Search results

 1. GJHariohay

  Ben Saanane: Ninatishwa kuuawa kwa kuikosoa Serikali

  Hii Account ya Ben nani anaitumia kwa sasa? Mbona inaonekana online? Moderators tusaidieni. Maneno ya Ben yalikuwa ya kishujaa sana, his legacy will live forever....watawala wana la kujibu mbele ya Mwenyezi Mungu. Amina. Sent using Jamii Forums mobile app
 2. GJHariohay

  Maoni ya Makongoro Mahanga Kuhusu Kushindwa kwa Sumaye

  Huyu Mahanga ni mwanasiasa mzuri tatizo bado ile ile inayowatafuna wanasiasa kama yeye. Hili jaribu ameshindwa kulishinda na yeye.
 3. GJHariohay

  Serikali Kuu ya JamiiForums

  Naomba kufanya kazi ofisin kwa Makamu wa Rais Mh. shunie Nikiwa secretary wake itanifaa zaidi.
 4. GJHariohay

  Uchaguzi 2019 Mfumo wa upigaji kura uchaguzi Serikali za Mitaa

  Wanabodi Bila shaka mko poa. Moja kwa moja kwenye mada........ Naomba msaada wenu, hili swali nimeshindwa kupata jibu lake. Je, tarehe 24.11.2019 mfumo wa uchaguzi/ Upigaji kura na utangazaji wa matokeo utakuaje? Naomba kujibiwa hili swali, je kutakua na upigaji kura au ni kutangaza mshindi...
 5. GJHariohay

  Uchaguzi 2019 Askofu Kalikawe Bagonza: Tujiulize zaidi, CHADEMA wamejitoa au wametolewa?

  Tutashindana vip wakati nyie mmekimbia mtanange
 6. GJHariohay

  Ujumbe wa wazi kwa Rais Magufuli na Serikali

  Hii hapa ndio uhalisia
 7. GJHariohay

  Ujumbe wa wazi kwa Rais Magufuli na Serikali

  Kama ni wewe ungeshauri nini kwa hali inavyoendelea? Huna akili wala vision yeyote, hujitambui wewe.
 8. GJHariohay

  Watu wamechoka jamani, mpaka wamefikia hatua hii

  Kesho nenda uhamiaji uchunguzwe
 9. GJHariohay

  Ujumbe wa wazi kwa Rais Magufuli na Serikali

  Ndugu Mtanzania mwenzangu naomba tuungane ujumbe huu umfikie Mh Rais wa JMT. Habari wana JF. Mimi huwa sio mwandishi mzuri sana, huwa napenda kusoma nyuzi za humu na kupitia comments za wadau. Naomba leo nitumie forum hii kumpa ujumbe MH.Rais JPM na Viongozi wengine wote. Najua fika wengi...
 10. GJHariohay

  CHADEMA: Taarifa kwa vyombo vya habari juu ya mambo yanayoendelea katika uchaguzi wa serikali za mitaa

  Chadema msituletee ujinga wenu, taken I huko, nani aliwaambia mshiriki uchaguzi, tena mstujazie hizi social media zetu na matamko yenu ya kulia lia hapa. Jitoeni, yaani unajua kabsa hakuna usawa kwenye jambo alafu unashiriki then unakuja kutafuta huruma huku. Mnanikera, mnatengeneza tu hela zenu...
 11. GJHariohay

  Magufuli augua ghafla, alazwa

  Sanaa....good thing wewe upo humu toka enzi hizo
 12. GJHariohay

  Nimetamkiwa na mke wangu kuwa Mimi ni dhaifu sana!

  Kweli kabsaa.... wanaume hatutaki kuambiwa una tabia za kike ....inakera mwanamke anaweza kuchukiwa mpaka kufa na asielewe
 13. GJHariohay

  Clouds 360: Hata kama CAG siyo muhimili kazi zake ni zaidi ya " huo" muhimili asikejeliwe!

  Riport ipi alitoa nje?? Acha ushabiki, hesabu gani alizianika huko BBC yako unayosema. Hujui hata aliongea nini na wapi. Akili za kujaziwa bila kutumia yako Sent using Jamii Forums mobile app
 14. GJHariohay

  Wapinzani ondokeni Bungeni rudini majimboni kwenu

  Wanajamvi habarini. Haya ni maoni yangu binfsi. Awali ya yote naomba kuwa muwazi kwamba mimi ni miongoni mwa wasiopendezwa na jinsi nchi inavyoongozwa kwa sasa. Sikubali utawala huu kwa mambo mengi sana. Kubwa zaidi ni mtawala kukataa katiba mpya ya wananchi ambayo yeye alikuwa mmojawapo...
 15. GJHariohay

  Mwenendo wa Siasa na Upinzani Tanzania

  Hili badiko ukilisoma kwa umakini na kuwa freeminded utapata kaukweli fulani. By the way siasa ya Tanzania haina misingi zaidi ya opportunities.
 16. GJHariohay

  Dodoma: DC Katambi aamuru kijana aliyeropoka ''Umetumwa'' akamatwe na jeshi la Polisi

  Hakuna cha zaidi ya ushamba Sent using Jamii Forums mobile app
 17. GJHariohay

  Mbunge wa viti maalumu wa mkoa wa Singida (CHADEMA) Jesca Kishoa Kafulila apata ajali Dodoma, hali yake ni mbaya

  Pole sana dear Jesca, Mungu akuponye na urudi kwenye majukumu yako
Top