Search results

 1. The Invincible

  Hadhi na matumizi ya nembo ya taifa (Coat of arms)

  Wakuu Natumaini sote tunaifahamu nembo ya taifa (Coat of arms). Kuna vitabu vya watoto wa shule ya msingi vimeelezea hiyo nembo na wapi inawekwa. Watoto wetu wanafundishwa jambo jema huu ya hilo. Pia mimi binafsi nadhani nembo ya taifa ni kitu cha heshima na kipekee; ndio maana utaikuta Ikulu...
 2. The Invincible

  Tv1 ndani ya startimes

  Wanajamvi Kwenye kisimbusi changu cha Startimes nimeona chaneli moja ya kibongo inayokwenda kwa jina la TV1. Naona imekuja kimya kimya kidogo. Japo sasa naona bango fulani lipo pale fire, kama unaelekea uvccm. Ninavyojua media zinakuwa na mrengo fulani, kutegemea wamiliki wake; na hata...
 3. The Invincible

  Election 2010 Amri 10 za kuikomboa tanzania

  1. Usikumbatie waovu kama Kikwete 2. Usiwe mwizi kama Lowasa 3. Usiwe mwongo kama Makamba 4. Usiwe mnafiki kama Rostam 5. Usidharau pesa kama Chenge 6. Usikose msimamo kama Mrema 7.Usiingilie kazi zisizokuhusu kama Salma 8. Msirumbane ovyo kama CCM 9. Usiwe na kiburi kama Mramba Amri...
 4. The Invincible

  Election 2010 CCM Kuilalamikia Chadema NEC

  Katika taarifa ya habari ya TBC1 saa mbili usiku huu, makamu mwenyekiti wa CCM bara Pius Msekwa amenukuliwa akisema kwamba Chadema wameanza kampeni kabla ya muda. Kutokana na hilo, katibu wa CCM taifa, Yusufu Makamba atapeleka malalamiko yao huko tume ya taifa ya uchaguzi, yaani NEC. Mambo...
 5. The Invincible

  Aibu nyingine hiyoooo!

  Hivi kweli Tanzania haina mzalendo yeyote mwenye sifa za kuwa mshauri wa viwanda mpaka tupate kutoka Japan? Au ndio kuomba fedha kwa njia mbadala? Nasikia kichefuchefu kwa hii tabia ya ombaomba. Vichwa vyote vya hapa JF kwa mfano, pasingekosekana walau watano wenye sifa hiyo. Hii habari hapa...
 6. The Invincible

  TVT on Jump TV

  Kama kuna mtu alishatoa habari hii, sorry. TVT inapatikana Jump TV. Mwenyewe naiangalia sasa live kwa bei ya dola 6 hivi kwa mwezi. Ila nashangaa bado hawana website yao. Bwana Mhando vipi?
Top