Search results

 1. A

  Hongera Serekali kwa Kuvunja Mkataba Wa Nicol na Narco

  Serikali yavunja mkataba mauzo mali za machinjio - IPPMEDIA saa 9 zilizopita · SERIKALI imevunja mkataba wa mauzo ya mali za ... wa NICOL, NARCO na TMCL waliohusika na ubadhirifu wa mali za TMCL na kuisababishia hasara serikali
 2. A

  The New Scramble for Africa - Kuna kitu cha kujifunza

  The first great surge of foreign interest in Africa, dubbed the “scramble”, was when 19th-century European colonists carved up the continent and seized Africans’ land. The second was during the cold war, when East and West vied for the allegiance of newly independent African states; the Soviet...
 3. A

  EY: Gold, drug money and a major auditor's cover-up

  EY: Gold, drug money and a major auditor's 'cover-up' Image captionAuditor Amjad Rihan says EY covered up transactions that were "way beyond suspicion" A major accountancy firm covered up evidence of smuggling and laundering of drug money by an organised crime gang, an investigation has...
 4. A

  Nyumba ya Manispaa ya Temeke yauzwa kinyemela. Mpangaji aendesha biashara ya Ufugaji Mbwa na Paka zaidi ya 300

  Mpangaji aendesha biashara ya Ufugaji Mbwa na Paka zaidi ya 300 . Halmashauri ya Manispaa ya Temeke jijini DSM imebaini moja ya Nyumba zake iliyopo eneo la Oysterbay Mtaa wa mawenzi kitalu namba 823 jijini Dsm imeuzwa Kinyemela tangu mwaka 2000 huku Mpangaji aliyepangisha nyumba hiyo...
 5. A

  Kwa Wale Wazee wa Criptocurrency na BOT

  https://www.nyasatimes.com/reserve-bank-speaks-on-cryptocurrencies-they-are-not-legal-tender-in-malawi/ Naona Reserve Bank ya Malawi wameelezea vizuri saana hii issue ambayo ina watatiza watu wengi hasa hasa wawekezaji na wale wasiotaka kuwekeza. nitajaribu ku copy na ku paste hiyo article hapa...
 6. A

  Ili Mradi wa SGR na Udart iwe Matokeo ya Haraka Ktk Kukuza Uchumi Nashauri Yafuatayo

  Kwanza tunashukuru na kuupongeza Uongozi wa Awamu ya Tano kwa kuwa na uthubutu na kuanza , hususani miradi mikubwa kama SGR, na Stigglers. Na Pia kurithi Mradi wa Udart ambao matumizi yake ni chini ya kiwango hivyo kutofikia tija iliyokuwa imetarajiwa. Hivyo ili kuleta Tija mosi kwa mradi wa...
 7. A

  Waliokuwa wana hamisha Matofali Usiku Magomeni Quarters(Flats) walikuwa na Baraka Za TBA

  Hivi karibuni kama miezi miwili au mmoja na nusu , kuna lorry la la futi arobaini lilipakia matofali usiku toka ktk huo mradi unaosimamiwa na TBA, jambo la kujiuliza , uhamishaji huo ulikuwa na Baraka za wanaohusika, na kwanini shughuli hizo zilikuwa zinafanyika usiku? TBA tunaomba maelezo
 8. A

  Matukio ambayo was upitaji mema nchi hawaziposti

  Jana katika mahakama ya Kisutu kuna Kesi ya Kitilya Na wenzake ilifutwa Na DPP, Na kufunguliwa upya toka mastaka7 mpaka mashtaka 58 Na idadi ya washtakiwa kuongezake, lakini taarifa hizi kwa wasioitakia mema nchi hii hawajaziweka huku , zaidi ya kauli ya DCP Boaz ati kaingilia Kesi ya dhahabu...
 9. A

  Bei ya Korosho Nigeria

  PRICE REPORT: NIGERIA. The current 2018 season in Nigeria opened on high farm gate price levels to the disappointment of many stakeholders particularly exporters and wholesalers. Many had hoped that 2018 prices will start at 5% - 10% of the 2017 prices. In 2017, farm gate prices started at $1...
 10. A

  Sera/policy ikitoka kwa miaka 50 bila tija yahitaji kubadilika

  Hivi karibuni kuna baadhi ya wana siasa walimtuhumu Waziri wa Mambo ya nje na Tz kwa jumla kwa kubadili sera yake kuhusiana na Morocco na Israel, bila kuangalia mambo kadhaa ikiwemo muda uliotumika hiyo sera na economic impact yake kwa nchi yetu wenyewe nk. Wakumbuke kwamba hata USA ilikuwa na...
 11. A

  Maendeleo ya China yaliletwa na Katiba Mpya?

  Kumekuwepo na kelele kiasi toka kwa baadhi ya Watu ambao wanataka kufunganisha maendeleo ya Nchi yetu na Katiba Mpya au kwa kifupi maendeleo yanaendana na Katiba wanazofikiria wao zitawapa ''fursa'' Kwa mfano ndani ya KKKT tumeshihudia migogoro kadha sasa sijui wao Hiyo katiba mpya wataianzisha...
 12. A

  Kuna Vyama au Watu wanaofadhiliwa Na Wapiga Deal?

  Kutokana na baadhi ya watu na baadhi ya vyama kubedha au kudhofisha Juhudi za Serikali kutekeleza, yale waliokuwa wanapigia kelele hapo awali/siku zilizo pita , kama rushwa na mikataba mibovu, basi ni wazi vyama hivyo na watu hao wana faidika na hiyo mikataba na nia yao ya kuingia madarakani...
 13. A

  Watangazaji Na Wadaduvi wa magazeti redioni wanapotosha maudhui ya Waandishi au gazeti husika

  Mimi ni mpenzi wa kusikiliza redio Na vichwa vya habari vya magazeti na wanavyojiongeza, lakini naona kuna wakati wanapotosha taarifa yenyewe Kwa kutokuelewa au kuupigia chapuo upande fulani. Mfano ni hili suala la bajeti Na hii kodi ya barabara (road tax) ambayo sasa imewekwa kwenye petrol ili...
 14. A

  Wasafirishaje wa Mchanga waliodanganya thamani ya madini wapigwe faini

  Ikiwa USA huwa wanawapiga faini Toyota , Volkswagen , samsung kwa udanganyifu, na Europe wanaopigia faini Microsoft , basi itakuwa haki kwa Tanzania kuwapigia faini plus interest ma export wote wa mchanga wa madini kwa udanganyifu to the extent of the loss occasioned
 15. A

  Ujenzi wa Hospital utaweka kumbukumbu ya Ndugu zetu wa Lucky Vincent

  Ingawa kumekuwa na shutuma kuhusu matumizi au mgawanyo wa fedha za Rambirambi za ndugu zetu waliopoteza maisha katika ajali ya gari , lakini ni ukweli usiopingika kwamba kama hatutaweka kitu cha kudumu basi ni wazi tutawasahau na hakitakuwa na kumbukumbu la tukio lile. Hivyo ujenzi wa ward au...
 16. A

  Ipo haja ya Kuunda independent police commission

  Naona ipo haja ya kuundwa independent police commission , ambayo itakuwa in review matukio ya police dhidi ya raia , kwa sababu ni wao police wenye kujua rules of engagement. Na iwe na mamlaka ya kuwa adhibu au ku recommend ajabu kwa wahusika na report zao ziwe za wazi , ili kuepukana na tabia...
 17. A

  Kushindwa kwa Yanga ni hujuma/siasa

  Timu ya Dar Yanga Africans hivi karibuni ulitoka sare na timu ya Comoros baada ya kuifunga timu hiyo ya Comoros goal 5-0 huko Comoros. Lakini mechi ya marudiano hapa hapa nyumbani timu hizo zilitoka sare. Na hii ni baada ya kiongozi wao moja unfashionable kutoka ndani (polisi) kwa masuala Yake...
 18. A

  Ili tuwe na uhamiaji wenye tija, tufanye haya

  Ili tuwe na wahamiaji wenye awe tija mfanyabiashara au wafanyakazi vitu vifuatavyo vinatakiwa kuzingatiwa na mamlaka zinazohusika, uhamiaji, Wizara ya kazi , TIC, fedha/TRA , na Biashara na madini. Moja wahamiaji wote awe muwekezaji au mfanyakazi awe ana ishi kwenye makazi ya watu sio magodown...
 19. A

  Tanzania eyes Sh2.5 trillion World Bank lending

  Hivi Karibuni kuna baadhi ya wachangiaji walidai kwamba World Bank hawataki kutusikia na blah blah kibao. Lakini tofauti na kauli zao World Bank Vice President for Africa amekuja Bongo na sasa wanataka ku fast track mkopo kuja Bongo, kama ilivyoandikwa kwenye gazeti la Citizen la 26/01/2017...
 20. A

  Abbas Tarimba si Mkurugenzi wa Bahati Nasibu ya Taifa

  Habari zilizotufikia ni kwamba Abbas Tarimba amemaliza mkataba wake wa Kazi
Top