Search results

 1. farujoni

  Gari yangu ina tatizo la kuchemsha naomba msaada

  Thanks Sent using Jamii Forums mobile app
 2. farujoni

  Niulize chochote kuhusu injini za magari madogo na pickup zinazotumia petroli

  Natumia gari aina ya Vitz old model gari hii inatabia ya kuwasha taa nyekundu kuashiria kuwa tempreture ya gari iko juu pindi jua linapokuwa kari sana na hali hii inapelekea gari kukosa nguvu ama kuzima kabisa. Ila pindi inapowasha taa ya kuashiria kuwa gari inachemsha huwa naangalia kama maji...
 3. farujoni

  Gari yangu ina tatizo la kuchemsha naomba msaada

  Za muda huu.. Natumia gari aina ya Vitz old model gari hii ina tabia ya kuwasha taa nyekundu kuashiria kuwa temperature ya gari iko juu pindi jua linapokuwa kali sana na hali hii inapelekea gari kukosa nguvu ama kuzima kabisa. Ila pindi inapowasha taa ya kuashiria kuwa gari inachemsha huwa...
 4. farujoni

  ETI UKITAKA AFIKE KILELENI UNAFANYAJE

  Jifunze kwa kutia ndo ukifunze kumfikisha maana hivyo ni vitu viwili tofauti!!?? Sent using Jamii Forums mobile app
 5. farujoni

  ETI UKITAKA AFIKE KILELENI UNAFANYAJE

  Shuleni kweni awafundisho!!?? Sent using Jamii Forums mobile app
 6. farujoni

  Unlimited Internet For Youtube

  Me naulizia kama wana iyo product ya jnlimited bundles
 7. farujoni

  Unlimited Internet For Youtube

  Hi Naomba kujua ni mtandao uoi wa simu una unlimited internet for youtube kwa njiarahisi mtandao upi unatoa unlimited bundle za youtube!!?? Najua Halotel wana Royal Bundle but once ikiisha zile GB walizokupa mtandao kasi yake inapungua.
 8. farujoni

  Unlimited Youtube streaming bundle

  Hi, Dunia ya sasa mambo mengi yamekuwa yanabadilika kwa kasi na sasa Youtube imekuwa kama television ambapo imekuwa ina mambo mengi mno ambapo yanakuwa yanaonyeshwa kupitia channel ambazo zimefunguliwa huko. Swali langu ni kwamba ni mtandao gani ambao naweza kupata unlimited streaming ya...
 9. farujoni

  Napata wapi Xiaomi Android TV Box

  Nimepata kwa laki mbili gharama ukiwa pamoja na usafiri wa kukuletea nyumbani
 10. farujoni

  Nimeangalia video ya huyu Mkenya, WCB wanatakiwa kuitafakari

  Kama mnakumbuka lakini wasafi festival ilianzia kenya na kuwapa fursa wasanii wakenya guys
 11. farujoni

  Napata wapi Xiaomi Android TV Box

  Nimepata kwa highlife tz
 12. farujoni

  Napata wapi Xiaomi Android TV Box

  Nashukuru wote mlionisaidia nimipata hii box ya xiaomi ni nzuri na nimeipta kwa bei rahis compare na wanayoisema hapo kikubwa ni uwezo wako wa kubergain
 13. farujoni

  Napata wapi Xiaomi Android TV Box

  Amna sehemu nyingine boss maana majamaa nei zao ni juu balaa
 14. farujoni

  Napata wapi Xiaomi Android TV Box

  Ok asante
 15. farujoni

  Napata wapi Xiaomi Android TV Box

  Sako wapi hawa
 16. farujoni

  Napata wapi Xiaomi Android TV Box

  Kenya mi store ipo ila hawatumi kabisa mizigo
 17. farujoni

  Napata wapi Xiaomi Android TV Box

  Sijui jinsi ya kuagiza na siwaaminigi hawa ali express
 18. farujoni

  Napata wapi Xiaomi Android TV Box

  Nina shida nayo sema Ali Express mimi siwaamini kabisa na sijui jinsi ya kuagiza
 19. farujoni

  Napata wapi Xiaomi Android TV Box

  Hi, Mnayoiona hapo ni Xiaomi Mi Box S Android Tv ambayo inaipa televisheni yako uwezo mzuri wa kuwa Smart TV au hata kama smart, inakupa futures ambazo usingeweza kuzipata kwenye Smart TV. So nilikuwa nauliza wapi naweza pata hii device au atanisaidia kuweza kupata kwa hapa Tanzania...
 20. farujoni

  Mrejesho wangu katika jitihada na mchakato wa kufungua biashara, kutafuta vibali katika mamlaka mbalimbali

  Kaka acha kupotosha kwa TRA TIN unajipatia mwenyerwe kwani asa hv wamewezesha kwa kumfanya mlipakodi ajipatie TIN mtandaoni bila hata kufika TRA hivyo basi nakusiii ingia kwenye mtandao waTRA alafu chukua iyo TIN then nenda kwenye mkoa wa kodi husika uweze kupritiwa certificate yako na uweze...
Top