Search results

 1. Kurzweil

  NIGERIA: Serikali yatumia mitandao ya simu kuwafuatilia Wanahabari na kuwakamata

  Waandishi wa Habari wa Gazeti la Premium Times, Samuel Ogundipe na Azeezat Adedigba wameeleza kuwa wao mara kwa mara huwasiliana kwa njia ya simu - Hawakuwa na fikra kuwa mawasiliano yao kuhusu masuala ya kazi yanarekodiwa na watoa huduma na kumbukumbu zao kutunzwa - Mnamo tarehe 9 Agosti, 2018...
 2. Kurzweil

  Kizimbani kwa kughushi mkataba ili kupata zabuni ya kujenga barabara

  Serikali imewafikisha mahakamani wakurugenzi watatu wa Kampuni ya Civmark Ltd na wakili mmoja kwa tuhuma za kughushi mkataba kwa lengo la kupata zabuni ya kujenga barabara ya Manispaa ya Bukoba kwa kiwango cha lami. Washtakiwa hao walifikishwa jana Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu mbele ya...
 3. Kurzweil

  Tanzania yatajwa kuwa miongoni mwa nchi 7 zinazotarajiwa kuwekewa vikwazo vya kuingia Marekani

  Serikali ya Marekani chini ya Rais Mtata, Donald Trump imetangaza kuwa iko mbioni kuziongeza nchi nyingine 7 kwenye orodha ya nchi ambazo Wananchi wake watawekewa vikwazo vya kuingia nchini humo (Marekani) Tanzania imetajwa pamoja na nchi za Belarus, Eritrea, Kyrgyzstan, Myanmar, Nigeria na...
 4. Kurzweil

  Mambo ya kuzingatia unapovinjari kwenye Internet ili kulinda usalama wako

  Wakati ukivinjari kwenye mtandao wa inteneti unapotembelea tovuti mbalimbali au #MitandaoYaijamii unapaswa kuwa mwangalifu na kutunza usalama wako dhidi ya watu wenye nia ovu: Kumbuka mambo yafuatayo ili kujihakikishia usalama wako Usifungue kiunganishi au barua pepe kutoka kwa mtu...
 5. Kurzweil

  Fursa kwa vijana kutoka Umoja wa Mataifa

  TANZANIA INTERNATIONAL MODEL UNITED NATION(TIMUN) Tanzania International Model United Nation Ni mkutano wa vijana wa Umoja wa mataifa unaoandaliwa Kila mwaka na Asasi ya vijana ya Umoja wa mataifa Youth of United Nation association (YUNA) Ni mkutano unafanyika zaidi ya miongo miwili Sasa Kila...
 6. Kurzweil

  TAKUKURU Ilala yafungua mashauri 27 Mahakamani

  TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Ilala imesema imefungua mashauri 27 mahakamani yanayohusisha rushwa na ubadhirifu wa mali za umma yakiwamo mashauri mawili yanayowahusu wanasiasa wa Chama cha Mapinduzi (CCM). Akitoa ripoti ya miezi mitatu Oktoba hadi Desemba mwaka...
 7. Kurzweil

  Hatimaye Bunge la Uingereza laupitisha mpango wa kujitoa katika Jumuiya ya Umoja wa Ulaya ulioletwa na Waziri Mkuu, Boris Johnson

  UK prime minister succeeded where his predecessor repeatedly failed; getting Brexit legislation through Commons. The United Kingdom now has one foot out of the European Union's door after Prime Minister Boris Johnson's Brexit Bill was endorsed by the House of Commons on Thursday. Succeeding...
 8. Kurzweil

  Pep Guardiola asema kamwe hawezi kuifundisha Manchester United

  Kocha huyo wa Manchester City amesema kuwa ni bora aende likizo ya kufundisha mpira kuliko kukubali kuifundisha Manchester United > Guardiola alikuwa kwenye rada ya Manchester United kwa ajili ya kurithi mikoba ya Sir. Alex Ferguson lakini aliamua kujiunga na Bayern Munich > Ameongeza kuwa...
 9. Kurzweil

  Trump aipiga mkwara mzito Iran

  Donald Trump amesema kuwa Marekani imetumia Dola Trillioni 2 kwa ajili ya Vifaa vya Kijeshi. Na kuongeza kuwa wao ni bora zaidi Duniani Ameonya kuwa iwapo Iran itashambulia kituo chochote cha Kijeshi cha Marekani au Raia yeyote wa Marekani basi hawatasita kutumia vifaa hivyo
 10. Kurzweil

  MAREKANI: Jaji aamuru Kampuni ya Picha za ngono 'Pornography' kuwalipa Dola Milioni 13 Wasichana 22

  A California judge has tentatively ordered a pornography company to pay $13 million to 22 young women, finding that they were tricked into performing in videos that threw their lives off course and led several to attempt suicide. The ruling Thursday followed a years-long legal battle waged by...
 11. Kurzweil

  Je, unajua utaratibu wa kutekeleza hukumu ya kifo? Inaweza kubadilishwa kwa Wajawazito

  26.-(1) Pale mtu yeyote amehukumiwa kifo, hukumu hiyo itaelekeza kwamba mtu huyo anyongwe kwa kitanzi mpaka afe: Isipokuwa kwamba, endapo mwanamke aliyehukumiwa adhabu ya kifo atakuwa mjamzito, mahakama itachunguza ukweli huo na, endapo mahakama itajiridhisha kuwa ni mjamzito adhabu...
 12. Kurzweil

  Je, wajua mmiliki wa Shule ya Zamzam alikuwa nani hasa? Alifanya kazi zipi enzi za uhai wake?

  Maziko ya Bura yalihudhuriwa na kamanda wa polisi wa mkoa, Gilles Muroto, Sheikh wa mkoa, Mustapha Rajabu na baadhi ya maprofesa wa Chuo Kikuu cha Dodoma. Bura mbali na uanaharakati wa kutetea haki za binadamu pia ni polisi mstaafu ambaye aliwahi kuwa mlinzi wa getini Ikulu jijini Dar es Salaam...
 13. Kurzweil

  Kijana aliyebaka na kulawiti Watoto huko Iringa anaweza kufungwa maisha

  Jeshi la Polisi linamshikilia Arnold Mlay kwa tuhuma za kuwalawiti Watoto 12 katika kituo chake cha Michezo ya Watoto 'Video Games' huko Semtema Iringa. Kati ya wahanga wa ulawiti wapo Wanafunzi wa Sekondari. Adhabu ya kubaka kwa mujibu wa kanuni ya adhabu: Kifungu cha 131.-(1): Mtu yeyote...
 14. Kurzweil

  Mlipuko wa bomu wauwa watu zaidi ya 20 Mogadishu, Somalia

  Bomu hilo lililokuwa limetegwa kwenye gari, limelipuka wakati gari hiyo ikiwa kwenye Kituo cha Ukaguzi cha Polisi Mmoja wa Maafisa wa Polisi, Kapteni Mohamed Hussein amesema kuwa shambulio hilo lilikilenga Kituo cha Ukusanyaji wa Mapato Hadi muda huu hakuna kundi lolote lililotangaza kuhusika...
 15. Kurzweil

  Daktari aliyetoa mimba ashtakiwa kwa kutakatisha fedha

  Dar es Salaam . Daktari, Awadhi Juma (40) kutoka Hospitali binafsi ya Dental Clinic, iliyopo Sinza Mori, Dar es Salaam na muuguzi mmoja, wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, wakikabiliwa na mashtaka saba likiwamo la kutoa mimba wagonjwa na kutakatisha fedha kiasi cha Sh260,000...
 16. Kurzweil

  Man, 30, arrested for allegedly forcing 2-year-old boy to drink beer

  Polisi wanamshikilia Mwanaume wa miaka 30 kwa tuhuma za kumlazimisha Mtoro wa miaka 2 kunywa bia wakati wa Siku Kuu ya Krismasi Baada ya tukio hilo, Wanafamilia walimkimbiza Mtoto huyo Hospitali wakihofia kuwa Mtoto huyo anaweza kufariki Wanakijiji waliandamana hadi Kituo cha Polisi kutoa...
 17. Kurzweil

  Kazakhstan: Ndege iliyobeba abiria 100 yaanguka na kuua 14

  Ndege hiyo ya Bek iliyokuwa imebeba abiria 95 na wahudumu 5 ilianguka muda mfupi baada ya kupaa kutoka uwanja wa ndege wa Almaty siku ya Ijumaa alfajiri saa za eneo hilo Watu 14 tayari wamethibitishwa kufariki lakini haijulikani iwapo kuna manusura wowote Ndege hiyo ilikuwa ikielekea katika...
 18. Kurzweil

  Binti wa Bruce Lee aishitaki kampuni ya vyakula kwa kutumia taswira ya Baba yake

  Shannon Lee ameishtaki Kampuni ya Vyakula iliyotumia sure ya Baba yake kwenye matangazo yao ya biashara bila ya kukubaliana na familia ya Bruce Lee Kampuni ya 'Kungfu Catering' imeshtakiwa kwa tuhuma za kutumia sura ya Bruce Lee kwa muda wa miaka 15 bila ya kupewa kibali cha kufanya hivyo...
 19. Kurzweil

  Three dead after bus collides with van carrying sheep

  Ajali hiyo imetokea katika eneo la Nangili katika Barabara Kuu ya Kitale kwenda Eldoret Imeelezwa kuwa Madereva wa magari yote wamefariki paper hapo Majeruhi wamekimbizwa katika Hospitali ya Kufundishia ya Rufaa ya Moi iliyopo Eldoret huku wengine wakipelekwa katika Hospitali ya Kaunti ya...
Top