Search results

 1. Rich Forever

  Toyota Rav4 inauzwa Milioni 8

  Gari aina ya Toyota rav4 milango 5 linauzwa limetembea km 185000 gari ni Autamatic bei ya kuuza ni milion 8 tu Gari lipo kwenye hali nzuri na limetunzwa vizuri sana. Geri linapatikana Banana Gongo la Mboto. Mawasiliano 0719590756 0692792519 Sent using Jamii Forums mobile app
 2. Rich Forever

  Computer4Sale Nauza laptop hp probook core i3

  Nauza laptop hp probook core i3 @2.40GHZ 2.40 GHZ ram ni 4GB haddisk ni Gb 250 BEI NI LAKI NNE BETRY MASAA MAWALILaptop ipo kwenye hali nzur sana Mawasiliano 0719590756
 3. Rich Forever

  Portable solar power inauzwa bei sawa na bure

  Solarpark bag inauzwa ipo kwenye hali nzur sana bado ni mpya inafaa kwa matumiz ya taa hasa sehem zisizo na umeme au kwa mambo ya utalii ni bag la mgongoni hii solar ina taa tatu adapter na battery lake Unaweza kuchaj kwa umeme au kwa jua Bei ni laki moja na nusu tu 130000. Mawasiliano...
 4. Rich Forever

  Dekoda ya dstv Explora inauzwa bei sawa na bure

  Wakuu dekoda ya dstv eplora inauzea bei sawa na bure shilingi laki moja na themanini tu =180000 Ipo kwenye hali nzur kabisa yafaa kwa matumizi Simu 0692792519 0719590756
 5. Rich Forever

  Car4Sale Gari Nissan Turbo ya ubalozi inauzwa

  Gari aina ya nissan terano la kibalozi linauzwa bei sawa na bure ni dola 1700 tu gari ipo kwenye hali nzur sana halina michubuko wala kurudiwa rangi Shughuli zake ni kupeleka wanafunzi shule gari lipo osterbay Nimeshindwa kuweka kilomita kwakuwa Gage mita haisomi ila halina tatizo Gari ni...
 6. Rich Forever

  SOLD: Noah voxy inauzwa bei sawa na bure

  Gari inauzwa Noah toyota voxy T 703 DDP gari limetembea kilomita 131152 lipo kwenye hali nzur sana Gari linapatikana mwananyamala manjunju Bei ni shilingi million 6 kamili. Mawasiliano 0719590756
 7. Rich Forever

  Mlango mpya wa kuzunguka wa kisasa unauzwa bei sawa na bure.

  Huu ni mlango original kabisa upo ndani ya box lake una mota ya kuzunguka unapotaka kufunga na kufungua kwa kutumia umeme ni mlango wa kisasa kabisa Pia unapatiwa na fundi wa kukufungia kama ukihitaji Napatikana kinondoni biafra Dar es salaam Bei ni million mbili na nusu maongezi yapo...
 8. Rich Forever

  Mashine ya kuoshea vyombo inauzwa

  Mashine ipo kwenye hali nzuri sana bei ni laki tatu tu Kwa mawasiliano 0719590756
 9. Rich Forever

  Bishara ya unga wa sembe

  Wakuu kwa mwenye uzoefu wa hii biashara nina mahindi yapo mbeya mimi naishi dar es salaam sasa nataka kujaribu kufanya biashara ya kusaga sembe kuleta huku dar kutoa mbeya mzoefu naomb msaada soko lake lipoje au niweza kupata conection na wadau ni sijawahi kufanya ila nataka kufanya ushaur maoni...
 10. Rich Forever

  Anahitaji kazi ya udereva.

  Salaam wakuu, Ndugu yangu anahitaji kazi ya udreva wa kuendesha magari kafika form four na ana vyeti vyote pia kapitia NIT chuo cha usafirishaji mabibo na anachet chake. Tunahitaji msaada kwa kijana mwenzetu pia anaweza kufanya kazi ya ubber. Leseni yake hiyo hapo na mawasiliano yake ni ni...
 11. Rich Forever

  Car4Sale Karibu nikuuzie magari ya uhakika hapa.

  Toyota Carina TI ya mwaka 2000 engine 5A ina cc 1490 imetembea kilomita 100,100 gari ni Automatic fuel petrol linauzwa milion 7 na laki 3 Geri ipo kwenye hali nzuri kabisa linapatikana sinza. Weka order yako hapa nikutafutie gari ya uhakika. Kwa mawasiliano 0719 590756 0758556283
 12. Rich Forever

  SOLD: Gari aina ya Rav 4 inauzwa

  Gari aina ya rav 4 milango mitatu inauzwa dollar 1800 ipo vizur kabisa ila imesajiliwa kwa namba za ubalozi imetembea Km 122625 cc 1990 za kuibadili kuja kiraia ni jukumu la atakaee inunua ipo osterbay maongezi yapo. Shughuli yake kubwa ilikuwa kupeleka watoto shule na sokoni basi...
 13. Rich Forever

  Hivi hata walinzi hawaruhusiwi kuchukua mafao yao?

  Wakuu kuna hili jambo limempasua kichwa ndugu yangu ambae ni mlinzi kaambiwa kuchukua pesa zake hadi afikishe umri wa kustaafu sasa anajiuliza mikataba wanayopewa ni ya mwaka mmoja pia lindo likifa ndio mwisho wa kazi hapa maana yake mteja akiamua kuicha kampuni inayo mlinda na kama hamna nafasi...
 14. Rich Forever

  Maagizo ya ubomoaji nyumba toka kwa mh. Lukuvi yamepindishwa.

  Hilo agizo limepindishwa namsikiliza lukuvi muda huu kupitia magic fm kasema nyumba zinazobolewa ni zile zinazojengwa sasa ktk maeneo yasiyoruhusiwa na ambao wanakesi za uporaji wa viwanja waliojenga kibabe katolea mfano wa mbezi beach na tegeta kuna wanyonge wana hati zao lakini wenye fedha...
Top