Search results

 1. M

  Cold War Espionage: Makomando wa KGB walimhoji na kumfanyia recruitment Senator John MacCain alipochukuliwa mateka (Missed In Action) vita ya Vietnam

  Nimewahi jiuliza sana hilo swali, nilifikia conclusiob kuwa ni kutokana na Mrengo wa nchi among other things, Nchi za kisocialist na communist kunakua hakuna uhuru binafsi wa watu wanaofanya kazi kwenye idara za usalama, na hakuna separation kati ya maisha binafsi na ya kazi, while Marekani na...
 2. M

  Bomba La Mafuta: Total SA yasitisha rasmi mpango wa kujenga bomba la mafuta la Tanga-Hoima

  Sio kweli, usiwe zuzu. Taarifa rasmi hiyo hapo juu, umeona any of reasons ulizozitaja kwenye hiyo taarifa?
 3. M

  Ulianzaje kukaa gheto?

  Manzi kakuzima vitu vya ndani? Dah Yani kaenda kukodi Carry/ Canter intetionally kabisa aje asombe vitu, aisee mamanzi wa DIT wameshindikana..
 4. M

  Ulianzaje kukaa gheto?

  By the way uzi ni wa 2018( almost a year now), tupe progress na experience umefikia wapi sasa mkuu?
 5. M

  Ulianzaje kukaa gheto?

  Vijana wenye option ya kurudi nyumbani baada ya chuo huwa mna changamoto sana, chuma kikipata moto tu unarudisha mpira kwa kipa, kwa wenye mazingira ya “you are on your own” soon baada ya kuanza au kumaliza chuo huwa hawapati shida hapa, maana kwao there is no turning back Back to your questions...
 6. M

  Kahama VS Njombe/Mafinga

  Mgodi wa Bulyanhulu unajua una mineral reserve kiasi gani? Migodi ya wachimbaji wadogo je? Na kahama kuwa Junction/ highway ya Kigoma, kagera, Rwanda, Burundi na Uganda je? Umejibu kipambe na kishabiki hujafanya comparison umejibu ka mshabiki/ mkazi wa njombe
 7. M

  Biashara ya chips: Faida na Changamoto zake

  Usinunue deep frier ya dukani ka una mipango ya muda mrefu kwenye hii biashara, Kachonge deep frier kubwa na zenye uimara na uwezo zaidi kwa wale wachonga majiko wa keko gerezani karibu na workshop ya Bakhresa
 8. M

  CHADEMA, Intelijensia iliyotumika kumfukuza Zitto ilikuwa wapi kwa Nassari?

  Mimi siko chama chochote, am a concerned citizen na maoni yangu ni huru na nayatoa kulingana na utashi wangu bila bias kwa chama chochote
 9. M

  CHADEMA, Intelijensia iliyotumika kumfukuza Zitto ilikuwa wapi kwa Nassari?

  Mkuu. Put some respect to Zitto name, Sijui umetumia logic ipi but CCM ambayo wanasiasa wengi vijana wenye average political intelligence tena hata wale wasio na family connection wameweza kuthrive na sasa ni wanasiasa renowned nchini leo hii useme Zitto angekua mtu wa chini kwenye chama...
 10. M

  CHADEMA, Intelijensia iliyotumika kumfukuza Zitto ilikuwa wapi kwa Nassari?

  Whats your point mkuu? Zinatofautiana Uzito kwa sababu ya value ya wanasiasa hawa wawili lakini zina theme moja, tuhuma za usaliti dhidi ya chama kilichokulea
 11. M

  CHADEMA, Intelijensia iliyotumika kumfukuza Zitto ilikuwa wapi kwa Nassari?

  Mkuu, Mwanasiasa yoyote anapokuwa na chama cha siasa anaangalia odds za yeye kukua kisiasa away from mengineyo kama kukijenga chama nk. Under ceteris peribus, Kijana kutoka kanda na dini yoyote(tofauti) ana probability ya kupewa equal chance na kukua kulingana na potential yake akiwa CCM...
 12. M

  CHADEMA, Intelijensia iliyotumika kumfukuza Zitto ilikuwa wapi kwa Nassari?

  Mashinji ni guise tu, wouldnt you agree kuwa John Mrema anafanya kazi za kiutawala Chadema kuliko Katibu mkuu? Despite of mapungufu ya CCM, tukubaliane tu, CCM kama chama cha kisiasa cha kitaifa kina Usawa zaidi wa Kikabila, Kikanda na Kidini. Wouldnt you agree?
 13. M

  CHADEMA, Intelijensia iliyotumika kumfukuza Zitto ilikuwa wapi kwa Nassari?

  Mkuu, You have to agree Chadema ina shrink, mnapewa mapigo na mmeshindwa kulitariate. Hamna mbinu tena. 2020 Chadema hamtopata hata Majimbo matano Tanzania Bara
 14. M

  CHADEMA, Intelijensia iliyotumika kumfukuza Zitto ilikuwa wapi kwa Nassari?

  Wako wachache sana mkuu, Mbowe is not among them
 15. M

  CHADEMA, Intelijensia iliyotumika kumfukuza Zitto ilikuwa wapi kwa Nassari?

  Chama kipi mkuu, kwanini CDM mkiambiwa ukweli karata yenu ya kwanza ni kudai mtoa maoni ni CCM?
 16. M

  CHADEMA, Intelijensia iliyotumika kumfukuza Zitto ilikuwa wapi kwa Nassari?

  Come rain come sun Mungu akitujaalia Uzima Zitto lazima atakuja kuwa raisi wako bila kujali utampa au hutompa kura, ni swala la muda tu
 17. M

  CHADEMA, Intelijensia iliyotumika kumfukuza Zitto ilikuwa wapi kwa Nassari?

  Nakumbuka mkuu, Chadema hawa kina Lema waliokua mabingwa wa kuingilia mawasiliano ya watu bila kuheshimu faragha zao leo wanalaumu Mawasiliano yao na wanasiasa wa CCM kuingiliwa? Wakati wanamfanyia Mwigamba walichomfanya kule Arusha na kuingilia mawasiliano ya Zitto hawakujua kuna right of...
 18. M

  CHADEMA, Intelijensia iliyotumika kumfukuza Zitto ilikuwa wapi kwa Nassari?

  Nachokiona kwenye hoja yako ni uoga wa mabadiliko na ushahidi wa wazi kuwa Zitto angeshinda kama angegombea. Nia njema ya mbowe kwa chama wanaCHADEMA si wanaijua vizuri? Kwanini wasimuache Zitto agombee afu wamkatae kwenye boksi la kura?
 19. M

  CHADEMA, Intelijensia iliyotumika kumfukuza Zitto ilikuwa wapi kwa Nassari?

  Its hightime ya chadema kuanza kujibu maswali magumu kama kweli wanataka kuaminiwa, kuonyesha mabaya ya mwenzako ni jambo moja(rahisi) but kujitofautisha nae ni swala jingine na gumu.
Top