Search results

 1. Petro E. Mselewa

  Tume Huru ya Uchaguzi: Kambi Rasmi ya Upinzani ilikuwa wapi muda wote kupeleka Muswada Binafsi bungeni kuhusu jambo hilo?

  Kikatiba, kisheria na kikanuni Muswada binafsi unaruhusiwa kuwasilishwa Bungeni. Huu ni Muswada ambao huwasilishwa na Mbunge tofauti na ile miswada inayowasilishwa na Serikali ili kuwa sheria. Muswada huweza kuwa katika kutunga sheria mpya au kurekebisha zilizopo. Hata Katiba hurekebishwa na...
 2. Petro E. Mselewa

  Nakubaliana na Waziri Simbachawene na mtangazaji Maulid Kitenge kuwa Mwamposa ametukosea sana kama Taifa kwa kukimbia baada ya tukio kule Moshi

  Asubuhi ya leo (kwa mara ya kwanza), nilisikia taarifa ya kusikitisha ya vifo vya watu takribani 20 vilivyotokea kule Moshi, mkoani Kilimanjaro kwenye shughuli ya kukanyaga mafuta kwenye kongamano la kidini lililoandaliwa na kuratibiwa na Mtume Mwamposa almaarufu kama Bulldozer. Inasemekana kuwa...
 3. Petro E. Mselewa

  Kwanini Zitto alitumia nembo ya Bunge kuandika barua binafsi kwa Benki ya Dunia? Kwangu mimi huko ni kuhalalisha 'kushughulikiwa' na Bunge

  Kwanza niseme wazi kuwa hapa sizungumzii maudhui ya barua ya Zito Z. Kabwe, Mbunge wa Kigoma Mjini(ACT-Wazalendo) kwa Benki ya Dunia kuhusu mkopo wa elimu wa benki hiyo kwa nchi yetu pendwa ya Tanzania. Hapa nazungumza kwa kuuliza kwanini Zito atumie nembo ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa...
 4. Petro E. Mselewa

  Rais Magufuli aanika sababu ya 'kutumbua' Mambo ya Ndani. Waziri Simbachawene apewa 'kazi maalum' ya kuanza nayo

  Katika hafla ya kuwaapisha Mawaziri wawili na Mabalozi watatu aliowateuwa hivi karibuni Ikulu Dar es Salaam, Rais Dr. John Pombe Magufuli ameanika sababu ya kutengua uteuzi wa Waziri wa Mambo ya Ndani. Rais Magufuli ameonyesha na kukiri kuumizwa na 'ubovu' wa mkataba uliosainiwa ambao...
 5. Petro E. Mselewa

  Swali la Uelewa: Naibu Waziri Masauni hakuhusika na sakata lililowaondoa Lugola na Balozi Kingu Mambo ya Ndani?

  Ukitazama kutenguliwa kwa Waziri na Kamishna Jenerali wa Zimamoto pamoja na kujiuzulu kwa Katibu Mkuu, ni kama uongozi wa Wizara ya Mambo ya Ndani umewajibishwa. Naibu Waziri Masauni hakuhusika popote na kwa vyovyote na wala kuwajibika kwa hilo? Amebaki vipi ikiwa sakata ni la kiwizara?
 6. Petro E. Mselewa

  Makundi Kombe la Dunia Qatar 2022: Manalionaje kundi letu tulipo Tanzania? Tutatoboa?

  Hatimaye makundi kumi ya A-J ya kuwania nafasi tano za kushiriki Kombe la Dunia nchini Qatar mwaka 2022 kwa nchi za Afrika yamepangwa. Ni haya yafuatayo: Kundi A: Algeria, Burkina Faso, Niger na Djibouti Kundi B: Tunisia, Zambia,Mauritania na Equatorial Guinea Kundi C: Nigeria, Cape Verde...
 7. Petro E. Mselewa

  Tuseme kweli: Mvua hulidhalilisha sana Jiji la Dar es Salaam

  Yaani ni kama jijini Dar es Salaam, hakupaswi kunyesha mvua (kitu ambacho hakiwezekani kwa kila mwaka). Ukitaka kuliona jiji hili linadhalilika na kusawajika, inyeshe mvua kubwa. Mitaani nyumba zinajaa maji; barabara zinajaa maji na foleni kubwa; madaraja ya muda yaliyojengwa na Serikali na hata...
 8. Petro E. Mselewa

  'Classes' zina raha zake, husahaulisha hadi kuhusu wananchi

  Hebu vuta picha kwenye sherehe za kitaifa: kabla hata ya sherehe husika mhusika analetewa mualiko nyumbani kwa bashasha na heshima kubwa. Ukumbini au uwanjani, mhusika anaketi kwenye sehemu ya 'wakubwa na wazito' wenzake kufuatilia kinachojiri huku akichagiza na vistori vya hapa na pale na...
 9. Petro E. Mselewa

  Kwanini Sumaye na Mwambe waligombea kwenye Kanda zao na tena wanagombea Uenyekiti Taifa?

  Mzee Fredrick T. Sumaye na Mbunge wa Ndanda Cecil Mwambe waligombea Uenyekiti wa Kanda zao za Mashariki na Kusini. Kule Kanda ya Mashariki, Mzee Sumaye akiwa mgombea pekee wa Uenyekiti, alipata kura nyingi za HAPANA na hivyo kushindwa kutetea nafasi yake ya Uenyekiti wa Kanda ya Mashariki...
 10. Petro E. Mselewa

  Kwa jicho la tatu, chaguo la Mbowe kwenye uongozi wa juu CHADEMA ni Wakili msomi Tundu Lissu

  Kwa tunaofikiria na kuusoma mchezo tumeshang'amua. Mwenyekiti wa sasa wa CHADEMA, Freeman A. Mbowe (Mb) ambaye anagombea tena nafasi hiyo 'amemchagua' Wakili Msomi mwenzangu Tundu Lissu kuwa 'mrithi' wake kwenye uongozi wa juu wa CHADEMA. Kitendo cha Mbowe kumtangaza Lissu kuwa anagombea...
 11. Petro E. Mselewa

  Pambano la Mwakinyo lilikuwa la kitaifa au kimataifa? Kwanini wahusika wote walikuwa watanzania?

  Siandiki hapa kusema kama Bondia wetu wa Tanzania Hassan Mwakinyo alishinda kwa haki au la kama mijadala iliyofuata pambano lake inavyorindima.Nilitazama na kusikia pambano lake pamoja na mapambano yote ya utangulizi. Nikiri kuwa nilifurahia mapambano yote na kimsingi kuna juhudi kubwa kusogeza...
 12. Petro E. Mselewa

  Tusemezane: Waziri wetu wa Mambo ya Nje,Prof.Kabudi amekosea nini na wapi kwenye hotuba yake kule Kenya? 'Washika bango' mnajijengea mazoea mabaya

  Niliposoma humu kuwa eti Waziri wetu wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Palamagamba J.A.M. Kabudi ' ametia aibu' nchi kule Kenya, nikasita kuamini au kutoamini kwakuwa sikuwa nimeiona au kuisikia hotuba yenyewe. Baada ya kuiona na kuisikia hotuba husika, sioni hoja za...
 13. Petro E. Mselewa

  Tusidanganyane: Mbowe bado anataka kuwa Mwenyekiti wa Taifa wa CHADEMA

  Nimesoma mada ya ndugu na Rafiki yangu Molemo inayodai kuwa maelfu ya wanachama wa CHADEMA wamejitokeza kuchangia fedha kwa ajili ya kumchukulia na kumpelekea fomu ya kugombea Uenyekiti wa Taifa Mwenyekiti wa sasa Mhe. Freeman A. Mbowe. Fomu husika, kwa uchaguzi wa Disemba, inagharimu shilingi...
 14. Petro E. Mselewa

  Uchaguzi 2019 Swali la kidemokrasia/kiuchaguzi: Uchaguzi wa Serikali za Mitaa hauna 'kupita bila kupingwa'?

  Niko njiani kutokea nyumbani Visiga, Kibaha mkoa wa Pwani. Jana, nilishuhudia uzinduzi wa kampeni za uchaguzi za wagombea wa CCM, Mtaa wa Visiga A kwa ngazi ya Mwenyekiti na Wajumbe. Leo, uzinduzi utaendelea kwa Mitaa mingine ya Visiga B, Madafu na Maili Thelathini na Tano. Kadiri nijuavyo...
 15. Petro E. Mselewa

  Hakika, Mbowe ni 'Chilongola'

  Mwaka 2008, wakati wa mjadala wa Ripoti Richmond Bungeni, aliyekuwa Waziri wa Nishati na Madini na Mbunge wa Kibaha, Dr. Ibrahim Msabaha alijiuzulu pamoja na Waziri Mkuu wa wakati huo, Mzee Edward Ngoyai Lowassa. Katika mchango wake juu ya Ripoti hiyo na kabla ya kuachia ngazi, Dr. Msabaha...
 16. Petro E. Mselewa

  Ukweli usemwe na kituweka huru: Kisiasa na kidemokrasia, 'kupita bila kupingwa' kunapaswa kututisha badala ya kutufurahisha

  Sote tu mashahidi kuwa viongozi wetu wazalendo waliopo madarakani, wa ngazi zote, walifanya jitihada kubwa kuhakikisha kuwa wananchi wenye sifa za kupiga kura wanajiorodhesha/wanajiandikisha. Hata mwishoni, waliofanya vyema kwenye zoezi hilo walipewa tuzo. Lakini, kumekuwa pia na kauli za...
 17. Petro E. Mselewa

  Uchaguzi 2019 Nani amewajazia 'kitaalamu na kiusahihi' wagombea wa CCM? Inaruhusiwa kujaziwa fomu za kugombea?

  Hadi sasa, saa mbili na dakika 25 usiku wa Alhamisi ya tarehe 7/11/2019 sijasikia hata mgombea mmoja wa Mtaa, Kijiji au Kitongoji wa CCM aliyeenguliwa au kutoteuliwa kugombea nafasi aliyoiomba kwenye uchaguzi ujao wa Serikali za Mitaa. 'Vilio' na malalamiko dhidi ya kuenguliwa na kutoteuliwa...
 18. Petro E. Mselewa

  Kuimarika kwa miundombinu Kigoma Mjini: Mbunge Zitto Z. Kabwe Ruyagwa anastahili pongezi. Manispaa ya Kigoma Ujiji sasa yameremeta kwa lami!

  Naandika pongezi hizi kwa Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Z. Kabwe Ruyagwa nikijua wazi kuwa fedha za ujenzi wa barabara na miundombinu mingine hutolewa na Serikali Kuu au Serikali za Halmashauri. Lakini, kwanini wakati wa Zitto Kabwe? Zitto ameanza kuwa Mbunge wa Jimbo la Kigoma Mjini mwaka...
 19. Petro E. Mselewa

  Serikali haitanunua korosho mwaka huu; mfumo wa stakabadhi ghalani kutumika

  Kuna habari imerushwa na ITV muda huu kutoka mkoani Ruvuma ambapo wakulima wa korosho walivamia kikao cha Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Christina Mndeme kudai fedha zao za korosho. Pamoja na ahadi ya Mkuu wa Mkoa huyo ya kuwalipa wakulima wote wa korosho kuwalipa madai yako yote, kuna kauli imetolewa...
 20. Petro E. Mselewa

  Tuzo ya ICSID: Maswali matatu muhimu kuhusu kutounganishwa kwa IPTL kwenye sakata lake

  Mwanzo mwanzoni natamka wazi kuwa siandiki hapa kupinga au kuunga mkono kilichoamriwa kwenye Mahakama ya Kimataifa ya Usuluhishi wa Migogoro ya Uwekezaji almaarufu kama ICSID. Pia, sipingani,kukosoa au kuboresha Taarifa za Serikali na ile ya IPTL kuhusiana na tuzo iliyotolewa na ICSID kwa Benki...
Top