Search results

 1. M

  Nitumie App gani niweze kuangalia Tv kwa kompyuta?

  Wajuzi nahitaji niweze kuangalia Tv kwa kupitia kompyuta but sijui ni apps gani naweza tumia kustream live channel za Tv mbalimbali za ndani na nje ya nchi. Nahitaji zaidi channel zinazoonesha mpira Msaada tafadhali
 2. M

  Marekani na Trump wamefikia wapi kuiwekea Tanzania vikwazo? Jumatatu imepita

  Wakuu wiki iliyopita hapa nchi kulizuka mjadala mkubwa sana wa Tanzania kuwa miongoni mwa zitakazowekewa travel ban na nchi ya Marekani chini ya Rais mtukutu Trump. Zaidi taarifa hizo zilidai kuwa kufika Jumatatu ya tarehe 27 Marekani itakuwa imetoa list kamili ya nchi zilizopigwa ban na sababu...
 3. M

  Nahitaji Simu haraka kwa bei 100,000

  Habari wakuu, Nahitaji simu original kabisa haraka sana iwezekanavyo, budget iliyopo ni pesa ya Kitanzania shilingi laki moja (100,000) Napatikana Dar es salaam Aina ya simu inayohitajika ni miongoni mwa zifuatazo: • Samsung Galaxy S4 •Samsung Grand Prime pro •Tecno Camon CX Air •Samsung Grand...
 4. M

  CCM imejichokea, upinzani hawajajipanga kuchukua nchi

  Happy new year 2020 to y'all members of JF Hakika tumeuanza mwaka muhimu katika nchi yetu, mwaka ambao tunakwenda kufanya maamuzi ya nani kutoka chama gani aongoze nchi na kuivusha Tanzania kutoka umasikini uliotopea mpaka uchumi wa kiwango cha kati Bila kutafuna maneno, CCM hawawezi kututoa...
 5. M

  Maendeleo ndani ya Jiji la Dar yameletwa na Mkuu wa mkoa Paul Makonda

  Heri ya sikukuu ya krismasi na mwaka mpya wa 2020 JF Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpatieni, Dar es salaam ndio mji mkubwa Tanzania na unachangamoto lukuki kutokana na idadi kubwa ya watu Changamoto za Jiji hili kwa kiwango kikubwa zimetatuliwa na mkuu wa mkoa huu mheahimiwa Paul Makonda...
 6. M

  Uenyekiti wa Chadema hauwezi, urais wa Jamhuri ya Muungano Lissu atauwezea wapi?

  Good morning people! Inasemekana kwamba mwaka 2020 Chadema imepanga kumsimamisha Tundu Lissu kuwania kiti cha urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania dhidi ya CCM ya Magufuli. Inaleta walakini kama mtu anayejinadi kuwa na uwezo wa kuongoza nchi kushindwa kuongoza chama chenye wanachama milion...
 7. M

  Easther Matiko katika mashindano ya riadha ya wabunge Afrika mashariki

  Mashindano ya riadha, mita 400
 8. M

  Matukio yaliyotikisa nchi 2019

  Katika siasa za Tanzania kuna matukio yalitukia na kutikisa nchi nzima, vyombo vyote vya habari mpaka mitandao ya kijamii ndio habari zilizokamata Ifuatayo ni list ya matukio hapa Tanzania 1. Tundu Lissu kuvuliwa ubunge, kiukweli hii ilikuja kama suprize kwa watanzania na hakuna aliyetegemea...
 9. M

  Tigo Fiesta imepoa sana, kama hakuna kitu leo

  Wakuu hivi clouds media waliwakosea nini wananchi? Leo tarehe 8 decemba ni siku ya tukio kubwa kiburudani hapa nchi ambalo huambatana na shamrashamra kama zote, kwa awamu hii hali ni tofauti kabisa Hakuna zile pirikapirika kuanzia mitandao mpaka mtaani kote ni kimya, hakuna mtua anyesema kitu...
 10. M

  Kuanzishwe JF Bonanza kama ilivyo ToT Bonanza

  Habari za jumapili wapendwa katika bwana Thread content Twitter na watumiaji wake hapa nchini wamekuwa na utamaduni wa kukutana mara moja kwa mwaka kwa lengo la kufamiana, kubadilishana mawazo na kuongeza connection katika maisha, ni jambo zuri na lenye manufaa Nitoe mapendekezo yangu, sisi...
 11. M

  Wakenya hawajui kiswahili, watanzania tutumie fursa kuwafundisha

  Wakenya hamueleweki ni lugha gani mnaimaster vizuri zaidi kuliko kati ya lugha zinazozungumzwa nchini mwao Kiwashili hamuwezi, labda mtambe na lugha za kikabila tu kwani hata kiingereza pia mnafanana uwezo na wabongo watanzania wajuzi na ndio wenye kiswahili tutumie fursa hii kupenya kenya...
 12. M

  Zitto Kabwe kugombea urais 2020, aanza kampeni kabla ya wakati

  Zitto Kabwe ameamua kupitia chama chake cha ACT Wazalendo kuamua kuweka wazi nia yake ya kugombea urais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Ni wazi sasa kampeni za Zitto zimeanza mapema kabla hata ya wakati, ndio Zitto Kabwe anapiga kampeni za urais kabla ya wakati. Zitto anawataka wananchi...
 13. M

  Yuko wapi Waziri wa Muungano na Mazingira?

  Wakuu itifaki imezingatiwa. Itakumbukwa miezi michache iliyopita Mheshimiwa Rais wa Tanzania John Pombe alitangaza kutengua uteuzi wa aliyekuwa Waziri wa Wizara ya Mazingira na Muungano na kuzua mijadala kila kona ya nchi kwani hakuna aliyetegemea kama January Makamba anaweza kutumbuliwa...
 14. M

  Tanzania tunahitaji umoja wa mataifa kuondoa mkwamo wa kisiasa na demokrasia

  Kwa matukio yanayofanywa na serkali ya awamu ya 5 chini ya Magufuli dhidi ya wananchi wapenda amani ni vema sasa mataifa yaingilie kati kutatua mkwamo wa kidemokrasia Tanzania Nchi ya Tanzania kwa sasa inapitia mazingira magumu chini ya udikteta, uvunjifu wa haki za binadamu, kama vile watu...
 15. M

  Matumizi ya jeshi, mahakama na vitisho vyaua upinzani Tanzania

  Hii haina ubishi kwa sasa upinzani hii haupo tena, ile hali ya mwaka 2015 ilikua ni taa ya kijani kwa vyama vya upinzani kwamba wanaweza chukua nchini mwaka 2020 lakini hali imekuwa tofauti na matarajio ya wengi. Pia hali hii haishangazi. Itakumbukwa Rais alipoingia madarakani alitangaza...
 16. M

  Wako wapi viongozi wa upinzani? Tunahitaji muongozo wao

  Inauma sana CCM kujichukulia mitaa yote kwa njia zisizo sahihi lakini sitaki kuamini kama sisi watanzania tuliochoshwa na utawala huu wa kifashisti wa Serikali ya Magufuli tutakubali kufanyiwa huu ubakwaji wa demokrasia Viongozi wetu wa upinzani leo mmejificha wapi? ni vema mkajitokeza...
 17. M

  Wabunge wasiogombea tena 2020 weka list yao hapa

  Tunaelekea uchaguzi mkuu hapo 2020 lakini mapema tu kuna baadhi ya wabunge wameshatangazwa kwamba gawatagombea tena nafasi zao hizo kupitia vyama vyao na sababu zao mpaka sasa hazijulikani kwa kuhisi tu wale wa chama cha kijani wengi ni wale wanaoenda kinyume na fikra za mwenyekiti hivyo...
 18. M

  Msaada, QPG is compress press Ctrl+alt+del to restart

  Habari wakuu Naomba msaada wenu was Nini nifanye ili niweze kuirudisha kompyuta katika Hali ya kawaida Nimeiwasha na kuniandikia ujumbe wenye maneno yafuatayo QPG is compressed press Ctrl+ alt+ del to restart Nimepress lakini hakuna lolote, naomba nielekezwe nifanye Nini compyuta irudi kawaida...
 19. M

  Kwa mtaji wa milion 1, nahitaji muongozo wenu kuanzisha biashara ya chips

  habari wakuu hatimaye nimepata wazo la kufanya na hii milioni 1 yangu ni hivi nimejitokeza kuomba mwongozo wa nini mambo ya muhimu niweze kuanzisha biashara ya chipsi kwa kuwa na banda classic, vifaa na chipsi classic pia yaani ziwe za viwango vya juu na kuwavutia wateja wanaopenda chips bora...
 20. M

  nahitaji, sina wazo nifanye biashara gani kwa mtaji wa laki 8 mpaka 1 m

  Habari wajuvi wa Jf nimekuwa na matamanio ya kufanya biashara yoyote halali ili niweze kujikomboa kiuchumi na kupiga hatua kimaisha kama kijana katika harakati za kupambana kutafuta kianzio, nimejitahidi sana kwa hali ya juu zaidi kuaccumulate kiasi cha pesa kinachorange kuanzia laki 8 hadi...
Top