Search results

 1. Van Pauser

  Niligonga mtu na Gari Usiku Je nimueleze huu Mkasa?

  Ww ni binadam miongoni mwa binadam.... Sent using Jamii Forums mobile app
 2. Van Pauser

  Kuna mtu amewahi kutana na mkasa kama huu? Huu mchezo anaofanya Ali Bao?

  Brother.... Umeuwa.... Sent using Jamii Forums mobile app
 3. Van Pauser

  Kuelekea siku ishirini kabla ya laini kufungiwa changamoto hizi kama zipo laini hazitafungiwa

  k2206, Hiyo ni kwa line za Airtel na Tigo pekee ndo majina yanaweza kubadilika kama ulisajili kwa majina mengine au kwa kutumia kitambulisho cha mtu mwingine.... Lakini kwa mtandao wa vodacom lazima usajili kwa kitambulisho husika na taarifa zako za mwanzo laima ziendane na taarifa utakazotoa...
 4. Van Pauser

  Mimba iliyotunga nje ya mji wa mimba inaweza ku-survive?

  Nashukur sana mkuu kwa majib yako Sent using Jamii Forums mobile app
 5. Van Pauser

  Mimba iliyotunga nje ya mji wa mimba inaweza ku-survive?

  Asante mkuu kwa majib yako mazuri Sent using Jamii Forums mobile app
 6. Van Pauser

  Mimba iliyotunga nje ya mji wa mimba inaweza ku-survive?

  Habari za muda muda huu wanajamvi. Ni matumaini yangu kuwa mnajiandaa vema na maandalizi ya kuupokea mwaka. Kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu. Naomba kwa mwenye ufahamu juu ya masuala ya uzazi. Kwa mwanamke ambaye mimba imetunga nje ya mji wa mimba ina uwezekano wa kuweza kusurvive...
 7. Van Pauser

  Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

  Sawa mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
 8. Van Pauser

  Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

  Mkuu bdo inazingua aiseee Hv ndivyo inavyofanya Hii ni android 6.0 Sent using Jamii Forums mobile app
 9. Van Pauser

  Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

  Sorry mkuu nmekosea.... Iko hv simu yng.. Samsung Galaxy S6 edge+ Model number SM-G928A Sent using Jamii Forums mobile app
 10. Van Pauser

  Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

  Nmetumia link hii hapa mkuu but cjui ni Gcam ipi Sent using Jamii Forums mobile app
 11. Van Pauser

  Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

  Mm najarib kuifungua Gcam inazingua inaniambia unfortunately camera has stopped Sent using Jamii Forums mobile app
 12. Van Pauser

  Hivi mnawezaje kuishi na watu wa namna hii?

  Polee sana mkuu.... Ukitambua kuwa binadam sis huwa haturidhiki... utaish maisha yako pasipo kumwangalia mtu... Tambua kuwa hapo ulipo huna ajira bdo tu unasaka wapi utapata wanakusema... Je cku Mungu akinyoosha mkono wake ukapata unadhani hautasemwa...??? Cha msingi hapo ww fuata mambo yako...
 13. Van Pauser

  Kuna ukweli juu ya haya.

  Sure
 14. Van Pauser

  Kuna ukweli juu ya haya.

  Siku zote ukweli huwa mchungu
 15. Van Pauser

  Kuna ukweli juu ya haya.

  Kuna mahali nimekutana na jumbe hizi..
 16. Van Pauser

  Binti fahamu hili!

  Sauti kama ipo chini vile...
 17. Van Pauser

  Wanaume mnapenda kutubebesha lawama

  Hakumsingizia bali alisema ukwel Kutokana na kile ambacho alikifanya mwanamke
 18. Van Pauser

  Ni nyimbo gani kila ukiiskiliza inakukumbusha mbali??

  Jim Reeves album zake zote
Top