Search results

 1. musacha

  Kibonde, mwombe radhi Waitara

  Hii akaunt imehakiwa, Pdidy hawezi kuandika hivi Sent using Jamii Forums mobile app
 2. musacha

  Profesa Assad anunua nyumba za NSSF huko Tanga

  Ili kuinyesha hamuendeshwi na hisia, ni vizuri mkatoa na ushahidi kuwa ali-influence price za nyumba. Kitu muhimu cha kujua ni kuwa zile nyumba zinapojengwa ni kwa ajili ya uwekezaji and not otherwise si kuziuza haraka ni moja ya criteria muhimu kwenye viability ya investment. Sent using Jamii...
 3. musacha

  Profesa Assad anunua nyumba za NSSF huko Tanga

  Mkuu tunaomba utusaidie hiyo ni sheria gani ili tuweze kujifunza Sent using Jamii Forums mobile app
 4. musacha

  Profesa Assad anunua nyumba za NSSF huko Tanga

  Labda mkuu tuanze kwa kueleweshana kidogo, nini maana ya mgongano wa kimaslahi (conflict of interest). Hivi kununua bidhaa kutoka kwenye kampuni au taasis unayofanyia kazi au kuiongoza kunapelekea mgongano wa kimaslahi!? Kwa hiyo kwa mfano leo Ali Mufuruki ambae ni Board chair wa Vodacom...
 5. musacha

  Jipatie Movies na seasons mpya kutoka Mabibo

  Kama una series ya 24 complete, niambie nikuchek faster.
 6. musacha

  TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

  Nyinyi ni Taasis kubwa, haipaswi kuwapa wateja majibu ya kipropaganda. Ni vizuri mkawa mnajiridhisha kabla ya kutoa majibu kama haya. Issue ya kununua luku ni tatizo mpaka dakika hii ninapoandika hapa. TANESCO SHIRIKA PENDWA MNATUANGUSHA SANA.
 7. musacha

  Namna nzuri ya kusafirisha mizigo mzigo kutoka Dar kwenda Dodoma

  Kuhusu kusafirisha mizigo kwenda Dodoma, ni rahisi. Chukua mizigo yako mpaka kariakoo mtaa wa Muheza na Natung'ombe, pale kuna transporter wa uhakika na bei ni nafuu sana. Unaweza kuwapigia kwa namba hii mka-bargain kabisa. Namba zao ni 0628 923 514, 0714 093 477.
 8. musacha

  Muuaji aliyeaminiwa na mzazi wa aliyeuawa

  Sasa itaendelea, imeshageuka kuwa igizo? Hii si ni story ya kweli na ilishatokea, we simulia iishe bana.
 9. musacha

  Zamaradi kaonesha kweli Tanga ndipo mapenzi yalipozaliwa

  Hahahahahaaaa namfahamu jamaa. kama na ubabe wote ule alilia, we ni kiboko asee
 10. musacha

  QUEEN MONICA: Story yenye mambo ya kijasusi ndani yake

  Mmeanza kuleta haya ma-pyramid schemes hadi huku? Sent using Jamii Forums mobile app
 11. musacha

  PSPF,mfuko pekee wa pensheni unaoweka mazingira ya wazi ya rushwa kutoka kwa wanaodai mafao!

  Mkuu uzi wako ushaharibika. Naona kuna ushabiki kati PSPF na LAPF so hakuna ishu itakayokuwa addressed. Mi nilidhani kutakuwa na great thinkers ambao wangeona concern ya PSPF na wanachama wake pamoja na future ya Social Security nchini ila naona hao pro PSPF wenyewe ni mihemuko tu.
 12. musacha

  PSPF,mfuko pekee wa pensheni unaoweka mazingira ya wazi ya rushwa kutoka kwa wanaodai mafao!

  Unqualified Opinion In my opinion, the financial statements present fairly, in all material respects, the Net Assets available for benefits of Public Service Pension Fund as at 30 June 2015 and its Changes in Net Assets Available for benefits and Cash flows for the year then ended in accord the...
 13. musacha

  PSPF,mfuko pekee wa pensheni unaoweka mazingira ya wazi ya rushwa kutoka kwa wanaodai mafao!

  Povu jiingi alafu hautakatishi nguo. Angalia usijiaibishe, Issue ya Deficit ya Tril. 11.5 imetolewa na kwenye Financial Statements za PSPF zilizoidhinishwa na Bodi. Later on imekuwa-cited kama emphasis of matter kwenye CAG opinion. Sasa kama Financial Statement zilizoandaliwa na Menejiment na...
 14. musacha

  PSPF,mfuko pekee wa pensheni unaoweka mazingira ya wazi ya rushwa kutoka kwa wanaodai mafao!

  Mkuu Kumbuka reference iliyotolewa ni Ripoti ya CAG. Sasa labda utuaminishe kuwa wewe credible kuliko CAG. Usipoteze povu lako bure.
 15. musacha

  PSPF,mfuko pekee wa pensheni unaoweka mazingira ya wazi ya rushwa kutoka kwa wanaodai mafao!

  PUBLIC SERVICE PENSIONS FUND 62 AUDIT REPORT ON THE FINANCIAL STATEMENTS To: Mr. George D. Yambesi Chairman to the Board of Trustees Public Service Pensions Fund 13thFloor, Golden Jubilee Towers, Front Tower Ohio Street P.O. Box 4843 Dar es Salaam RE: REPORT OF THE CONTROLLER AND AUDITOR GENERAL...
 16. musacha

  PSPF,mfuko pekee wa pensheni unaoweka mazingira ya wazi ya rushwa kutoka kwa wanaodai mafao!

  Mkuu hata hao wastaafu wakitoa rushwa bado hawatalipwa. Mfuko hauna hela ya kuwalipa. Unakabiliwa nakisi ya TZS tril. 11 Sent using Jamii Forums mobile app
 17. musacha

  PSPF,mfuko pekee wa pensheni unaoweka mazingira ya wazi ya rushwa kutoka kwa wanaodai mafao!

  Nyie mnataka wawalipe nini jamani!! Mfuko una deficit ya Trillion 11. Tuuonee mfuko huruma mkuu. Sent using Jamii Forums mobile app
 18. musacha

  PSPF,mfuko pekee wa pensheni unaoweka mazingira ya wazi ya rushwa kutoka kwa wanaodai mafao!

  [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] Mkuu jihadhali usije ukaaibika. Ati mifuko yote duniani ina deficit!!!. Hiyo inatosha kujustify deficit ya TZS tril. 11 Sent using Jamii Forums mobile app
 19. musacha

  PSPF,mfuko pekee wa pensheni unaoweka mazingira ya wazi ya rushwa kutoka kwa wanaodai mafao!

  Mkuu mfuko wa PSPF una Deficit ya kiasi cha Fedha za kitanzania Trillion 11. Hii ni kwa mujibu wa Audited Financial statement za 2014/15 Sent using Jamii Forums mobile app
 20. musacha

  Kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu

  Hii inaitwa dukua udukuliwe. Pole mkuu wamekuzidi kete mpaka wamekudukua.
Top