Search results

 1. K

  Ukimuona 'Babu wa Loliondo' utamwambia nini?

  Huyu Babu utamuambia nini ukimuona sasa hivi? ni hilo tu
 2. K

  Muhidini Kimario afariki

  Aliyekuwa waziri na mbunge wa moshi mjini 1975-1990 Muhidini Mfaume Kimario hatunae tena! tunamuombea pepo na kuwapa pole wafiwa. Kimario tutamkumbuka kwa kumaliza tatizo la maji moshi mjini miaka ya 80-90!
 3. K

  Air Tanzania yatua Somalia

  Rais wa Somalia, Hassan Sheikh Mohamud, akishuka kwenye ndege ya ATCL mjini Mogadishu, Somalia, juzi NA MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAM NDEGE ya Tanzania inayomilikiwa na Shirika la Ndege la ATCL, imetua nchini Somalia huku hofu ikitawala kuhusu usalama wake. Kwa mujibu wa taarifa za ndani...
 4. K

  Pacha wa Kagame

  huyu ni balozi wa somalia rwanda h
 5. K

  Bi. Asha Bakari Makame shujaa

  ASHA Bakari mjumbe wa bunge la katiba kafanyiwa hafla kubwa dodoma kwa kuwa katumia lugha ya kibaguzi na udhalilishaji ndani ya bunge. angalia picha hizi
 6. K

  Mirungi haramu gongo halali!!!

  https://www.youtube.com/watch?v=9Yv5lJaQZy4
 7. K

  Ni Mapinduzi Daima au Serikali ya kidemokrasia?

  Serikali ya mseto huko Zanzibar ilichaguliwa kidemokrasi na wananchi na kumbukumbu zinaonyesha mapinduzi yalifanywa na kundi la watu miongoni mwa wanachama wa ASP mwaka 1964! sasa inakuaje bado Zanzibar wanasherehekea mapinduzi ilhali kuna serikali iliyochaguliwa kidemokrasia? Nigeria na nchi...
 8. K

  Makao Makuu ya Tanganyika: Mapendekezo

  Kama rasimu ya katiba itapitishwa kuna umuhimu mkubwa wa mkoa wa Tanga ufanywe kuwa makao makuu ya Tanganyika kwa sababu zifuatazo: 1- Tanga ina historia nzito na nyeti! 2- Tanga ina bandari kongwe na iko mahali strategia zaidi! 3- Tanga ni mji wa kwanza Tanganyika kupata hadhi ya manispaa! 4-...
 9. K

  Kwanini vyama vya siasa mrengo wa dini ni haramu?

  Kama tuna amini ktk siasa za vyama vingi na demokrasia kwanini katiba yetu hairuhusu vyama vyenye mrengo wa kidini kama zilivyo nchi za Ulaya ikiwemo Ujerumani inayoongozwa na Christian Democratic Union (CDU) Christian Democratic Union (Germany) - Wikipedia, the free encyclopedia Chama hichi...
 10. K

  Tusipuuze kitisho cha ugaidi, tusikikuze pia!

  SITI binti Saad, malkia wa waimbaji wa kike Wakizanzibari, aliwahi kuimba nyimbo iliyokuwa na maneno: “Unguja ni njema, atakaye naje.” Siti aliyaghani maneno hayo kwa madaha na maringo zaidi ya miaka 60 iliyopita lakini majisifu yake ya kuiringia nchi yake bado yanasibu. Unguja na Pemba yake...
 11. K

  Kikwete, Tunahitaji FBI hapa!

  Albino auawa, wawili wakatwa viungo Mwigulu Matonange (10) akiwa na baba yake Gimbishi. KWA UFUPI Katika matukio hayo, mtoto mwenye umri wa miezi saba alinusurika kuuawa baada ya watu wasiojulikana kuvamia nyumba ya mama yake usiku katika eneo la Lamadi, Wilaya ya Busega, Mwanza siku moja...
 12. K

  Na huu ni ugaidi?

  Mwigulu Matonange (10), a Standard I pupil at Msia Primary School in Sumbawanga District, nurses wounds at Mtowisa Health Centre after an attack on February 15 in which his left arm was chopped off. (Photo: Correspondent Emmanuel Kwitema, UTSS Sumbawanga) Jamani mpaka lini haya yataendelea...
 13. K

  Tanzia: Shekh Nassor Bachu amefariki!

  Inna lillahi wa inna ilaihi rajiun! (hakika kwake tumetoka na kwake tutarejea!) na kila nafsi itaonja mauti! Kwa taarifa za kuthibitika hii leo zinaeleza kuwa Sheikh maarufu wa Zanzibar Shekh Nassor Bachu amefariki hii leo.! Sheikh alikuwa mgonjwa kwa muda mrefu na hivi karibuni alipelekwa...
 14. K

  Yakitokea Tanganyika huwa Majambazi, Zanzibar huwa ni Uwamsho!!!

  Watu wanaosadikika kuwa ni majambazi wamevamia ofisi ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Usharika wa King'ongo, Kimara Dar es Salaam na kupora vitu mbalimbali ikiwamo laptop na fedha Sh. 250,000. Tukio hilo lilitokea saa 4:00 usiku wa kuamkia jana, baada ya majambazi kumjeruhi kwa...
 15. K

  Je, Nyerere ni kikwazo cha katiba?

  Kuna kijana mmoja aliwahi kuishi katika nchi hii, na huyu kijana alikuwa anaitwa Edward Moringe Sokoine. Kijana huyu alikuwa anatoka kabila laWamasai. Sokoine aliwahi kuwa Waziri Mkuu wa nchi hii na alipokuwa Waziri Mkuu alikuwa mtu wa kwanza kumrekebisha Nyerere hadharani kwakusema "Tusiseme...
 16. K

  Zitto Kabwe awalipua wazungu!

  Mheshimiwa Zitto Zuberi Kabwe mbunge wa Kigoma Kusini na Waziri Kivuli wa CHADEMA amewalaani wazungu kwa utapeli na uporoji mkubwa wanaoufanya dhidi ya Waafrika! nadhani umefika wakati kwa Serikali yetu kuamka na kua macho na Wazungu wote wanaoingia nchini mwetu kwani hawana nia nzuri na nchi...
 17. K

  Wajumbe Mkutano Mkuu Chadema Wasakwa kwa simu!

  Gazeti la Mwananchi leo limeripoti masikitiko makubwa na mshituko alioupata Katibu Mkuu wa CDM Wilberd Slaa kususiwa na zaidi ya nusu ya wajumbe wa Mkutano Mkuu Jimbo la Kinondoni ktk mkutano mkuu. Mpaka sasa haijulikani sababu ya ususiaji huo ila wachunguzi na watafiti wa masuala ya siasa...
 18. K

  Chadema uongozi balaa!

  Baada ya kusoma habari hii toka gazeti la mwananchi nimegundua kuwa vigogo wa chadema hawaelewani na kuna mgogoro mkubwa unaofukuta chini kwa chini! habari zaidi soma hapa gazeti la Mwananchi 25.11.2012 kama ifuatavyo: CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimeitafutia dawa migogoro...
 19. K

  Profesa Lipumba live makutano Show!

  Profesa sasa yuko Dodoma live sasa akihojiwa na mwandishi wa habari jina simjui ila nafuatilia..... MakutanoShow on USTREAM: Makutano na Fina Mango. Radio
 20. K

  Pombe,sigara na ukahaba ni marufuku Zanzibar!!!!

  Hongera Wa Zanzibari kwa hatua muhimu kwa ustawi na kulinda maadili sasa umefika wakati na sisi huku bara kuiga hatua hiyo kwani itapunguza sana ukimwi na kulinda heshima na maadili yetu!!! chanzo: Pombe, Sigara na Ukahaba ni Marufuku Zanzibar | Mzalendo.net
Top