Search results

 1. E

  Hii laptop mnanishauri nichukue kwa 700,000/-?

  Naombeni muiangalie mniambie ina uwezo ki Business, Games level za GTA 5, 3D editing, architecture vyote in general??? Sent using Jamii Forums mobile app
 2. E

  Nisaidieni nina shida na Laptop mpya

  Nahitaji laptop yenye bei ndogo budget laki 7 au 6 au 5 yenye uwezo mzuri wa games (level za gta 5), graphics and architecture. Mnilelekeze hata anayeuza yuko wapi au account yake social media ni ipi? Sent using Jamii Forums mobile app
 3. E

  Bi.Afya abeba mizani kwa kosa la kukuta nyama nje ya mabucha

  Wauza nyama mkoani Shinyanga wabebewa mizani kwa kosa la kukutwa wameanika nyama nje ya bucha na Bi.Afya. Wauza mabucha hao walilipishwa faini kwa kosa hilo.
 4. E

  Maoni ninunue hii galaxy tab e?

  Nimeipenda hii galaxy tab e ni toleo la nyuma kidogo wanaojua inafaa inaitwa Galaxy Tab E 9.6 SM-T560NU USA Model
 5. E

  Mbio za Mwenge Mkoani Shinyanga

  Mbio za Mwenge Mkoani Shinyanga zilifanyika katika Uwanja wa Kambarage na kulikuwa na mkesha wa tarehe 11/5/2019 Jumamosi kuamkia 12/5/2019 Jumapili. "Mwenge wa Uhuru uliwashwa Tanganyika Desemba 9 mwaka 1961" #Mwenge #Mkoani #Shinyanga #Nyerere
 6. E

  SWALA La Mikopo ya Fedha (Nikope Wapi?)

  Kuna sehem ambayo wanatoa mikopo ambayo haina masharti na vigezo sana. Labda waombe tu kitambulisho na taarifa zangu. Yaani kama mtu anataka kuanzisha biashara? Nahitaji 1Mil. Sent using Jamii Forums mobile app
 7. E

  NAUZA Samsung Grand Prime Pro 2018 Brand New

  Samsung Grand Prime Pro 2018 Yenye Kioo cha SuperAmoled touchscreen Full boxed Condition. Brand New 5 Inch Display Processor 1.4GHz GPU Snapdragon 425 Soc 8MP Rear Camera + Flash 5MP Front Camera + Flash 1.5GB Ram 16GB Rom 2600mAh Battery Inakuja na Cover 2(Bure) za Ulinzi wa Nje Protector...
 8. E

  Samsung Grand Prime Pro 2018

  Samsung Grand Prime Pro 2018 Yenye Kioo cha SuperAmoled touchscreen Full boxed 5 Inch Display Processor 1.4GHz GPU Snapdragon 425 Soc 8MP Rear Camera + Flash 5MP Front Camera + Flash 1.5GB Ram 16GB Rom 2600mAh Battery Inakuja na Cover 2(Bure) za Ulinzi wa Nje Protector Yake(Bure) kwa ajili ya...
Top