Search results

 1. B

  Je, Polisi washitakiwe kusababisha vifo kizembe vya random shootout? RIP Aqulina Akwilini, Baftaha, She is an Angel!

  Huu mtindo wa wapinzani kuiga siasa za nchi za wenzetu ndiyo sababu ya hali hizi zote.
 2. B

  Ushauri wangu: Ningependa Madaktari wa kiume wasiwe wanazalisha

  Hivi kwa nn madokta wa kike wana lugha ya shombo wakati wa kuzalisha? Ni wivu au?
 3. B

  Katika safari yangu, nilichokiona maeneo ya Pwani kinasikitisha

  Hizo sehemu pia inasemekana zina mambo mengi ya Gamboshi, unaweza usione miji yenyewe ukaona mbavu za mbwa tu. Hivi kweli kama watu wanamaendeleo ya kweli wanayoyasema baadhi ya wadau wa Uzi huu utaacha kuyaona kwa macho kweli. Kwa nn wakimbie barabara? Hao watakuwa .........!
 4. B

  Serikali idhibiti uoneshaji wa video kwenye mabus ya abiria

  Waonyeshe nyimbo za injili zimetulia kuliko vigodoro na movie za aibu
 5. B

  Kesi ya Zitto kuhusu uchumi wa nchi itakuwa ni kesi ya kwanza na ya aina yake duniani

  Hivi kuna nçhi iliyowàhi kuendelea kwa Kwa mfumo wa demokrasia duniani?
 6. B

  Kesi ya Zitto kuhusu uchumi wa nchi itakuwa ni kesi ya kwanza na ya aina yake duniani

  Kumbe weshazoea kutupumbaza wananchi kwa takwimu za kupika na kupotosha ili tuichukie serikali na ccm kwa manufaà yao! Kwa JPM mmeulà wa chuyà.
 7. B

  Yusuf Manji akamatwa kutokana na malimbikizo ya kodi Tsh 300 milioni, ofisi zake zafungwa

  Nenda tra upate list la wadaiwa huyu ni kwa kuwa anaandikwa.
 8. B

  Gazeti la Tanzania Daima lafungiwa kwa siku 90 kwa kuandika habari za Uongo (Oct 2017)

  Mimi hata huwa sisomi uzushi siku nyingi, hayana Habari za maendeleo.
 9. B

  Ni nani anasimamia upangaji wa route za Usafiri wa Dar es salaam?

  Nakumbuka zamani alikuwepo mzee mmoja wakati wa tume ya jiji la Dar es salaam kwà Jina kama sijalikosea Mwaibula huyu mzee alihusika sana kupanga usafiri wa daladala jijini pamoja na kubuni mistari ya rangi za daladala zinazotumiwa siku hizi hata sare zinazotumiwa nà makondakta alihusika...
 10. B

  Peter Msigwa: Kazi ya kiongozi wa upinzani ni kuwachochea wananchi waione Serikali haifai

  Mafisadi na watoa rushwa wanapokaribishwa na wanapopokelewa upande wa pili!
 11. B

  Should Churches in Tanzania continue being exempted from Paying Taxes?Tanzania loses 2.6 bln due to this

  As far as I know richness, no rich person in Christianity, what you can find is a lot of wovens in the Church today. Richer people are long listed in Islam and Hindu, This is the spirit of Antichrist operating in the name of posters.
 12. B

  Kauli za Rais Magufuli zinajichanganya, lazima kuna tatizo mahali

  Mawazo yako yaelekeze kwenye kazi unatupotezea muda wa maendeleo, sisi wananchi wanyonge tunamwelewa. Ukitaka kumwelewa unganisha sentence zake kuliko kunyofoa vipande na kujengea hoja mahututi.
 13. B

  CCM itameguka mapande makubwa kabla ya uchaguzi

  Naomba mjadala uwe viwanda ndiyo lengo la watz basi mengine mnatupotezea mb zetu tu!
 14. B

  Kete ya mwisho ya Maalim Seif ni kuunda chama kipya cha Siasa!

  Tanzania hatuna uadui, wewe unayesema kuna uadui wa cdm na ccm umeupata wapi? Ss bado ni wamoja. Sent using Jamii Forums mobile app
 15. B

  Nikiwa naitazama kinachoendelea Tanzania kwa sasa kwa wapinzani natabasamu

  Shida ni kwamba nchi hizi haziko huru na ukiona vijana wanaoitwa machachari sio machachari kwa kuijenga nchi bali kuitenza nguvu serikali ili mabwana wao wa nje na ndàni wagawane keki ya nchi ambayo wanaona serikali iliyoko madarakani inailinda sana au wanaifaidi, Fikiria mfumo wa vyama vingi...
Top