Search results

 1. F

  Mwananchi: Ni Mzee Pinda Ameyasema Haya?

  Habari za kawaida Posted Date::4/10/2008 Utajiri wa mafisadi kikwazo kushitakiwa * Waziri Mkuu asema uwezo wao kifedha unaiogopesha serikali *Wahusika wa Richmond kuchukuliwa hatua za kinidhamu tu *Asema kuna upungufu mkubwa ofisi ya Mwanyika *Serikali yazikataa mvua za Lowassa...
 2. F

  Tido Mhando Na Tbc Mbona Hatuoni Jitihada Zenu Kuwarithisha E.m.sokoine Kizazi Kipya

  NDUGU WANA JF, NIKIWA NINA HAMU YA KUFAHAMU MAISHA HALISI YA KIANA HARAKATI NA SIASA KWA ALIYEKUWA WAZIRI MKUU WA TATU WA TANZANIA NDG YETU EDWARD MORINGE SOKOINE,BINAFSI NAFAHAMU KIDOGO KWA KUSOMA NA KUSIKILIZA YALIYOTANGAZWA 1984 APRIL NIKIWA MWANAFUNZI WA DARASA LA NNE S/MSINGI HUKO MKOA...
 3. F

  Nini Kinaendelea Dodoma?

  Najiuliza kumetokea nini hata JF kujikuta haina chochote cha kuripoti kabla ya muungwana hajashughulika na vinasa sauti vya Tz? Napenda kuamini ni kukomaa kwa watu wa jk sasa Napenda kuamini EL alikuwa chanzo cha kuvuja info Napenda kuamini wajivuni wanamtandao wamekwama na wanahofu...
 4. F

  Cabinet Baada Ya Lowassa: Waziri Mkuu Mpya Atakuwa Nani?

  Wakuu hapa JF,mpaka sasa tunaelekea saa nne asubuhi hatujapata latest za huko Dodoma. Tunawaomba wakuu akina FMES,MWKJJ,HALISI EngineerM na wengineo mtupatie kinachojiri huko kwa ukweli na uwazi na kwa speed kali sana. JF inawategemea. NINAREJEA HOJA YANGU,NINAWAULIZA NINYI WAN JF WOTE...
 5. F

  Kubenea Wale Ndio Watesi Wako Kweli?

  Katika taarifa za za habari jana usiku na leo magazetini kumejitokeza kitu cha kufadhaisha sana hususani ktk suala zima la mwanahabari Kubenea na mzee Tega. Sipendi kuhitimisha ila nimepatwa na mashaka na wasifu wa wale jamaa waliofikishwa mbele ya Pilato. Wale jamaa ndio waliomsurubu Kubenea...
Top