Search results

 1. Luther760

  Kumbe hii serikali si ya wanyonge tena

  Nimeshangaa sana kuona bei za magari huko kwa mabeberu ni very cheap, kwa mfano gari kama Subaru, Kluger, Jeep na zingine bei poa sana mpaka zinafika bongo. Shida ipo kwenye tax evaluation. Gari ya million tatu kodi million saba kweli jamani! Mnataka tufe bila kutimiza dreams za kuwa usafiri wa...
 2. Luther760

  Naomba muongozo kwa waliowahi kufanya manunuzi mtandaoni kupitia Kikuu Shopping Mall

  Wakuu natumai mko poa kabisa, kwa wale wadhaifu Mungu atawaponya. Kama kichwa kinavyo jieleza naomba kujuzwa kama member amesha wahi fanya manunuzi yeyote kwa njia hii. Utaratibu wake ukoje, maana nimeiona products zao nyingi ni cheap sana please mwenye ufaham na hii app atujuze, tusije...
 3. Luther760

  Habari wakuu, tunaambiwa Kuna umoja wa Africa unaoziunganisha nchi zote kuwa kitu kimoja

  Habari wakuu, tunaambiwa Kuna umoja wa Africa unaoziunganisha nchi zote kuwa kitu kimoja. Hii kitu imekaaje kwa wenzetu kukamatwa kila siku wakielekea SA kwa madiba? Je hii organization inasimamia nini.?Halafu kama watu wanapita kwenye nchi yenu hamuezi kuwasindikiza mpaka mpakani mkawaacha...
Top