Search results

  1. Octaman

    Msaada: Waliowahi kupokea mzigo nje ya nchi

    Kwa wale ambao walishawahi kutuma na kupokea mizigo kutoka nje au ndani ya nchi. Ni njia gani naweza kuitumia kupata mzigo wangu kwa haraka zaidi na kwa huakika? Mzigo huo ni box dogo muundo wa A3.
  2. Octaman

    Hanitaki kisa nipo masomoni

    Ni msichana ninayempenda sana. Mwaka mmoja umepita amekua akinikataa nisiwe naye katika mahusiano kwa sababu nipo masomi nayeye pia anajua elimu ilivyo amesoma nayeye amemaliza na anafanya kazi. Je, nikate tamaa juu yake?
Top