Search results

 1. Buswelu

  Employment opportunity - Field ICT

  Field ICT Implementation and Support Officer - Tabora See attached Apply before 28 Feb 2018.
 2. Buswelu

  Usalama wa safari zetu wakati wa likizo

  Shalom ndugu zangu, kama unasafiri usiku kuja moshi ukifika maeneo ya lembeni uwe makini jamaa wanapanga mawe na wana Gari na pia bodaboda. Gari wanaitumia kuhakikisha unapishana nao eneo lenye mawe ili ubane upande wa mawe usiweze kukwepa. Jana tumekutana nayo wamepanga km manne, hivyo...
 3. Buswelu

  Capitalize on your strengths

  Leo ndio nimeelewa maana ya msemo "capitalize on your strengths". Jamaa anawapa somo wadada hapa. Kama strength yako ni sura nzuri, capitalize on it, make it more beautiful. Men will fall for it and ignore the rest. If its the booty, capitalize on it. If its the brains or the boobs, just make...
 4. Buswelu

  How To Become CISA "Certified"

  Habari wandugu Mi Ni mmoja ya watu wenye hamu ya kupata CISA. Je nafanyaje? Vitabu napata wapi? Any website yenye madesa ya shule hii mnaweza suggest nikapitiamo? Ntashukuru kwa msaada wenu.
 5. Buswelu

  Looking for ArcGIS v10 or Later

  Wandugu. Natafuta ArcGIS version 10 or Later kama wajua naweza pata wapi please naomba maelekezo..nahitaji ya kununua. Wasalaam Buswelu
 6. Buswelu

  Ndala Kasheba

  Wadau kuna wimbo mmoja watiwa kesi ya khanga au monica uliimbwa na huyu nguli au bendi ambayi akiitumikia kama kuna mdau anao au link napoweza download please naomba. Natanguliza shukrani Buswelu
 7. Buswelu

  ‘Asilimia 31 ya Watz ni walevi’

  Takwimu hizo zilitolewa na Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk Seif Rashid, ambaye alisema kuwa viwango hivyo vimetokana na utafiti uliofanywa kati ya Februari hadi Oktoba mwaka jana 2012. Kwa mujibu wa naibu waziri, utafiti huo ulifanywa na Shirika la...
 8. Buswelu

  Window 8 Down Grade to Window 7 - Disk of the GPT partion Style

  Hello JF Wataalamu wa IT na walio bahatika kufanya zoezi tajwa hapo juu.Naombeni msaada niko na new laptop HP ENYV dv 6. Ina window 8 najaribu kuishusha kwenda window 7. Baada ya kuona inasumbua kwenye software zetu hapa kwa office.. Nime google solution kibao nifanya moja ya kuformat partion...
 9. Buswelu

  Dada Zetu Na Mapenzi Na Wazungu

  Hivi Kuna nini siri kati ya hawa dada zetu ambao wamepata kuwa na uhusiano na wazungu kisha mambo hayakwenda sawa wakachana na mzungu mmoja...Huendaendelea kuwinda wazungu tu? Na kwanini hata akipata mswahili mwenzie mapenzi hayadumu kwa muda mrefu atarudi kwa wazungu? Na kingine swahili nao...
 10. Buswelu

  Toyota Verrosa 2001 + Inahitajika.

  Gari Tajwa hapo juu inahitajika haraka sana. Budjet ni 14m isizidi 72km. Dar es salaam ndio inako hitajika. Kama uko na gari hii tafadhali wasiliana kwa mail hii ford_298@hotmail.com Wasalaam Buswelu
 11. Buswelu

  NBC registers Sh10bn loss in third quarter

  Wednesday, 14 November 2012 23:01 By Alawi Masare The Citizen Reporter Dar es Salaam. The National Bank of Commerce (NBC) continued to register losses in the third quarter as its non-performing loans surged.NBC’s quarterly balance sheet indicates that the firm recorded Sh10.6 billion in its...
 12. Buswelu

  Fainali Uzeeni....

  Watu wameamka week end wameenda site kusimamia mafungi, Mie ndio Naamka Kutafuta Supu Na hangover za club. Finali Uzee....
 13. Buswelu

  Mashamba Mwanza Yanahitajika

  Hello JF Kama Kuna Wadau Wako Mwanza au Wanajua Mwanza Mashamba yanapatikana wapi kuanzia hekali 5 kwenda mbele Tujulishane hapa..... Nawakilisha.
 14. Buswelu

  Tanzanian Mining Expert Appointed General Manager of African Barick Gold Mine

  Rweyemamu among most experienced Tanzanian mining executives · He commences duty as GM effectively on 3 September 2012 DAR ES SALAAM, (August 28, 2012) – African Barrick Gold (ABG) is pleased to announce that it has appointed Philbert Rweyemamu as General Manager of the Tulawaka Gold...
 15. Buswelu

  Gift Voucher Credit Cards - Where Can I get In Dar

  Hellow Kuna Precedure wakati unataka kuinstall some application kama sio zote kwenye iphone and Ipad inabidi uwe na credit care/Master Card/Visa etc then info zake unaziweka kwenye registration in order kupata hiyo application. Sasa kama mtu huna hizo card above unaweza tumia Gift Voucher...
 16. Buswelu

  Interior Design for Kitchen and Dining - Mwanza

  Hello JF... Kuna friends wangu kama watatu wako kweney finishing stage ya nyumba zao. So katika kumaliza wanapenda kupata Designer wa jiko na dining. Kuwashauri setup ya makabati na jiko, fridge etc nyumba zote ziko mwanza. Maeneo tofauti tofauti....Kama wamfahamu mtu anafanya kazi hizi...
 17. Buswelu

  Heshima kwa Mwenye Tangazo....

  Kwa kweli this msg made my day
 18. Buswelu

  Disappointed with share price Barrick Gold reshuffles top management team

  Canadian Barrick Gold (TSX:ABX) announced Wednesday a major shakeup of its management team, saying that it has replaced Aaron Regent as president and chief executive officer by Jamie Sokalsky, who was the company's chief financial officer. The world's largest gold miner also revealed...
 19. Buswelu

  Anyone Who Was Born In 50's,60's,70's

  I am proud to be among them.
 20. Buswelu

  Hili Ni Jeshi Letu? Mikocheni Henken Leo Mchana

  Nani Sijui wanamlinda gari na uniform kidogo zinatia utata.
Top