Search results

 1. Gospel Preacher

  MSAADA:Turubai kubwa linahitajika

  Ndugu zangu habari zenu. Naomba kama una uza au una connection na wanapouza maturubai makubwa yale kwa lengo la kuezekea Jengo naomba kujulishwa. Au anayepafahamu hapo kkoo anisaidie natafuta yale makubwa ambayo huwa wanafunikia Sent using Jamii Forums mobile app
 2. Gospel Preacher

  Natafuta mabati yaliyotumika; nipo Mlandizi

  Wakuu habari zenu, natafuta mabati Used au yale reject kwa ajili ya kuezekea,nimeafiki hayo kwa sababu ya uwezo wangu wa kifedha unavyo niruhusu. Nipo Mlandizi 0655112023 Sent using Jamii Forums mobile app
 3. Gospel Preacher

  TANESCO wanakwama wapi? Tutafute Solar?

  Mbezi Msakuzi eneo maarufu linaitwa kwa Lipelanya kuna line hazina umeme siku ya 3 hii, TANESCO mnakwama wapi mnatukatisha tamaa hatuoni tofauti na TANESCO ya miaka ile kwa hali hii. Sent using Jamii Forums mobile app
 4. Gospel Preacher

  Msaada jinsi ya kufanya live broadcasting

  Habari wakuu, Naomba kuuliza namna ya kufanya Facebook live streaming au broadcasting kwa kutumia Camera ni vitu gani vinavyohitajika ili kufanikisha hilo? Nisaidieni wataalamu.
 5. Gospel Preacher

  PICHA: JE,NI KWELI SERIKALI IMESHINDWA KUDHIBITI WIZI HUU.

  Kuna hawa watu ambao wanasema tuma pesa yangu ninayokudai,kodi au chochote kupitia namba hii,,alafu anatumia namba nyingi sana Mimi najiuliza je? Ni kweli serikali imeshindwa kuwadhibiti hawa watu?, na je wanapata wapi namba za wananchi na kuweza kuwatumia sms hizi za utapeli? Kwanini serikali...
 6. Gospel Preacher

  Picha: Serikali ya wilaya na mkoa Ubungo DSM tusaidieni

  Kuna tatizo kubwa sana pale mbezi stand kwa usafiri wa watu wa Mbezi makabe,msakuzi,msumi pamoja na Mpiji Magohe, usafiri ni wa shida sana kiasi cha nauli kufikia 2,000/= kwa barabara ya 3-4 km sisi watu wa huku tumekubali kuwa hatuna mbunge huku na tumeazimia kukata shauri wilayani na mpaka...
 7. Gospel Preacher

  PICHA:SERIKALI YA WILAYA NA MKOA UBUNGO DSM TUSAIDIENI

  Kuna tatizo kubwa sana pale mbezi stand kwa usafiri wa watu wa mbezi makabe,msakuzi,msumi pamoja na mpiji magohe, usafiri ni wa shida sana kiasi cha nauli kufikia 2,000/= kwa barabara ya 3-4 km sisi watu wa huku tumekubali kuwa hatuna mbunge huku na tumeazimia kukata shauri wilayani na mpaka...
 8. Gospel Preacher

  Zilipendwa: Natafuta series ya prison break season 1

  Kichwa cha habari chajieleza jamani hii kitu niliiona muda sana natamani nirudie tena kuiona. Naomba mwenye nayo anisaidie au mnijulishe wapi naweza kuipakua. Nipo Dsm Asanteni.
 9. Gospel Preacher

  VIJANA WANGU WA UDOM KITIVO CHA SAYANSI YA COMPUTER NJOONI HAPA

  Habari zenu wadogo zangu na ndugu zangu nimewaita kaka yenu, mm ni mhitimu hapo UDOM Kwa mwaka 2013 kitivo cha Education ng'ox kule kwa wajasi wA ukweli. Nina shida za kiufundi ktk computer, za utengenezewa Matangazo na vipeperushi kwa njia ya Adobe. Mimi ni mwinjilist wa kuhubiri injili...
 10. Gospel Preacher

  MSAADA WA MJUZI WA ADOBE PHOTOSHOP (PS)

  Habari zenu ndugu zangu, mm ni Muhubiri wa injili nina mission ya kuhubiri injili vijijini kusikoweza kufikiwa na watu wengi, naomba msaada wa mtaalamu wa kutengeneza matangazo na vipeperushi yale ya vipeperushi vya mtandaoni. Naomba njoo DM
 11. Gospel Preacher

  Msaada: Jinsi ya kuanza/kusajiri kampuni na Biashara

  Wakuu habari za shughuli mbali mbali, leo nimevuviwa moyoni nianze kampuni ya kuuza nafaka na mambo mbali mbali, kampuni hii itajihusisha na kufungasha vitu kama vile dagaa,mchele maharagwe, na na mambo fulani ili kuuza nje na ndani ya nchi, Naomba ushauri wenu wazoefu ili kufankisha hili...
 12. Gospel Preacher

  Matangazo haya ya Nguvu,urefu na kunenepesha uume ni aibu kwa jamii na Taifa kwa ujumla.

  Nimekasirishwa na matangazo haya ya biashara mitandaoni, naiomba serikali ifuatilie haya aisee kwa ujumla na ni uganga huu wa kwenda kinyume na uumbaji wa Mungu. Ni aibu kwetu na taifa kwa ujumla.
 13. Gospel Preacher

  Kero: Adha ya Usafiri Mbezi-Makabe Serikali tusaidieni.

  Habari zenu ndugu zangu Watanzania, Na wakazi wa Dsm, Kama mkazi wa mbezi msakuzi-makabe na Mtanzania halisi, Napenda kutoa wito kwa Serikali yetu kuanzia ngazi ya mkoa, Usafiri huu ni mbovu na mgumu saana, barabara inachongwa kila siku lakini magari Bado ni vipanya vya zamani tunajazwa abiria...
 14. Gospel Preacher

  Msaada :password za IPAD zmesahaulika

  Habari zenu ndugu zangu, naomba msaada namna ya ku secure i pad ambayo password zake zimesahaulika kwenye upande wa iClaud naomba kujulishwa namna bora ya kufanikiwa...maana siwezi kupakua chochote Wataalam wa haya makitu nisaidieni
 15. Gospel Preacher

  Equit bank tawi la Mwenge ni kero

  Habari zenu ndugu zangu, napenda kufikisha kero zangu kwa uongozi wa Equit bank tawi la mwenge kwa wafanyakazi mjirekebishe maana mmezidi uvivu na kutegeana, kazi kama wafanyaka ni wachache fanyeni muajiri watu wanasaka hajira mtaani. Acheni uvivu na kutegeana utakuta wafanyakazi mapokezi mnaa...
 16. Gospel Preacher

  Ndege nzuri tokea Dsm to Nairobi

  Habari zenu ndugu zangu, naomba kuuliza wazoefu wa safari za ndege kutokea dsm kuelekea Nairobi, ni ndege ipi nzuri na yenye uhakika wa safari? Sanjari na bei rafiki? Naomba msaada sana katika hili. Naomba msinifikirie vibaya ni mara yabgubya kwanza kutumia huu usafiri ndugu zangu na hakuna...
 17. Gospel Preacher

  Naomba msaada namna ya kusajiri ministry ya maombi na ushauri.

  Habari zenu wanasheria, naomba msaada namna ya kusajili ministry, ya maombi na ushauri, tafadhari naomba msaada wataalam wa sheria nafahamu kwamba mnayajua haya sana. Ni hatua gani zinatakiwa na ninasajilia wizarani au kwenye ofisi ya mkuu wa wilaya? Na ni vitu gani vinatakiwa? Karibuni ndugu...
 18. Gospel Preacher

  Serikali liangalieni hili la mashabiki kusafiri na Stars kwenda Cape Verde

  Habari za asubuhi watu wa JF, Leo nimesikia Serikali imetoa ndege kwa lengo la kuipeleka Taifa Stars ktk visiwa vya Cape Verde, kwa jambo hilo kwanza naipongeza Serikali yetu saaaaana. Lakini napenda kutoa wazo katika hilo juu ya bei ya abiria ambao watapenda kwenda na timu huko Cape Verde ili...
 19. Gospel Preacher

  Msaada: Basi gani zuri la kutoka Dar kwenda Nairobi?

  Wakuu habari ,ninategemea kusafiri kuelekea Nairobi mwishoni mwa mwezi huu, je? Ni Bus gani zuri lenye Ac, viti vyenye nafasi ndani, yaaki kwaufupi luxury Bus, Linalotokea dsm kwenda Nairobi, tafadhari naomba mnijuze na bei zake. Mungu awabariki sana. Kribuni.
 20. Gospel Preacher

  Kwanini wanaume wengi wanaona wanawake wa nje ndio warembo?

  Ni swali ambalo napenda kuwauliza wana jamii forums najua nyie mnauzoefu mkubwa sanaaa, hivi ni kwann wanaume wengi walio ndani ya ndoa wanawaona wanawake wa nje ndio warembo sana, kiasi hata cha kuwatamani kulala nao? Napenda kujua ili niwasaidie watu, tafadhari naombeni majibu. Asante sana.
Top