Search results

 1. K

  Msaada: Naomba kufahamu bei za mabati ya msauzi

  Habari zenu wakuu. Nina mpango wa kujenga nyumba eneo la MATARAWE NJOMBE MJINI. Nyumba ni ya vyumba 3 na sebule. Hivyo naomba kufahamu bei ya mabati ya MSAUZI. Natanguliza shukurani.
 2. K

  Msaada: Naomba kuufahamu mji wa Katoro ulioko Bukoba vijijini mkoani Kagera

  Habari za mida hii wakuu! Samahani kuna wakati nlipata muda wa kumtembelea mdogo wangu ambaye ni mwalimu wa shule moja ya msingi iitwayo Kabalenzi huko Bukoba vijijini. Sehemu aliyokuwa amepanga inaitwa Katoro, cha ajabu nlikutana na watu wenye majungu ambapo walimsakizia mdogo wangu kesi ya...
 3. K

  Unaifaham CREATIVE MIND ASSOCIATION?

  Habari zenu wadau napenda kupata msaada kutoka kwenu kuhusu hili shirika la CREATIVE MIND ASSOCIATION kama unalielewa hebu nijuze linajihusisha na nin? Ntashukuru sana.
Top