Search results

 1. B

  Hivi CHADEMA huwa hawahusiki kwenye matukio ya kitaifa?

  Muda huu natazama Azam TV wakionesha tukio la kuaga miili ya askari wetu waliopoteza maisha Congo. Nimekaa nikitafakari kuhusu ushiriki wa CHADEMA kwenye matukio ya kitaifa yasiohusiana na siasa. Binafsi sikumbuki nilini nimewahi kuwaona hawa makamanda akishiriki kwenye matukio hayo. Iwe ni...
 2. B

  Tatizo la umeme Hai

  Hivi hili tatizo la kukatika umeme hovyo wilayani Hai litamalizika lini? Kero hii imezidi kiasi sasa mtu unashindwa kwenda hata Salon kunyoa kama hakuna jenereta. Umeme unakatika kila baada ya muda mfupi na mara nyingine unakatika na kurudi ndani ya dakika moja. Kisha hazipiti dakika kumi...
 3. B

  Msuva ndiye mchezaji bora VPL

  Msuva kachaguliwa kuwa mchezaji bora wa mwezi. Sioni wanayanga wakiwa na makeleeeelee mitaani na hata mitandaoni. Wangekuwa mikia FC tungekoma mitaani na hata mitandaoni.
Top