Search results

 1. Ibambasi

  Dr. Shika Mwonekano Mpya

  Ama kweli Mwenyezi Mungu hamtupi mja wake....Dr. Shika kabadilika kabisa. Looks so executive
 2. Ibambasi

  Upungufu wa Madawa, Chakula na Ukata Tanzania

  Takribani mwaka mmoja uliopita kulikuwa na kelele nyingi sana kutoka kwa wapinzani na wakosoaji wa Serikali ya Awamu ya 5 kuhusiana na suala zima la afya, hasa hasa upatikanaji wa madawa kwenye mahospitali na vituo vya afya. Kila mara humu na kwenye media outlets nyingine kilio kilikuwa ni...
 3. Ibambasi

  Mbowe mtazame kwa umakini sana Lissu

  Kwako Mwenyekiti wetu Mbowe, F.A. (MB-KUB) Tunatambua wazi nguvu na jitihada na juhudi zako katika kuijenga CHADEMA licha ya msukosuko mkubwa wa mwaka 2015 pale Katibu Mkuu, Dr. W.P. Slaa alipojiondoa ndani ya chama kufuatia uamuzi wako wewe kumkaribisha ndani ya chama na kumpa nafasi ya...
 4. Ibambasi

  Ajenda ya wapinzani hasa CHADEMA ni nini?

  Tangu Rais John Pombe Magufuli aingie madarakani, vyama vya upinzani, hasa CHADEMA (kwa sababu vingine ni viko kwenye hibernation), kama ilivyotarajiwa, vilianza na vinaendelea na ukosoaji (upingaji?) dhidi ya utawala wa Magufuli. Binafsi, nakiri wazi kabisa mpaka leo hii sijapata kuelewa nini...
 5. Ibambasi

  CUF: Ni Ngangari au Ngangara?

  Miaka ya 1990 wakati mfumo na chaguzi za vyama vingi zimeanza, CUF waliibuka kuwa chama imara sana, hasa kule Visiwani. Walipata umaarufu sana kwa misimamo yao, hasa pale wapoleta usemi mpya, "ngangari". Mwaka 2001 CUF kwa misimamo yao walipiga kura kwa wagombea wao kwenye viti vya uwakilishi...
 6. Ibambasi

  Samsung Boss Indicted

  Huku ni kwa wenzetu ambao wanajua nini maana ya utawala wa sheria.Huyu anamfuata yule boss wa DAEWOO GROUP aliyefungwa kwa mambo kama haya.FMES alipost hapa juzi ile thread ya yule mkubwa wa chama tawala China.Je Kikwete na CCM yake wanaweza haya? SEOUL, South Korea (AP) -- Special...
 7. Ibambasi

  Busy Night In The Garden

  A woman’ garden is growing beautifully but the darn tomatoes won’t ripen. There’s a limit to the number of uses for green tomatoes and she’s getting tired of it. So she goes to her neighbour and says, “Your tomatoes are ripe, mine are green. What can I do about it?” Her neighbour says, “Well...
 8. Ibambasi

  Little Johhny At The Zoo

  Little Johnny is visiting the zoo with his mother. They go to the elephant exhibit where a big old bull elephant is taking a leak. Johnny points tot eh pachyderm’s privates and says,” Mommy, what’s that?” Mommy, seeing the huge member, turns bright red and says, “Oh that’s NOTHING. Never mind...
 9. Ibambasi

  Madhara ya 'Mlango wa dharura' ni yapi?

  Jamani mi naomba kueleweshwa madhara ya kiafya/kisaikolojia kuhusu watu (waume/wake) ambao kwao kutumia njia ya haja kubwa kwa mapenzi ni kawaida.Mfano nilipokuwa A-level miaka ya nyuma tulikuwa na bwana mmoja mabye kwake yeye kufanya mapenzi na mwanamke bila "kuchungulia huko" ilikuwa ni...
 10. Ibambasi

  Udsm Na Ukiritimba Wa Matokeo Dhidi Ya Wahitimu

  Jamani kwa kweli mambo ya chuo kikuu cha Dar Es Salaam UDSM yanashangaza sana.Hii ni kutokana na jinsi utawala wa chuo hicho unavyowanyanyasa wahitimu kwa mambo na sababu za kipuuzi kabisa mabzo hata mwalimu mkuu wa shule ya msingi hawezi kufikiria.Huwezi kuamini kuwa Wahitmu wa mwaka wa masomo...
 11. Ibambasi

  Reminiscence/travelling Down Memory Lane Forum

  Ndugu wanaJF na administrators,heshimambele kwenu wakuu, Kwa kuwa tunakaribia kuufunga kabisa mwaka 2007 kuingia 2008 na kwa kuwa nimeona kuna watu wanapenda sana kukumbushana kuhusu enzi zile zilizopita na jinsi watu walivyosota kutafuta maisha (hasa late 1970s an 1980's) nimeona ni vema...
 12. Ibambasi

  Mambo Ya Prof. Kohi Na Mkewe

  Ndugu wanaJF,napenda kuchukua nafasi hii kuwaletea kitu kidogo kuhusu Prof. Kohi aliyekuwa Mkuu wa COSTECH.Sasa sijui hii habari inapaswa iwe kwenye vibweka vya wakubwa au hapa,admn. ataamua. Anyway here we go: Pale nyumbani kwake bwana Kohi Mbezi Beach Tangi Bovu pembeni ya barabara ya kwenda...
 13. Ibambasi

  Tupende, tusipende: Tanzania inanyemelewa na udini!

  Kwa kuwa Katiba ya Tanzania ya 1977 inaniruhusu kutoa maoni yangu alimradi sivunji sheria, na kwa kuwa slogan/ motto/ kaulimbiu ya JF ni "where we dare to talk openly", basi napenda kusema haya yafuatayo. Nimekuwa nafuatilia kwa kina mjadala wa Mahakama ya Kadhi na mambo ya udini kwa ujumla...
 14. Ibambasi

  Upinzani Ndani Ya Mtandao

  Jumatano ya wiki iliyopita nilikuwa namsubiri rafiki yangu mmoja pale kwenye mgahawa inapoanzia barabara ya Lumumba karibu na ofisi ndogo ya CCM.Nilikuwa namsubiri rafiki yangu wakati najipatia Fanta baridi.Pembeni yangu kulikuwa na wazee wawili waliokuwa wanaongea kwa namna fulani ya kukereka...
Top