Search results

 1. M

  CHADEMA, Intelijensia iliyotumika kumfukuza Zitto ilikuwa wapi kwa Nassari?

  Wasalaam wakuu. Nimekaa chini na kutafakari saga na hatimaye maamuzi ya kumfukuza Uanachama Zitto miaka almost mitano iliyopita na issue ya ‘Dogo janga’ mapema mwaka huu. Kwanza, kama ni kweli ulikua mpango, basi niisifu intelligence ya CCM kwenye issue ya Ubunge wa Nassari, ulipangwa na...
 2. M

  Sipapendagi Dar

  NB:thats not mossad 03,,nimei share as it is
 3. M

  Critical Thinkers tusaidiane, ahadi hii ya Lowassa ilikuwa geresha?

  Wakuu, Wakati akihamia na akipokelewa rasmi CHADEMA/ UKAWA mheshimiwa Lowassa alitoa kauli kama tatu hivi kuhusu uchaguzi huu,,,,among others Lowassa aliwaambia wana UKAWA/wapiga kura wake kuwa wapige/wampigie kura then walinde za ngazi za chini lakini kura zote za urais wamwachie...
 4. M

  CCM inaongoza uchaguzi wa majimbo mpaka sasa

  Habari wakuu Mpaka sasa chama tawala,chama cha mapinduzi(CCM)kinaongoza katika katika ubunge baada ya wagombea wake kupita bila kupingwa kwenye majimbo yafuatayo 1.LUDEWA (Filikunjombe) 2.MLALO 3.BUMBULI (January Makamba), inasubiria rufaa ya NEC iliyokatwa na mgombea wa CHADEMA 4.PERAMIHO...
 5. M

  Frank Mwalembe amnyima usingizi Aeshi jimbo la Sumbawanga Mjini

  Wakuu, Wakati bunge la bajeti likiwa linaendelea Dodoma,mbunge wa sasa wa Sumbawanga mjini asiye na ushawishi mkubwa ndani ya chama ndugu Aeshi amekuwa akihangaika huku na kule kuhakikisha anai combat kasi ya wagombea walioonesha nia ya kugombea kupitia CCM na hasa nguvu ya kijana...
 6. M

  Mwenye data hizi kuhusu askofu kiongozi josephat ngwajima atujuze

  Salam wakuu, Hivi kanisa la ufufuo na uzima la mchungaji kiongozi ngwajima lina rough estimations au exactly figure(kama zipo) ya idadi ya waumini au wafuasi wangapi?? Coverage ya kanisa hili huko mikoani na wilayani as well as vijijini ikoje?limefanikiwa kusambaa kiasi...
 7. M

  Mwizi wa kutumia pikipiki achomwa moto

  Hii imetokea muda si mrefu Survey barabara ya kuelekea chuo kikuu mida ya saa 3 kasoro, walikuwa wanajaribu kukimbia baada ya kufanya tukio wakagongana na gari na kukamatwa, mmoja amefanikiwa kakimbia, aliyechomwa alibanwa na pikipiki akashindwa kukimbia. Kachomwa na pikipiki yake
 8. M

  Faida ya kuwa na uume mdogo, biological advantages - A scientific research

  Salam wakuu, Nimekutana na report iliyoandaliwa na watafiti wa Kitivo cha Elimu ya Viumbe: Afya ya Uzazi ya University of Minesotta, ikielezea maumbile madogo ya kiume ni moja kati ya sababu za kiasili zinazoweza kumsaidia mwanaume kuepuka kupata maambukizi mapya ya HIV kwa asilimia 60...
 9. M

  Naomba msaada wa haraka, kupotea kwa baseband version and imei on galaxy s2

  wasalam wakuu, simu yangu samsung gt19100 galaxy s2(korean version) imepoteza baseband yake na imei pia ...so haikamati mtandao...nimejaribu kuirestore kabla sijagundua tatizo ikawa bado haishiki mtandao...baada ya kugundua ts baseband and imei problem nimejaribu some wayz to recover ivyo vitu...
 10. M

  welcome,wapenzi wote wa epic/history movies and series na nyinginezo

  Wakuu, mimi ni mpenzi sana wa aina za tamthilia tajwa hapo juu,,sababu hasa ni kuwa zinahusu historia za zamani za legends,heroes na events zilizotokea karne nyingi zilizopita,,,hivyo hata characters wake ni watu wanaoaminika waliexist,,,zipo nyingi sana mfano za kigiriki kama troy,clash of...
 11. M

  Ujumbe mzito kuhusu katiba mpya kutoka katikati ya mji wa kibiashara Tunduma-Mbeya

  Wanabodi, nimepita mjini tunduma leo, kwenye highway inayoelekea sumbawanga kushoto naona bango/tangazo kubwa linaloonekana na kusomeka vizuri limeandikwa "KATIBA MPYA NI YA WANANCHI SI YA C.C.M,TANGANYIKA KWANZA ,TUNATAKA KURA YA SIRI", Ukubwa wa tangazo hili(limeandikwa kwenye kitambaa cheupe...
 12. M

  MSAADA:;jinsi ya kutest samsung galaxy original

  habari wakuu, nipo katika mpango wa kuvuta galaxy s3.s4 au note 3 used.....issue ni kuwa specifications nazifahamu but sijui jinsi ya kuzicheki kwnu simu zaidi ya ile *@0...!! ntawezaje kujua kama simu hii inatumia prossesor ya snapdragon n not mediatek...amoled..kuhakikisha its ram n so so...
 13. M

  nokia LUMIA 920 inahitajika

  simu tajwa apo juu inahitajika..ni mnunuzi serious wakuu..iwe kwenye hali nzuri...niambie imetumika muda gani na unauza bei gani...kama ina tatizo lolote state it tafadhali...karibuni
 14. M

  CHADEMA yasimamisha viongozi waandamizi mkoa wa Katavi

  IMEANDIKWA TAREHE 24 FEBRUARI 2014 BY PETI SIYAME, MPANDA: MGOGORO wa uongozi ndani ya Chadema umeendelea hatua kwa hatua kwa makada wa chama hicho wanaopinga uongozi wa Mwenyekiti, Freeman Mbowe, kuadhibiwa mmoja baada ya mwingine ambapo sasa imefika zamu ya aliyekuwa Makamu Mwenyekiti, Said...
Top