Search results

 1. Gogle

  Kwanini serikali hupeleka kesi kwenye mahakama zisizokuwa na uwezo wa kuzisikiliza?

  Habari zenu wakuu, Mara nyingi nimesikia kwenye habari "Hakimu amemtaka mshtakiwa kutojibu chochote kwa kuwa mahakama hiyo haina mamlaka ya kusikiliza kesi hiyo". Sasa najiuliza kwanini serikali imepeleka kesi hiyo kwenye mahakama isiyo na mamlaka nayo. Je hawakujua kwamba mahakama...
 2. Gogle

  Ni adhabu gani bunge linaweza Kumpa CAG

  Wakuu naomba kujua ni adhabu gani kisheria kamati ya maadili ya bunge inaweza kumpa CAG Assad kwa haya yanayoendelea. Sent from my iPhone using JamiiForums
 3. Gogle

  Museveni ni rafiki yetu, tuongee nae mechi ijayo atuachie na sisi tutinge AFCON

  Yeye si ameshafuzu! Bila ya hivyo AFCON tutabaki kuangalia kwenye Luninga
 4. Gogle

  Rais wa indonesia alivyowasili kwenye asian games 2018

  Huyu jamaa ni balaa!
 5. Gogle

  Kichanga chazuiwa kwa miezi 5 kwa kushindwa kulipa bill.

  Hii hutokea kwa shithole countries tu. Baby held for months over unpaid bill
 6. Gogle

  Mbona Tanzania haishiriki katika Winter Olympics?

  Kwani ni lazima nchi zinazoshiriki ziwe na snow?
 7. Gogle

  Hii ndio elimu inayotolewa na International schools.

  Kwa elimu hii wanayopewa watoto wetu huko international schools, tujiandae kuwakamata kina Milembe na Shonza wengi sana huko mbeleni.
 8. Gogle

  Majina na maneno yaliyopoteza hadhi 2017

  I. Bashite II. Bavicha III. Kamanda IV. Chattle V. _ _ _ VI _ _ _ Heri.ya 2018
 9. Gogle

  Comment yenye Like nyingi kushinda zote hapa Jf

  Ni ipi?
 10. Gogle

  Atletico vs Chelsea itaoneshwa Azam tv?

  Wakuu hapa kuna Kifurushi cha sh 15000 cha azamtv , chanel itaonyesha hii game?
 11. Gogle

  Msaada kuhusu ndoto inayoendelea kwa three nights mfululizo

  Wakuu, Usiku wa kuamkia juzi niliota nimepata ajali ya ndege, ndege ilianguka baharini karibu na nchi kavu huko sudan, ilipoanguka tu nikashtuka ndoto ikaishia hapo. Usiku wa kuamkia jana ndoto ikaendelea nikiwa katika hekaheka ya kujiokoa nikafanikiwa, nikahojiwa na waandishi wa habari...
 12. Gogle

  Msaada: Jinsi ya kutambua akaunti ya Instagram ambayo ni contact kwenye simu

  Wakuu, kwenye instagram huwa wanakushauri (suggestion) akaunti za kufollow, huwa wanakwambia fulani ni mmoja kati ya contacts zako lkn kwa kawaida majina ya contacts na majina ya akaunti za insta hutofautiana. Msaada ninaouhitaji ni: Nitajuaje namba ya simu ya huyu ambae insta wamesuggest...
 13. Gogle

  Chemsha bongo: jibu lake sio 6

  Gogle
 14. Gogle

  Kilimanjaro Story by Casey Neistat

  Gogle
 15. Gogle

  WaTanzania wengi ni Makapuku na Wacheza Kamari

  Habari wakuu? Kwa muda mrefu humu JF kila kila nikirefresh katika ukumbi wa New post threads za mwanzo kutokea ni ile ya makapuku na ile ya kubet, je hii inamaanisha waTanzania wengi ni makapuku na wacheza kamari? Nauliza tu.
 16. Gogle

  Trump vs Headscarves

  Then
 17. Gogle

  Wapenzi wa Just For Laugh Gags tujumuike hapa

  Habari wadau, Mimi ni mshabiki mkubwa wa pranks za Just for Laugh Gags. Wale wenzangu na mimi tujumuike hapa tucheke pamoja, tupunguze stress tuongeze siku za kuishi.
 18. Gogle

  Uzi wa 'formula 1 special' umepotelea wapi?

  Wakuu kama title inavojieleza hapo naomba Masada
 19. Gogle

  Idadi ya binadamu waliokuwa mawaziri Tanzania 2005-2015

  Habari wakuu, Kuna research nafanya, kwa heshima kabisa naomba kujuzwa idadi ya binadamu waliowahi kuwa mawaziri na manaibu waziri katika uongozi wa serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania awamu ya nne iliyoanza oktoba 2005 hadi novemba 2015, ili niweze kujazia katika research yangu. Au...
Top