Search results

 1. MRnyotta

  UDOM ni chuo kizuri kwa kusoma Cybersecurity?

  Wadau naomba mnishauri... Nataka kusoma cybersecurity. Nilikuwa nauliza na naomba mnishauri je UDOM ni chuo kizuri kusoma cybersecurity???
 2. MRnyotta

  Jipatie handle za kisasa kwa ajili ya samsung yako

  Niaje wakuuu...... Aseee nauza hizi handle kuwa wale watumiaji wa samsung pale endapo simu ikipata moto sana basi kwakutumia handle hiii utaweza tumia simu yako kama pasi. Interested ni check PM bei 5000/=
 3. MRnyotta

  Jipatie TP LINK TL MR 3420 3G/4G MODERN WIRELESS N ROUTER KWA BEI CHEE

  Niaje wadau kama kawa... Ninazo tp link mr 3420 blue 2019 NEW GUI modern router + umiversal modem nauza (NEW) FEATURES 1. Inatumia modem ku connect kwa network 3g and 4g 2. Ina both 3g and 4g + WAN backup hii itakufanya kuwa online mda wote hatakama network ikicheza 3. Speed connection ni...
Top