Search results

 1. Masikini_Jeuri

  Rais Magufuli: Turudishie Azimio la Arusha

  Naamini misingi iliyoasisiwa na mpendwa wetu Baba wa Taifa katika Azimio la Arusha hasa kwenye maadili ya viongozi wa Umma inao uwezo wa kusafisha na kukusaidia sana kati kazi ya kuongoza taifa letu. Mfanyabiashara abaki kufanya biashara na Mtumishi wa Umma na Kiongozi wa Umma wabaki kuhudumu...
 2. Masikini_Jeuri

  Vyakula na bidhaa za magendo

  Wakati kukiwa na wimbi kubwa la kuingizwa bidhaa hasa za vyakula kama sukari na mchele vya magendo bado sioni jitihada ya kudhibiti hali hii zaidi ya miito ya viongozi wakuu kwa watendaji kuongeza ulinzi na suala kuachiwa polisi wetu wa kawaida kwanini kusiundiwe kikosi maalum cha kazi hii kama...
 3. Masikini_Jeuri

  Anwani ya watengenezaji wa sabuni ya unga ya NiceOne

  Wakuu kwa yeyeote anayeweza kujua contacts a ama namna ya kuwasiliana na hawa watengenezaji wa sabuni ya unga ya Niceone anisadidie
 4. Masikini_Jeuri

  Fursa

  ** TEEP 2016 - 2nd ANNUAL TONY ELUMELU ENTREPRENEURSHIP PROGRAMME ROUND LAUNCHES 1ST JANUARY 2016 Dear A year ago today, we announced the Tony Elumelu Entrepreneurship Programme (TEEP) to the world and you all applied to transform Africa. We are pleased to let you know that on 1st January...
 5. Masikini_Jeuri

  Anwani ya Watengenezaji wa sabuni za Nice One

  Wakuu nahitaji msaada wa kujua anwani (address) ya watengenezaji wa sabuni ya Unga ya Nice One kwa maana ya mahali walipo na namna naweza kuwasiliana nao. Natanguliza shukrani
 6. Masikini_Jeuri

  Tuiboreshe Database ya Jukwaa letu

  Niwaite wanaharakati wapiganaji wenzangu! Nawasalimu kutoka Lupembe mkoani Njombe nikiwatakieni afya njema ! Muda mrefu kidogo nilipotea jukwaani ; lakini katika kurudi kwangu nimekutana na mambo mengi ya heri na habari nyingi na taarifa muhimu. Ila kwa mtazamo wangu bado hatujaziweka katika...
 7. Masikini_Jeuri

  Wapi napata ngozi kavu za ngombe

  Ni pm Nipe bei na namna ulivyozipack ...
 8. Masikini_Jeuri

  Yeyote mwenye contacts hizi

  Nahitaji mawasiliano na watengenezaji / viwanda au waingizaji wa nywele bandia hapa nchini; Rasta, Weave na hair extensions yeyote aliye nazo aua anayezifahamu naomaba naijulishe tafadhali
 9. Masikini_Jeuri

  Massey Ferguson 595..........njoo zichukue

  1991-94 Model, 90hp. 2WD...zote ziko katika hali nzuri zote zinafanya kazi Bei 18ml............bila accessory yoyote.........Maongezi yapo na commission pia ipo Karibuni
 10. Masikini_Jeuri

  Trekta linauzwa!

  Massey - Ferguson 595 90HP 2WD Liliingizwa nchini Dec 2009 Liko katika hali nzuri na limefanya kazi; Iringa; Dodoma na Ruvu! Ni pm kwa anayehitaji MODS : nimeshindwa kuattach picha Naomba MODS mnipm niweke pich hapa kwa ajili ya wadau!
 11. Masikini_Jeuri

  Zifanyeni kuwa "Sticky"

  Posts ya Kwako kinamea kitu gani, na ile ya uchimbaji wa visima............ni issues zitakazoendelea kujadiliwa hapa................nawaombeni mods!
 12. Masikini_Jeuri

  Ndege kubwa kiasi gani yaweza kutua Nduli?

  Natamani kujua kwenu wataalamu ni ndege ya ukubwa gani i.e inayobeba abiria wangapi ya kiraia inayoweza kutua Nduli?
 13. Masikini_Jeuri

  Tovuti ya Tanzania Investment Centre............haiko hewani!

  Kuna jambo nilitaka kutazama huko ghafla nashangaa kuona haipatikani url niliyo tumia ni www.tic.co.tz.! tena nilitaka nihakiki ili nimwelekeze mgeni mmoja atazame................aibu tupu! Je ni yenyewe ama nimepotea njia...........msaada ama aliyeano jirani amshtue S.A wao! kama ni kweli...
 14. Masikini_Jeuri

  Namna ya kukata rufaa baada ya hukumu

  Ndugu yangu kahukumiwa kifungo cha miezi sita kwenye kesi ya madai..............; kwamba aliwaajiri watu amabao walikubaliana kulipana bbada muda fulani na kwa kuwa yeye hakuwa ametimiza malipo muda ulipofika ; wadai wake walifungua kesi katika mahakama ya mwanzo na hukumu imetolewa kuwa...
 15. Masikini_Jeuri

  True Love?

  Does true love ever die? Can someone lend something to this topic please?
 16. Masikini_Jeuri

  Mh. Mkosamali: This week in perspective

  Lugha ya kimombo ilikuja kwa meli ....................
 17. Masikini_Jeuri

  Lets share: ~~~FOR ALL WHO NEED ENCOURAGEMENT FOR THEIR MARRIAGES~~~

  Written by: Becky Morales 2-14-2012 and inspired by God My heart goes out to all who are suffering broken marriages, who are losing hope and trying so hard to hold on, but see it hard to hold on when things look so messed up and so lost. No matter what you are going through remember that...
 18. Masikini_Jeuri

  Wizara ya Afya...SHAME ON YOU!

  Nitakwenda kinyume na wengi..............mtiriiriko wa yaliyojiri hivi karibuni katika Wizara hii pamoja na mgomo wa Madaktari...........ni matokeo ya uozo na mbinu chafu zilizokuwa zikiendelea wizarani hapo kwa muda mrefu.............! Blandina Nyoni ana mapungufu yake lakini pia kwa sehemu...
 19. Masikini_Jeuri

  Mkutanoa wa Davos............nini tumejifunza?

  Tunafaida na yaliyozungumzwa huko kamAfrica na kama Tanzania ama ni jukwwa jingine la world politics
 20. Masikini_Jeuri

  Mitsubshi rice harvesters

  naomba Msaada wa link ya Mitsubishi rice harvesters ama combine harversters za Mitsubishi hasa M1650, kwa yeyote anayefahamu nitapenda kupata na bei zake pia
Top