Search results

 1. ubongokid

  Hivi ni kweli Wizara ya Ardhi imeshindwa kutatua kero za wapangaji nchini?

  Mkuu kama wapangaji wenyewe mmeshindwa kujiunga na kutetea maslahi yenu mnatarajia wenye nyumba ndo wawa tetee?au mnatarajia serikali ndo iwatetea.Kama mnataka kuondokana na kero basi hakikisheni kwanza mnaungana na kuunda Chama cha Wapangaji.Kisha muwe na Viongozi wenu muwe na ofisi zenu,Mlipe...
 2. ubongokid

  Jinsi ya Kwenda jana na Kesho-Moving accross time boundaries

  Leo nataka kuleta mjadala mdogo; Huu ni mjadala unahusiana na uwezo wa mwanadamu kuvuka time borders.Tunajua kwamba in reality sote tumeungwa katika wakati uliopo. We have no control of the past or the future except through imagination.Katika kufikiria kwa kina unaweza ukaona kwamba pamoja na...
 3. ubongokid

  Je Mbuga ya Burigi Chato ina umuhimu wowote au ni Mbwembwe tu?

  Nianze kwa kusema kwamba andiko hili halilengi kuunga au kupinga uwepo wa mbuga ila linataka kuibua mjadala wa kimkakati kuhusu ulazima au umuhimu wa kuwepo kwa mbuga hii. Binafsi nafikiri serikali ingepaswa kuwekeza rasilimali muda na rasilimali pesa katika kuboresha mbuga zilizopo,kuzitangaza...
 4. ubongokid

  Hii nchi imekuwa kama familia ya kambale, kila mmoja ana ndevu

  Hii nchi yetu sasa imekuwa ya ajabu sana. Viongozi wetu nao wamekuwa vituko na watu wa ajabu kabisa. Imekuwa kama familia ya kambale ambapo ukoo mzima una ndevu.Yaani kanchi kamekuwa na mambo ya kipuuzi puuzi tu yasiyokuwa na adabu. Kanchi sasa hakana mipango, hakana sera wala hakana uelekeo...
 5. ubongokid

  Zuio la Watanzania kwenda Ng’ambo: Paul Makonda awa kiongozi wa kwanza kuzuiwa kuingia Marekani

  Mheshimiwa Rais, Natambua kwamba wewe unayo mamlaka ya kutambua na kutumbua. Natambua pia kwamba wewe unatambua uwezo wa taifa la Marekani katika kupata intelijensia ya yanayojiri katika taifa lako ikiwamo tuhuma dhidi ya Makonda. Wewe kama Mkuu wa nchi unayo nafasi ya kuhakikisha kwamba...
 6. ubongokid

  Dr Hassan Abbas ateuliwa Katibu Mkuu wizara ya Habari Utamaduni na michezo

  @Pascal Mayalla Vipi umejiandaaje kwa uteuzi huu?Naona hajatangazwa wa kushika nafasi hii ina maana kwamba bado wanajaribu kukushawishi ukubali kujiunga na timu ya sifa.
 7. ubongokid

  Ndugu zangu Waislam kufundisha karate Misikitini lina maana gani hili

  Wanaanda vijana kwa ajili ya kujiunga na alshabaab na ISIS.
 8. ubongokid

  Election 2020 Je, watanzania watamchagua nani kuwaongoza mwaka huu

  Habri za wakati huu; Nimekuwa nikifuatilia kwa kina mitazamo ya wananchi hasa vijana wa umri kati ya miaka 18 hadi 45 ambao wengi wao ndio wapiga kura watakaoshiriki katika kuamua nani awe rais mwaka huu wa 2020.Kwa fikra na mtazamo wao kwa hakika wanatafuta sana alternative candidate/Mbadala...
 9. ubongokid

  Diplomasia imevunjwa: Kuzuia RC Makonda kwenda U.S.A ni kosa la kidiplomasia. Walipaswa kufunga ubalozi wao kwanza. Tutarajie tamko la Rais au Kabudi

  Kwa ufupi sasa Bashite sijui Makonda,sijui mwenye Dar yake ni Persona Non grata.Ni mtu asiyetakiwa ndani ya Nchi ya Mbeberu.Sasa sijui second born wake itakuaje maana..... siju
 10. ubongokid

  Watanzania wanajua sura na harufu ya Upigaji

  Tatizo la viongozi wetu akiwemo Rais Magufuli ni kufikiri kwamba watanzania ni wajinga wasioelewa lolote.Wanasahu kwamba hiki kilichop mtaani sasa ni KIZAZI CHA KUHOJI (KCK) na kwamba uwezo wetu wa kuhoji hauna mipaka. Ndugu yetu tuliyempa dhamana ya kuendesha nchi anatambua kwamba ikifika...
 11. ubongokid

  Nyumba nzima inapangishwa Kimara Mwisho - Golani Tshs. 200,000/= kwa mwezi lipa miezi mitatu (3)

  Nyumba nzima inapangishwa Kimara kwa Tsh. 200,000/= kwa mwezi lipa miezi mitatu Ndoo hii hapa?Haijapata mpangaji bado?
 12. ubongokid

  Sasa ni hatari kama Taifa kuwa na mfumo wa elimu usiojali. Tutafakari,tujipange

  Mkuu kama umenisoma vizuri nimesema kwamba hata wale wanaopata zero wanaweza kuingia katika mfumo wa elimu kama vile vyuo vya maendeleo ya Wananchi(FDC).Cha muhimu ni kuhakikisha kwamba hakuna hata mmoja anayeachwa nyuma
 13. ubongokid

  Sasa ni hatari kama Taifa kuwa na mfumo wa elimu usiojali. Tutafakari,tujipange

  Naandika haya kama Mtanzania Mzalendo ambaye ninaamini kabisa kwamba Tanzania itajengwa na Watanzania wenyewe na kwa faida za Watanzania wenyewe. Ninatambua kwamba katika hili la elimu kunaweza kuwa na mambo mengi sana ila tukubali tukatae "ELIMU YETU INA MATATIZO MAKUBWA SANA" Baadhi ya...
 14. ubongokid

  Meya Issaya Mwita atinga ofisini kuendelea na kazi

  Wakimwondoa watafanikiwa kula zile pesa SImon Group alizonununa hisa za UDA Kinyemela.SHida ndo iko hapo hasa
 15. ubongokid

  Je, Rada zinashindwaje kuziona Drones?

  NA speed kuliko mwanga?Una uhakika wa hii speed ya MWANGA ama unahisi tu?
 16. ubongokid

  Nani atakuwa wa mwisho kufa? Nani atakuwa wa mwisho kwenda Gerezani? Nani atakuwa wa mwisho kuisoma namba?

  Kwa hakika hakuna lenye mwanzo lisilokuwa na mwisho. Nimekaa na kutafakari yanayotokea sasa nchini, watu wanakufa bila kuwa na hatia. Mfano, mama mzazi wa Kabendera. Watu wanakufa wakiwa na uchungu moyoni, watu wanakufa bila kutarajia, watu wanapotezwa, watu wanawekwa jela bila haki, watu...
 17. ubongokid

  Kijana, epuka mwanamke aliyeharibika akili usijejuta

  Mkuu kote umelenga ila hapa kwa single maza nafikiri inategemea sana na single maza mwenyewe.Nafikiri zaidi ni swala la muoaji kumuangalia singo maza na kupitia yeye anaweza kuona picha ya mwanae.Wengine ni masingle maza by choice kwa sababu ya ujinga wa wanaume(Kunyanyaswa) Wengine ni...
Top