Search results

 1. Bravius

  Bei ya Bajaji mpya TVs King

  Ndugu wanajamii nahitaji kufanya biashara ya Bajaji hapa mjini Dar es salaam sasa cjajua Bei yake fixed.
 2. Bravius

  Mama mjamzito kupitiliza siku za kujifungua

  Wanajamii wenzangu poleni na majukumu ya maendeleo Mke wangu ni mjamzito wa wiki 42 n sawa na miezi 10 na wiki 2 lakini hanatatizo la haina lolote kwa kipindi xhochote na nmecheki ultrasound takribani Mara mbili na ya mwisho n Tarehe 10 ya mwezi huu na kuna tatizo lolote kwa mtoto na njia iko...
 3. Bravius

  Maumivu ya tumbo na kuunguruma

  Nnatatizo la kuumwa na tumbo na kuunguruma nmetumia dawa za minyoo but cjafanikiwa kutoa tatizo je tatizo n nn?????
 4. Bravius

  Kuumwa kichwa kwa mama mjamzito hutokana na nini?

  Mimi mke wangu ni mjamzito lakin siku mbili hizi anasumbuliwa na kuumwa kichwa. Naomba msaada tatizo hili hutokana na nini??? Nina imani nitapata jibu sahihi. Asanteni
 5. Bravius

  Bashasha ya Kirukuu (Suzuki carrier)

  Habarini ndugu zangu wa Jamii forum.. Mm nahitaji kufanya biashara ya Suzuki carrier kwa huku kigamboni (Dsm) 1.Nahitaji kujua bei yake ikiwa mpya. 2.Na kwa siku mapato yake yako vipi?? 3.Na hasara au faida yake. Kwa sababu bado cna uzoefu na biashara hii. Naamini...
Top