Search results

 1. E

  Hii laptop mnanishauri nichukue kwa 700,000/-?

  Haha yaani mie mwenyewe nilishangaa, chakushangaza zaidi kwenye website yao iko pay on delivery option nimewauliza whatsapp wameniambia ndio unaweza pay on delivery, kuna option ya kuweka oda unajaza info na una click "pay on delivery" na ila kitu kimoja nilipoulizia hii husika wameniambia...
 2. E

  Hii laptop mnanishauri nichukue kwa 700,000/-?

  Niliona nijaribu kusubiri nitafute 8th gen kwa ajili na matumizi ya future nimekutana na hii vipi hapa bei Tzs 590,000/-(Ni Mpya) Asus Vivobook Thin and Lightweight HD Laptop Powerful 8th Generation Intel[emoji2400] Core[emoji769] i5-8250U 1.6GHz (Turbo up to 3.4GHz) processor 15.6” FHD WideView...
 3. E

  Hii laptop mnanishauri nichukue kwa 700,000/-?

  Hapa unisaidie tena i5 ina Full hd 1080P kosa ina 4GB ram na i7 ina 8GB ram haina full HD iko HD(1366x768). Ipi hapo sasa? Yenye bei ndogo ni i5 Sent using Jamii Forums mobile app
 4. E

  Hii laptop mnanishauri nichukue kwa 700,000/-?

  Also niko after QUALITY HP Ziko vizuri? Bajeti ya 700,000/- au napigwa?? Sent using Jamii Forums mobile app
 5. E

  Hii laptop mnanishauri nichukue kwa 700,000/-?

  Kwahiyo hata games i7 inafaa (GTA 5) Inacheza vizuri na inaweza kuhandle kazi vizuri. Mie nina duka la dawa ila huwa nafanya editing 3D sio sana ila nikijiskia na napenda games? Au nisiisukume ikafa? Sent using Jamii Forums mobile app
 6. E

  Hii laptop mnanishauri nichukue kwa 700,000/-?

  Ipi kati ya hizi mbili HP Notebook 250 G5, Hp EliteBook 840 G3 i7 7th Generation 256 SSD ?? Sent using Jamii Forums mobile app
 7. E

  Hii laptop mnanishauri nichukue kwa 700,000/-?

  Na Hii Hp EliteBook 840 G3 i7 7th Generation 256 SSD Sent using Jamii Forums mobile app
 8. E

  Hii laptop mnanishauri nichukue kwa 700,000/-?

  Kuna hii HP Notebook 250 G5 i5 7th gen HP IPO? SSD 256 SSD Sent using Jamii Forums mobile app
 9. E

  Hii laptop mnanishauri nichukue kwa 700,000/-?

  Nitarudi Sent using Jamii Forums mobile app
 10. E

  Hii laptop mnanishauri nichukue kwa 700,000/-?

  Hiyo i3 8th Generation naaambiwa 800 hadi 990 mie sina hiyo bajeti. Unashauri ipi? Sent using Jamii Forums mobile app
 11. E

  Hii laptop mnanishauri nichukue kwa 700,000/-?

  Shukrani nitarudi. Sent using Jamii Forums mobile app
 12. E

  Hii laptop mnanishauri nichukue kwa 700,000/-?

  Na hii vipi? *Dell Inspiron 3467* Core i3 2.0ghz 6th Generation ram 4gb hdd 1tb(1000gb) 14" LCD Display 6hrs Battery Life *BRAND NEW/BOXED PC* One Year Warranty *Price Tshs. 640,000/-* Sent using Jamii Forums mobile app
 13. E

  Hii laptop mnanishauri nichukue kwa 700,000/-?

  Okay Sent using Jamii Forums mobile app
 14. E

  Hii laptop mnanishauri nichukue kwa 700,000/-?

  Hapa vipi? Sent using Jamii Forums mobile app
 15. E

  Hii laptop mnanishauri nichukue kwa 700,000/-?

  Hapa? Sent using Jamii Forums mobile app
 16. E

  Hii laptop mnanishauri nichukue kwa 700,000/-?

  Naombeni muiangalie mniambie ina uwezo ki Business, Games level za GTA 5, 3D editing, architecture vyote in general??? Sent using Jamii Forums mobile app
 17. E

  Nataka kununua laptop mpya 500,000

  Hizi taarifa zimenisaidia pakubwa ila mie niko mbali na dar unashauri vipi mzazi??(Shinyanga) Sent using Jamii Forums mobile app
 18. E

  Nisaidieni nina shida na Laptop mpya

  Ooh okay nipo Shinyanga Sent using Jamii Forums mobile app
 19. E

  Nataka kununua laptop mpya 500,000

  Naelewa nimeuliza tu kama kuna unafaham ndio maana nimeweka alama ya kuuliza. Mimi niko mkoani na nataka niagizie unanisaidiaje? Sent using Jamii Forums mobile app
 20. E

  Nisaidieni nina shida na Laptop mpya

  Ipi yenye vyote? Sent using Jamii Forums mobile app
Top