio itakayo mtoa au kumtosa kabisa JK. Mwaka 2005 nafasi nyingi zilikuwa za "kulipa fadhila" mfano: yule zuzu Tom Mwang'onda, Yusuf Makamba, RC...
 2. J

  "Street University" by Shigongo

  Nimekuwa nikisikia hii street university ya Shigongo lakini siielewi undani wake, kuna mtu ana shule zaidi anieleweshe. Ina faida gani? Nataka kujiunga.
 3. J

  Election 2010 "Technically", CUF sio wapinzani

  Huwezi kuwako kwenye serikali ya umoja wa kitaifa Zanzibar mkaongoza wote kutekeleza ILANI ya CCM ya Uchaguzi halafu ukaja kwenye Bunge la muungano ukapinga. Kwa hiyo "technically" CUF sio upinzani. CCM na CUF "dugu" moja. What is your say ?
 4. J

  Election 2010 Lipumba aachwa kwenye mataa CUF

  Habari zilizotufikia ni kwamba "dream team" a CUF iko bize kupanga nani ataingia kwenye baraza la mawaziri la serikali ya umoja wa kitaifa. Wakati maalimu Seif tayari ni Makamu wa Kwanza wa Rais, tayari Juma Duni, Ismail Jusso n.k. wamehakikishiwa kuingia kwenye baraza hilo la mawaziri. Ndugu...
 5. J

  Election 2010 Vurugu za Mwanza nani alaumiwe?

  Ofisi ya ccm iliyopo Nera (airport road) jiji la mwanza ikiungua moto katika harakati za watu kudai haki zao tarehe 01.11.2010. Katika nyumba hii ndipo katibu wa CCM alichomwa kisu na meya wa jiji katiwa mbaroni kwa tuhuma za mauaji alipofika airport June mwaka huu.
 6. J

  Most users ever online was 16,925, Yesterday at 04:40 PM

  Most users ever online was 16,925, Yesterday 1st Nov at 04:40 PM. It will take another 5 good years to bit this new record. Previous record was 5,000 +
 7. J

  RAV4 inahitajika

  Kama unajua kuna mtu ana RAV4 na anatafuta mteja mimi nipo nataka "kumvua". Tumia PM kuniletea ujumbe.
 8. J

  Rais Mwai Kibaki kuja kusuruhisha uchaguzi Tanzania

  Kuna tetesi kuwa Rais wa Kenya Mwai Kibaki anajiandaa kuja kumwambia JK akubali tu matokeo. Kofi Annan pia yuko njiani kuja kumwambia Masha (atie saini hata ya dole gumba huko huko Bugando, Batilda tia saini mimba isije haribika ukatulaumu)
 9. J

  Election 2010 Gen. A. Shimbo wakumbushe CCM kukubali matokeo

  Lt. Gen. Adulhaman Shimbo huku akiwa amekunja uso alituambiwa tukubali matokeo. Sasa namuomba atoke tena awakumbushe CCM waliokubaliana na kauli yake 100%. Shimbo where are you !!! CCM denies their own faces !!!! shiiiit
 10. J

  Election 2010 Wizi wa kura Nyamagana uliandaliwa na JK ukashindikana

  Soma mwenyewe ujionee
 11. J

  T.P. Mazembe 4, Esperance S.T 0

  T. P. Mzembe inaongoza kwa goli 4 huku Esperance ya Tunisia 0 katika mechi ya kwanza ya fainali ya klabu bingwa Africa. Dakika ni ya 75 na ball possession so far 65% T. P. Mazembe na 35% Esperance of Tunisia. T. P.Mazembe are the deffending Champions. Nimefurahi hawa waarabu kugaragazwa.
 12. J

  Election 2010 Nimepiga kura, wewe je?

  Mungu amenisaidia nimekuwa mtu wa kwanza kituoni kwangu kupiga kura. Nilifika saa 11 na dakika 33 (05h33) na kituo kilifunguliwa saa 12 na robo (06h15) na nilipiga kura yangu saa moja na dakika nne asubuhi hii (07h04). Pia nemefurahi kutimiza /kufikisha messages 1000 leo hii. Utaratibu ni...
 13. J

  Bweni Lugoba Sekondari laungua moto

  Taarifa za uhakika zilizonifikia bweni la wanaume katika Sekondari ya Lugoba iliyopo wilayani Bagamoyo jimbo la Chalinze limeungua moto. Chanzo cha moto hakijajulikana na polisi kutoka kituo kidogo cha Chalinze walikuwa wanaelekea kwenye shule.
 14. J

  Election 2010 Jeshi kumuaga rasmi JK

  Kuna tetesi kuwa JWTZ na vikosi vyake vinaandaa gwaride rasmi la kumuaga JK kwa kumaliza kipindi chake cha kwanza cha uraisi siku ya Jumamosi katika viwanja vya chuo cha Polisi temeke. Wanafanya hivyo ili asiaibike kutoka Ikulu bila kuagwa. Mwenye habari zaidi atujuze.
 15. J

  Election 2010 Tanzania Decides 31-10-2010

  Hakuna haja ya malumbano, siku hizi 3 haziwezi kubadilisha matokeo. Tuwaachie watanzania waamue.
 16. J

  Election 2010 Is JF a "coward cluster"?

  Wakati REDET na Synovate wanaita waandishi wa habari na kutangaza "utumbo" wao kwa watanzania, nimekuwa nikijiuliza kwa nini JF nasi tusiwaite waandishi wa habari na kuwatangazia matokeo ya kura ya maoni?? Je JF ni waoga au wahariri ndio waoga? View Poll Results: Nani anafaa kuwa Rais wa...
 17. J

  Economics of Cows

  TRADITIONAL ECONOMICS You have two cows. You sell one and buy a bull. Your herd multiplies and the economy grows. You retire on the income. KENYAN ECONOMICS You have two cows. You eat Both of Them. You Blame the former President For Shortages. You Ask European Union To Give Another Two Cows To...
 18. J

  Election 2010 How TCU raised money for CCM

  They say that many of Tanzania’s leading intellectuals are the nation’s bane rather than its boon. A nation’s intellectuals are supposed to be the people’s eyes; they see ahead, point out difficulties or potential trouble spots, identify hurdles ahead, look back and show where we and others went...
 19. J

  FIFA suspends Nigeria

  The world soccer governing body, Fifa, on Monday finally decided to slam Nigeria with a suspension with immediate effect. Fifa’s emergency committee after weighing all the evidences before it coupled with petitions from several individuals and bodies in the past days wielded the big stick by...
 20. J

  Election 2010 Mtihani wa Kampeni

  Wandugu nimetumiwa maswali yafuatayo na jamaa yangu mmoja ili nimsaidie lakini binafsi yamenishinda, nadhani atakuwa kapewa asignment katika hii kozi fupi ya maandalizi ya uchaguzi. Plz mchango wenu utanisaidia kumjibu. 1. Ni rais gani duniani anayeamini kwamba kukaa madarakani miaka mitano ni...
Top