Search results

 1. Alpha Blondy

  Hivi unajua unaweza kutumia akili kidogo tu ukapata pesa nyingi?

  kwenye vibanda hapo utatakiwa kugawana pesa na mwenye eneo maana ukiweka kibanda kwenye eneo la mtu lazima umlipe Sent using Jamii Forums mobile app
 2. Alpha Blondy

  News Alert: Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani aandika barua ya Kujiuzulu. Lugola na Andengenye wakalia kuti kavu, Rais Magufuli asema hawafai

  si kuwaogopa ni kuwaheshim maana hawa watu wakitibuka nchi itachafuka. nikwenda nao polepole Sent using Jamii Forums mobile app
 3. Alpha Blondy

  Unaweza kupigwa risasi kwa niaba ya mwanao?

  sasa wewe ukishakufa unataka uthaminiwe nini, au uthaminiwe ili iweje Sent using Jamii Forums mobile app
 4. Alpha Blondy

  Basi laacha njia na kugonga magari saba Moshi, watu 15 wajeruhiwa

  [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sent using Jamii Forums mobile app
 5. Alpha Blondy

  Basi laacha njia na kugonga magari saba Moshi, watu 15 wajeruhiwa

  Kwa anayepafahamu moshi, kama angejaribu kufanya ivo gari ingepinduka maana huo mnara una kingo flani kabla ya ukoka Sent using Jamii Forums mobile app
 6. Alpha Blondy

  Nimemaliza kifungo changu leo

  Aaaa sawa.
 7. Alpha Blondy

  Ubabe hadi Canada? This time you're done

  Nieleweshe kidogo mkuu, ndege imekamatwa tena kwasababu ya deni la mkulima au ni deni lingine?
 8. Alpha Blondy

  Hivi waganda wanatatizo gani?

  Ila hapa hatupo nje ya nchi mzee tupo jf
 9. Alpha Blondy

  Hivi waganda wanatatizo gani?

  Siyo za malkia tuu mkuu hata icho kimalkia waokijua ni wachache, wanajua maluga yao ya kikabila zaidi
 10. Alpha Blondy

  Tahadhari: Huu ni msimu wa nyoka!

  Hahahahaha nyoka ananyonya mkuu?
 11. Alpha Blondy

  Biashara ya Simu na Laptop na changamoto zake

  Kwa mimi naona yeyote tuu utakae Mchagua
 12. Alpha Blondy

  Niko njia panda: Mimi ni masikini na ninayempenda kwao ni masikini zaidi

  Ni muhimu sana kwa afya ya uchumi na furahaa
 13. Alpha Blondy

  Biashara ambazo mwanafunzi wa chuo kikuu anaweza kufanya bila kuathiri masomo yake

  Mawazo ya kimasikini kabisa, hapa limtu litamaliza chuo alafu lirudi kwao kwenda kusubiri ajira ambazo azipo, biashara zinaanzia chuo baada ya chuo ni mwendelezo. Ukisoma tuu utafaulu tuu alafu unaweza kufeli maisha, sasa kipi bora? Watu tunasoma na mishe mishe tunafanya, tunapata ela ya...
 14. Alpha Blondy

  Hali inaogopesha kidogo kwa maisha ya wananchi Zimbambwe

  Siku wakikutana Marekani, uchina, ufansa, canada sijui watatumia bango gani kwa kweli kama sisi tunatumia bango hili[emoji23]
 15. Alpha Blondy

  Specifications za Tigo Kitochi 4G

  miminimkulimaakachekasana, Utakaponunua itaendelea kutumia line yako au itakubidi upewe line nyingine yenye ofa
 16. Alpha Blondy

  Je, wajua haya kuhusu KFC?

  Tufanye mchango wa gafla na sisi tukapate madhara watapataje peke yako mkuu
 17. Alpha Blondy

  GSM alladin

  Asante mkuu nitajaribu kufanya ivo
 18. Alpha Blondy

  GSM alladin

  Maelekezo kidogo maana na mimi nilidownload nikashindwa kuinstall izo za mediatek Maelekezo kidogo maana na mimi nilidownload nikashindwa kuinstall izo drives za mediatek, Nahitaji sana hili somo
Top