Search results

 1. kamikaze

  Simu original za Nokia zinapatikana wapi?

  Samahani Wanajamvi, naomba kuuliza ni duka gani Dar linalouza simu Original za Nokia (Smartphone) ?
 2. kamikaze

  Naomba kufahamishwa ilipo gym nzuri maeneo haya:

  Ndugu wana jf, nataka kuanza kufanya mazoezi kwenye gym, naomba kufahamishwa ilipo gym nzuri na trainers wazuri pamoja na malipo kwa mwezi katika maeneo haya Mwenge, Mbezi (Bagamoyo road) , Tegeta na Kunduchi, aksanteni
 3. kamikaze

  Angalia kitu kipya cha Mopao, Papa Ngwasuma

  Mzee mzima anatisha, LeGrand Mopao
 4. kamikaze

  Nafasi ya Kazi-Mkuu wa Chuo Kikuu Huria Tanzania(The Open University of Tanzania)

  Wana jamvi, yoyote mwenye vigezo vya hii kazi na anayeitaka basi asisite kutuma maombi. Nafasi iliyotangazwa ni ya Vice Chancellor.
 5. kamikaze

  Movie ya Kibwetere

  Naomba kuuliza,hivi kuna movie inayoelezea kisa cha kibwetere kuwachoma moto waumini wake,kama ipo naomba kujua jina la hiyo movie.
 6. kamikaze

  Karo la maji machafu kujaa maji baada ya muda mfupi

  Wana jamvi naomba mnisaidie solution la karo la maji machafu kujaa maji baada ya muda mfupi., yaani nikileta lile gari kubwa kunyonya baada ya mwezi linajaa na matumizi ya maji sio mengi kiasi cha kujaa muda huo mfupi.
 7. kamikaze

  Sikiliza majibizano ya hawa wapenzi kwenye huu wimbo-Busted

  Sikiliza kwa makini majibizano haya:
 8. kamikaze

  Utajuaje kama TV yako ina king'amuzi cha ndani?

  Naomba ujanja wa kujua Tv zenye ving'amuzi ndani? Je ni kitu gani kwenye tv kinachoonesha ina king'amuzi ?
 9. kamikaze

  Kwanini benki zetu zina riba kubwa?

  Wajuzi wa mambo, hasa wachumi naomba kuuliza kwanini benki zetu zinatoza riba kubwa(19%-22%), Kwa wateja wanaochukua mikopo,Je kuna sababu zozote za kiuchumi zinazopelekea riba kuwa kubwa kiasi hicho au ni utashi wa benki kujipangia kiasi cha riba kwenye mikopo?
 10. kamikaze

  Ubora wa bidhaa za Jumia

  Wana jf, Naomba kuuliza, je bidhaa zinazouzwa kwenye Jumia ni original? Mwenye experience ya kununua vitu jumia naomba anifahamishe, Na vipi kuhusu bei zao ni nafuu kulinganisha na madukani, Mfano Kariakoo, Mwenge au Mlimani city
 11. kamikaze

  Dunia inazidi kukimbia, soma hii kuhusu kuku wa mahabara-BBC

  fungua hiyo link Nyama ya kuku iliyotengenezwa kutokana na unyoya
 12. kamikaze

  Naomba maelezo ya kutosha kuhusu ITER fusion project nchini ufaransa

  Wakuu, Kama thread inavyojieleza mataifa karibia 35 yameungana kwenye hii project, naomba mdau anayejua umuhimu wa hii project anielezee nipate kuelewa vizuri. Website ya hit project ni ITER - the way to new energy
 13. kamikaze

  Samahani Mshana Naomba elimu kuhusu Ouija board

  Kama uzi unavyojieleza, naomba maelezo ya kutosha kuhusu Ouija board,nimedokezwa tu Kuwa inafanya communication na spirit ya Watu waliokufa.
 14. kamikaze

  Movie kujizima sauti (Cinavia).

  Wana jf, kuna movie nimedownload sasa wakati naangalia zinamute sauti alafu inatokea msg ya cinavia ikionesha ya kwamba hiyo movie ni protected. Naomba kujuzwa kwa mtu ambaye anajua solution ya kuondoa hii automatic mute kwenye movie. Message inayojitokeza ni hii: “Audio outputs temporarily...
 15. kamikaze

  Kuhusu BET Awards 2018

  Wana jamvi naomba kuuliza, mwenye kufahamu ni link gani naweza kutumia kudownload full show bet awards 2018. Kama kuna coyote anayefahamu au amedownload naomba aniambie link aliyotumia, aksanteni.
 16. kamikaze

  Nauliza kwa hela hii nitapata simu ipi ya Samsung?

  Ndugu wana jamvi natumai mko poa. Naomba kuuliza mwenye ufahamu wa bei ya simu aina ya Samsung. Je kwa laki tano nitapata simu ipi ya samsung kwa hapa dar, iwe mpya na original.
 17. kamikaze

  Huyu director wa hii video ametisha

  Salaam jana jf Katika pita pita zangu kwenye youtube nimekutana na hii video ya Katy Perry, ni video ambayo ina matukio mengi na ya kusisimua. Mpaka sasa hivi ina viewers 2.3 billions. Director wa hii video katisha kwa kweli, hebu jionee mwenyewe. Katy Perry feat Juice J-Dark Horse
 18. kamikaze

  Panga top 5 yako ya maji ya kunywa ya chupa

  Mimi yangu ni hii: 1.Kilimanjaro 2.Afya 3.Uhai 4.Dasani 5.Masafi
 19. kamikaze

  Msaada, Tatizo la maumivu ya mgongo

  Habari jana jamvi! Naombeni msaada wa tatizo la mgongo, kwa muda mrefu nimekuwa nikisumbuliwa na tatizo la maumivu kwenye mgongo Chini kidogo ya mabega, maumivu huwa yana kuja na kupotea na kuja Tena, nimeishenda hospitali zaidi ya mara tatu na kupiga X-ray lakini picha zote zinaonesha hakuna...
Top