Search results

 1. Pyepyepye

  Upendo wa mama

  Leo asubuhi katika pitapita zangu, nimekutana na watoto wadogo wakiwa wamebeba mizigo ya kuni kichwani, nikajikuta nimekumbuka tukio muhimu maishani mwangu ambalo nimeona tushirikiane tu kulitafakari, pengine linaweza kuongeza kitu fulani katika malezi ya watoto wetu. Miaka 17 imepita sasa...
 2. Pyepyepye

  Uuambiji

  Ukipewa fursa ya kuumba binadamu na ukaambiwa ubadili mkao wa maeneo ya mwili, mfano macho uyawe sehemu nyingine ya mwili, hips hali kadharika. Utambadilije?
 3. Pyepyepye

  Uchawi ni moyo, tunguli mzigo

  .
 4. Pyepyepye

  Kutumia vitu vilivyo kwisha muda wake

  Habari wanajamvi Naomba kuuliza sheria inasemaje ikiwa nitauziwa chakula au kinywaji kilichokwisha muda wake na kuja kugundua nikiwa nishakitumia tayari.
 5. Pyepyepye

  Umbali mara uzuri sawa sawa sawa na ujinga

  Habarini wana jamvi Hesabu hiyo hapo juu imekumba zaidi ya 90% ya wanaume katika mahusiano kwa namna mbili kuu 1. Kumuona mwanamke kwa mbali na ukavutiwa nae mara baada ya kumkaribia ndo unagundua si wa viwango ulivyovifikiri ila tu umedanganywa na umbali 2. Kumpata mwanamke mzuri, mpole na...
 6. Pyepyepye

  Niokoeni wapendwa, nimekwama

  Habarini za jioni marafiki. Wapendwa niko katika wakati mgumu sana na ninahitaji msaada wennu hasa wa kifedha. Hivi karibuni nimeingia kwenye ndoa, kama mjuavyo, ishu za harusi zinakuaga na utumiaji wa pesa nyingi, hii haikua ishu sana maana nilikua na mishe zangu ambazo niliamini hata baada ya...
 7. Pyepyepye

  Vyuma vs Elimu

  Tarehe kama ya leo miaka mitatu iliyopita tulichagua maisha haya, tunayoishi sasa. Kila mtu abebe msalaba wake kwa uaminifu
 8. Pyepyepye

  Msaada tafadhar

  Hbr wana bodi. Msaada wa kupata hiki kifaa hapa nchini tafadhari
 9. Pyepyepye

  Msaada wenu tafadhar

  Habari wanabodi Naomba kupata hichi kifaa?
 10. Pyepyepye

  Kwa wanaume tu

  .
 11. Pyepyepye

  Madereva wa magari makubwa na mabasi ni kuanzia miaka 45

  Serikali inakusudia kupeleka mswaada bungeni wa madereva wanaoendesha magari makubwa ya mizigo pamoja na abiria, wawe ni wenye umri wa kuanzia miaka 45 Hayo yameswemwa na waziri wa ujenzi na uchukuzi mhandisi Kamwelwe alipokuwa akikagua mradi wa ujenzi wa barabara jijini mbeya. Chanzo ITV
 12. Pyepyepye

  Wazo binafsi

  Natoa wazo binafsi kama mtanzania mzalendo, "Futeni uchaguzi wa jimbo la Liwale na zile kata 37. Pesa ya kuandaa huo uchaguzi wa marudio pelekeni rambirambi kule Ukerewe. Halafu hilo jimbo na hizo kata wapatieni wagombea wa chama tawala.
 13. Pyepyepye

  Mafuta mazuri ya nywele

  Habari wana jamvi. Naomba kuelekezwa mafuta mazur ya nywele kwa wanawake, yenye kukuza, kujaza, kunenepesha, na kuifanya nywele iwe na rangi yake asili. Niombe kutajiwa jina na bei yake tafadhari. Ahsanten
 14. Pyepyepye

  Kati ya dereva na trafiki yupi chanzo cha rushwa?

  Habar za jioni wanajamvi ? Naomba nieleweshwe katika haya mawili 1. Kati ya dereva na trafiki yupi chanzo cha rushwa ? 2. Kwanini madereva wengi wakisimamishwa na trafiki,hata kama upo uwezekano wa kusimama karibu na trafiki, huvuta mbele ili wafuatwe na trafiki ? [emoji767]
 15. Pyepyepye

  Mungu na akusimamie unapopambana kuisaka tunu yako na vizazi vyako

  Katika pori ama msituni: 1. Tembo ndiye mnyama mkubwa na mzito kuliko wote. 2. Twiga ndiye mnyama mrefu kuliko wote. 3. Mbwa mwitu ndie anaeaminika kuwa na busara kuliko wengine. 4. Duma ndiye mnyama mwenye spidi kali kuliko wengine wote. Pamoja na kukosa sifa bainifu kama wanyama waliotajwa...
 16. Pyepyepye

  Walimu wanawadhalilisha watoto

  Habari wana jukwaa. Hivi karibuni kumekuwa na mtindo wa walimu hasa wa shule za msingi kuwarekodi watoto na kisha kuzisambaza video hizo, Binafsi nimefanikiwa kuona video 3 za walimu hao na zote zinaonesha si tu uelewa mdogo wa mwanafunzi bali pia ujinga wa aliyepewa dhamana ya kuuondoa...
 17. Pyepyepye

  'Motivation speakers' wataua watu.

  Hasa wale wa kuku.
 18. Pyepyepye

  Nahitaji kioo cha samsung G900V

  Mwenye kuweza kunisaidia tafadhar
 19. Pyepyepye

  Ubelgiji: Laurent Simon, mtoto wa miaka 8 aliyechaguliwa kuijiunga Chuo Kikuu

  Laurent Simon, mtoto mwenye umri wa miaka 8 amechaguliwa kujiunga na chuo kikuu. Kuchaguliwa kwake kumekuja baada ya kufanya kufanya mitihani ya diploma na hivyo kufanya vizuri kiasi cha kuwazidi washindani wengine katika mitihani hiyo. Vipimo vya IQ kwa mtoto huu vimesoma ni 145. Mtoto huyu...
 20. Pyepyepye

  Mwanaume usimwachie mkeo hela chumbani

  MWACHIE MBELE YA WATOTO NA UMWAMBIE NA MATUMIZI YAKE, NA WATOTO WASIKIE USIJE KUISHI MAISHA YA UPWEKE UZEENI [emoji1427][emoji1427][emoji1427][emoji1427][emoji1427][emoji1427][emoji1427][emoji1427] MWANAUME Unamwachia mkeo hela ya Chakula Chumbani, Mke Anatoka na Kapu anaenda kununua...
Top