Search results

 1. Ushirombo

  Mafundi umeme wa gari, seat ya gari langu haisogei mbele

  Wakuu habarini, Nina gari ambayo seat orientions zake ni za umeme, sasa asubuhi niliisogeza sana mbele naijaribu sasa hivi hairudi nyuma. Kwa wenye uelewa naomba msaada nifanye nini au kama fundi yupo nimuone asubuhi kesho. Sent using Jamii Forums mobile app
 2. Ushirombo

  Suluhisho la majitaka kutoka manyumbani na viwandani

  Teknolojia mpya USIHANGAIKE KUCHIMBA MASHIMO KWA AJILI YA CHOO Kwa watu ambao wamejenga maeneo ambayo ya maji mengi (high water table level-HWTL) kila ukichimba mashimo kwa ajili ya majitaka yanajaa maji na hivyo umeshindwa kuyajengea au huna eneo la kutosha kuchimba hayo mashimo au unataka...
 3. Ushirombo

  Naona kama Moshi - Kilimanjaro imesahaulika kuhusu miundombinu

  Wakuu nimefika Moshi jioni hii, kama tunavyojua mikoa mingi unakuta miradi mingi ya ujenzi hasa barabara lakini nimekuta Moshi pako cool hakuna ubize wa construction sana. Mfano hii barabara kuu toka Dar, foleni imeanzia bakery hadi mjini. Barabara imezidiwa kabisa na sioni hata basi masaveya...
 4. Ushirombo

  Nigeria wawajibu wazulu mauaji

  Wakuu huko Nigeria na wenyewe wanajibu mashambulizi.
 5. Ushirombo

  Natafuta incubator

  Wakuu habari Wakati wa nane nane dodoma mwaka huu kulikua na wauzaji wa incubator ndogo ya mayai 8 kama sijakosea na walikua wanauza 80,000 tafadhali kama kuna supplier humu wa hizo incubator au zinazofanana kwa bei naomba nisaidiwe,au kama kuna yeyote anaweza kunielekeza ni wapi nitapata alike...
 6. Ushirombo

  Tumeingia Dodoma pia; Usihangaike kuchimba mashimo kwa ajili ya choo. Tumia hii hutanyonya,haina harufu na inadumu miaka 50

  Tunakuwekea system ambayo ni ndogo na bei rahisi,tunakupa guarantee 10yrs na ni uhakika system inafanya kazi zaidi ya miaka 50. Tumekufikia Dodoma pia baada ya kuwa Dar na Mwanza. Karibuni,ushauri na kuona site yako popote Dodoma ni bureeeeee. Kuna nyumba za mfano ambazo tumeweka maeneo ya...
 7. Ushirombo

  Tumeingia Dodoma:Kwa wanaojenga:Usihangaike kuchimba mashimo kwa ajili ya majitaka

  Tunakuwekea system ambayo ni ndogo na bei rahisi,tunakupa guarantee 10yrs na ni uhakika system inafanya kazi zaidi ya miaka 50,tumekufikia dodoma pia baada ya kiwa Dar na Mwanza. Karibuni,ushauri na kuona site yako popote dodoma ni bureeeeee Kuna nyumba za mfano ambazo tumeweka maeneo ya...
 8. Ushirombo

  Msaada anipe shule anaejua hivi vidude

  Wakuu siku hizi bidhaa nyingi zinakua na sehemu yakuscan (naweka picha muone) sasa najiuliza hii kaI yake nini? Mfano hapa nimenunua sub woofer nimekuta kwenye box hiyo,pia naviona sana mf.kwenye box la mashine ya kunyolea nimekiona pia.Nakuja kwenu kwa anaejua hebu anipe shule kidogo...
 9. Ushirombo

  Nafanya recycling ya majitaka

  Karibu wakuu, kwa wale wenye uhitaji wa kurecycle majitaka,hasa ya mashule,vyuo, hostels n.k
 10. Ushirombo

  Nataka kufungua kampuni-kazi kubwa kukagua magari

  Wakuu ili kuisadia serikali yetu na polisi pia nimeamua nifungue kampuni ambayo nitaajiri ma inspectors wa motor vehicle,kifupi watareplace hawa matrafic polisi,wao waende kwenye majukumu mengine,nitahakikisha magari yote yanayo yanailipa serikali,pia tutakua tayar kufanya kazi hata usiku.
 11. Ushirombo

  Chuo gani kinatoa degree ya Early childhood

  Wakuu nina ndugu amesoma dioloma ya Early childhood education kafanya zake kazi sasa anataka asome degree,nauliza hv kwa Tz hapa chuo gani kinatoa bachelor degree ya early childhood au degree yoyote inayoshabihiana? Wenu katika ujenzi wa taifa Ushirombo,jf member since 2013
 12. Ushirombo

  Ame hack simu ya mumewe sasa anaomba ushauri

  Amehack simu ya mumewe kwenye msg na calls,mume kasafiri huko akaenda kupata kadem, mke akasafiri takribani 1000km akawashike,good enough kawakamata lakin hajafanya fujo ,zaidi sasa anaomba ushauri amuache au Dunia inavijimambo
 13. Ushirombo

  Tigo toka jana mnazingua malipo ya DSTv

  Jana nimelipia dstv saa 11jioni nikitegemea kuangalia mechi ya man city usiku saa nne,lakin hadi mida hiyo tigo walikua hawajawasilisha muamala wangu dstv ili nifunguliwe,nikapiga sana simu dstv wakawa hawana namna ya kunisaidia, nikalala, leo jioni nimerudi home bado dstv imefungwa, nauliza kwa...
 14. Ushirombo

  Nimeshawahi kuona misukule,wewe je?

  Nakumbuka nilikua darasa la pili,huko shinyanga, siku moja nimetoka shule tukapata lunch then nikaenda kucheza kwao rafk yangu,nikakuta wanapata lunch pia,mama alishanikataza kula ile nyumba kwani inasemekana mama wa ile nyumba ni mchawi,basi nilikataa kula,baada ya hapo tukaenda...
 15. Ushirombo

  Ni nani anahusika kuandika WIKIPEDIA?

  Wakuu habari za jumanne Nimewaza hii kitu,nikajiuliza ni akina nani wanahusika kuandika/ku update wikipedia? Nataka na mimi niandikwe, kwa watz naona ni watu muhimu saaaana ndo wanaandikwa,lakin kwa nchi zingine hata wale watu ambao sio popular saaana wanaandikwa,mfano kwa tz nimem search power...
 16. Ushirombo

  Usihangaike kuchimba mashimo ya choo,au wewe unaesumbuliwa choo kujaa mara kwa mara soma hii

  Angalia hii attachment Sent using Jamii Forums mobile app
 17. Ushirombo

  Karibu,mtumie vyoo vya kisasa si kuchimba mashimo

  MSALLAMO AGRO ENVI CO.LTD Majitaka imekua ni tatizo sana miongoni mwa watu wengi hapa Tanzania na dunia kwa ujumla; Makazi mengi yamekua hayavutii wala kuthaminiwa kutokana na miundo mbinu hafifu na isiyodumu ya majitaka. Sababu nyingi zikiwa ni; Udogo wa eneo la makazi. Eneo kuwa lina majimaji...
 18. Ushirombo

  Watu mashuhuli waliotutoka 2018.Tuweke kumbukumbu

  Wakuu,hebu tukumbushane kuwa duniani tunapita tu,hivyo tutendeane mema na tusameheane, kupitia list hii tutakayoitaja najua kuna matajiri,wazuri,wabaya,maskin n.k waliotutangulia,itupe chachu ya kuona duniani si mahali petu. Binafsi nawakumbuka wachache,hebu taja na wewe 1.Masogange 2.George...
 19. Ushirombo

  Imefikia wapi Kesi ya yule tajiri aliyetaka kutekwa akajihami kwa risasi?

  Wakuu kuna ile habari miezi mitatu hivi imepita,yule tajiri wa kati ya Musoma au Mwanza sikumbuki ila alitaka kutekwa alikua filling station,lakin akawawahi watu wasiojulikana akawalamba shaba,kukawa na kesi,je kesi yake iko vp? Nawasilisha Ni mimi Ushirombo-Sr Jf member Since Jan 2012
 20. Ushirombo

  Network CRDB bank vp leo?

  Wakuu,ninaomba kujulishwa na watu waliokaribu na crdb bank kama mtandao umerudi,leo trh 28.8.2018 jumatatu nimetembea matawi ya mlimani city,ardhi,udsm,mabibo hostel kote hakuna mtandao hadi asbh hii saa nne na nusu, Kama kuna mtu yuko around hayo matawi naomba aniambie kama umerudi au bado...
Top