Search results

 1. Matty96

  Msaada wa Haraka Juu ya Subaru Legacy

  Wataalamu naombeni msaada wenu juu ya hii gari leo nimejatibu kuiwasha lakini inaishia tu kutoa cranking sound ila haiwaki.. taa za dashboard zinawaka zote lakini taratibu.. hata taa za nje zimepunguza mwanga. Ni Push to start kila nikibonjeza button huku nimekanyaga brake ili niwashe inaishia...
 2. Matty96

  Naomba Hii Series

  Kwa yeyote alieko Dar naomba anisaidie hii series ya INTO THE BADLANDS kuanzia season 1 maana naona inaongelewa kila mahala na mimi ndo sijaiona Sent using Jamii Forums mobile app
 3. Matty96

  Naomba kujuzwa Mambo ya kuzingatia kwenye safari ya Dar to Dodoma nikiwa na Subaru Legacy

  Nategemea kufanya safari kutoka Dar kwenda Dodoma mwanzoni mwa mwezi November na gari yangu Subaru Legacy B4 2008 Push to start.. naomba ushauri juu ya mambo ya kuzingatia kabla, wakati na baada ya safari.. kuanzia service na vitu na kuweka sawa kabla sijaondoka.. service ya mwisho nmefanya...
 4. Matty96

  Natafuta Paka

  Nasumbuliwa na panya waliokosa heshima kabisa.. Kama una paka ambaye ana roho mbaya hata kama unauza ntanunua tafadhali... Akiwa mdogo atafaa zaidi.. Nipo Dar Chang'ombe
 5. Matty96

  Natafuta simu, niuzie simu hapa

  Iwe na uwezo wa kusupport 4g.. Screen ianzie 5.5".. Isiwe tablet.. Iwe Android.. Nna Tsh 400k Cash.. Nipo Dodoma.. Camera pia iwe nzuri.. Used Au Mpya are accepted both
 6. Matty96

  Msaada jinsi ya kufix bricked tecno h5

  Naombeni mnisaidie waungwana katika kuchezea cm yangu nimejikuta imekuwa bricked... nkiwasha inaishia kwenye logo ya tecno tu... nimejarbu kusoma solutions from hovatek lakn kudownload stock rom ya simu yang wanataka mpaka regstration ambayo imefail.. msaada tafadhali ni jinsi gani nnaweza...
 7. Matty96

  Msaada wa tovuti nnayoweza kudownload vitabu vya science bure

  Jamani wana jamvi wenzangu la elimu nilikuwa naomba kwa yeyote anayefahamu website ambayo nnaweza kushusha vitabu bure bila malipo anisaidie.. vitabu vya masomo ya science lakn kwa A-Level maana mambo ni mengi na material yanakuwa machache hivyo tunashindwa kufanya kazi ya kusoma effectively...
 8. Matty96

  shule bora ni ipi?

  habari zenu wadau. Eti kati ya shule ya serikali kama mzumbe au kibaha na shule ya binafsi kama maua seminary au nyegezi seminary kwa wanaozifahamu bora kwenda wapi.... serikalini ama shile binafsi..... Maoni yako yanahitajika na sio ukorofi
Top