Search results

 1. Kizimkazimkuu

  FROM THE PUBLIC EDITOR'S DESK : Locomotives scam stinks to high heaven, and yet Tanzania’s media is blissfully silent

  Mr King says the group is already involved in the "complete assembly" of 13 locomotives destined for Tanzania as part of a venture with US rail group Electro-Motive Diesel (EMD), which is now owned by US heavy equipment maker Caterpillar.
 2. Kizimkazimkuu

  Trump atoa vipengele vinavyoongelea mabadiliko ya hali ya hewa na ushoga kwenye tovuti ya Ikulu

  Ni vizuri ukiamua ku post; ujiridhishe na taarifa yako. Sio kweli kuwa Mashirika kama Marie stoppes yatapata shida na hatua aliyochukua Trump. Mosi, sheria hii imekuwa ikifutwa kila kipindi ambacho raisi anatokea Democrat na kurejeshwa kila rais anapotokea Republican. (Clinton aliifuta, Bush...
 3. Kizimkazimkuu

  China kujenga barabara ya kulipia kutoka Dar hadi Dodoma

  Sielewi kwanini watu wanatoa maneno ya kejeli, shutuma na malalamiko juu ya habari hii. Utaratibu wa kulipia barabara ni utaratibu wa kawaida duniani na hata hapa Tanzania ulikuwapo. Ukisoma vizuri gazeti, hawa ni wawekezaji; kama vile ambavyo wangeamua kujenga ukumbi wa disco na kutoza...
 4. Kizimkazimkuu

  Ipo siku DSTV inaweza kushindwa kupata haki za EPL?

  Mtoa post usikonde, habari njema ni kuwa KWESE sports inakuja kuchuana na DSTV. Soma zaidi hapa
 5. Kizimkazimkuu

  Suala la Hospitali ya CCBRT linasikitisha sana!!!

  Kwa mfano mtoa mada anasema wafanyakazi walioajiriwa na serikali wanatimuliwa na CCBRT; Inakuwaje mtu unafukuzwa na taasisi ambayo haijakuajiri??
 6. Kizimkazimkuu

  Karibuni Lesotho (Maseru) tufanye biashara

  Mleta mada maelezo yako mengi hayana ukweli; Textile industry Lesotho iko juu sana na material yao Seshoeshoe ambayo ni traditional; I know wadada wanapenda khanga na vitenge for a change but it cannot be a succesful business. Population ya hapo maseru inakaribia watu laki mbili, mzunguko wa...
 7. Kizimkazimkuu

  Tetesi: Ray C akimbizwa Muhimbili

  Huyu dada anahitaji kusaidiwa; kumlaumu kuwa alijichagulia haya maisha sio sahihi (unless tuna ushahidi wa tunayoyasema). watu wengi hapoa tanzania na kwignineko wanaingia kwenye madawa ya kulevya kwa kudanganywa kama vile kuchanganyiwa katika sigara, vinywaji nk. Ifahamike kuwa mtu akitumia...
 8. Kizimkazimkuu

  Bado Bohari ya madawa MSD ni jipu!

  Kabla ya kuilaumu MSD, serikali itimize wajibu wake ilipe mabilioni inayodaiwa MSD. Leo MSD haina uwezo wa ku clear madawa bandarini, store imejaa dawa zilizo expire kwa kuwa hawana uwezo wa kuziharibu na pia hawana tena uwezo wa kununua dawa in large quantities kutoka viwandani kwa kifupi MSD...
 9. Kizimkazimkuu

  JK azidi kupasua anga Ulaya

  Hii story ya kiboya sana; kwa sababu haieleweki ni ujumbe gani mwandishi anataka tuupate. Anasema JK anasafiri sana lakini anamalizia kuwa safari hizi zinatokana na mialiko anayoipata. Mwandishi alitakiwa atuambie kikwete alikuwa na options gani; kukataa mialiko? ku-host mikutano hiyo Tanzania...
 10. Kizimkazimkuu

  Rais Magufuli, timua huyu mkurugenzi wa TASAF

  Mkuu usichanganye mambo; hata miradi yenye manufaa sana kama ujenzi wa barabara, zahanati nk. inaweza kugeuka kichaka cha mafisadi na kuwa na malalamiko. Mbona huongelei faida za mradi kama watoto kuhudhuria shule, watoto chini ya miaka 5 kuhudhuria kliniki na financial literacy training...
 11. Kizimkazimkuu

  Rais Magufuli, timua huyu mkurugenzi wa TASAF

  Mtoa mada ungechukua muda na militia website ya TASAF ukajielimisha juu ya mradi huu halafu ukaja na hoja zenye mashiko kuukosoa. Unapotosha watu; miradi kama hii imefanikiwa nchi za Latin America na hizi so fedha za serikalini(kodi). Mradi una mambo mengi na kugawa fedha (condition cash...
 12. Kizimkazimkuu

  Watoto Wanne wa Mwenyekiti wa Chama Jakaya Kikwete

  Ndugu yangu usilolijua ni kama usiku wa giza. Kwamba Magufuli ana hofu ya Mungu nakushauri usije ku-bet juu ya hili, utaliwa!
 13. Kizimkazimkuu

  Tusipofanya hili wenyewe, wazungu watatupunguza kwa nguvu!

  Nikushukuru Barbarosa kwa uzi mzuri ulionzisha na mpaka sasa mjadala unaenda vizuri; Ni ukweli usiopingika kuwa ni vigumu sana (kama ngamia kupenya katika tundu la sindano) kwa nchi kujiletea maendeleo huku ikiwa na idadi kubwa ya uwiano wa namba ya watoto kwa mwanamke (Tanzania kwa wastani kila...
 14. Kizimkazimkuu

  Ijue Uholanzi

  Suala la muhimu zaidi kwa sheria za Uholanzi Umalaya (prostituton ) imehalalishwa (legalized) kama ajira rasmi hivyo malaya analipa kodi kutokana na kipato chake lakini pia anakuwa na stahili zake pindi atakapostaafu nk. Hii ni tofauti na nchi nyingine mathalani Belgium ambako wao wanasema...
 15. Kizimkazimkuu

  Kigwangalla: Katibu Mkuu wa CHADEMA ana kashfa ya kuongoza migomo ya madaktari Tanzania

  Ndugu Mkendo, nina miaka zaidi ya nane hapa JF lakini sina idadi ya post ulizonazo wewe wa 'juzi'; it says a lot kuhusu tofauti yangu na yako; nachoandika nakifahamu sina chembe ya ushabiki katika hili.
 16. Kizimkazimkuu

  Kigwangalla: Katibu Mkuu wa CHADEMA ana kashfa ya kuongoza migomo ya madaktari Tanzania

  Wale wale wakina nani? tuache mihemuko na tuchangie kama watu wazima. katazame tena wasifu wake ulivyoandikwa, Mmed ni miaka mitatu hakumaliza. Niesema hapo juu, sababu za kutomaliza hazimuondolei sifa yeyote kwa kuwa hakushindwa (kufeli) kumaliza...
 17. Kizimkazimkuu

  Kigwangalla: Katibu Mkuu wa CHADEMA ana kashfa ya kuongoza migomo ya madaktari Tanzania

  ....suala lingine linalobishaniwa hapa kuhusu nani alishiriki mgomo upi ni vizuri kuwekana sawa; mgomo ambao Kigwangalla na pengine Mashinji alishiriki ni wa mwaka 2005 na sio huu wa majuzi ambao ulihusisha Ulimboka kutekwa nk. Ni vizuri kujua kuwa mwaka 2005 wakati wa mgomo huo Dr. Ulimboka na...
 18. Kizimkazimkuu

  Kigwangalla: Katibu Mkuu wa CHADEMA ana kashfa ya kuongoza migomo ya madaktari Tanzania

  Ukweli utabaki kuwa ukweli regardless Dr. Mashinji ni Katibu Mkuu wa CDM ama la; na ukweli wenyewe ni kuwa hakuwahi kumaliza Mstarters of medicine ya Anaesthesia. Hata hivyo sababu za kutomaliza kwake hazimuondolei sifa zake nyingine. Ushauri wa bure ni yeye mwenyewe kuandaa CV yake ''official''...
 19. Kizimkazimkuu

  Dr. Eve Hawa Sinare atangaza Kuhama CCM

  Huyu mama naona amemiss promo za media muda mrefu..JESSICA KIKUMBI "ALIYE KUWA MUME WANGU NDIO ANASAMBAZA PICHA ZANGU ONLINE" | Udaku Specially
 20. Kizimkazimkuu

  Jaji Sinde Warioba kanishangaza

  ....mleta uzi, kama hukumshangaa Lowassa kupokelewa CHADEMA huna sababu ya kumshangaa Warioba. Mkuki kwa Nguruwe...
Top