Search results

 1. ze big

  UZI MAALUM KUJUZANA MAENEO YA STAREHE YENYE GHARAMA NAFUU!!

  Habarini wadau nimeona nianzishe uzi huu kusaidia watu tuweze kujuzana maeneo ya starehe yanaweza kuwa mapya au yazamani ila muhimu ni kwamba yawe ya gharama zinazowafaa watu wa kawaida na wa uchumi wa kati. Maeneo haya yanajumuisha; sehemu za kulala, Bar maarufu zilizo changamka, Maeneo mapya...
 2. ze big

  Msaada maji taka yanatiririka katika makazi ya watu

  Habari wanajamvi nahitaji kupatiwa msaada ni nini hasa nifanye kisheria kudhibiti utiririkaji wa maji taka katika eneo la makazi yangu. maji hayo yanatoka katika kambi za jeshi. Sent using Jamii Forums mobile app
 3. ze big

  Ushauri wangu kwa watumishi wa umma

  Habarini wanajamvi. Nimejitokeza baada yakusikia watumishi wa umma wakilalamika maisha magumu na pia wakilalamika hawatendewi haki. Naombeni niwashauri kitu ndugu zetu. Hiki ni kipindi cha mpito hiki ni kipindi ambacho iga dili wataumia sana na waliokua wakiteseka watafaidimatunda ya matendo...
 4. ze big

  Majengo sekondary - Moshi tukutane hapa

  Habarini wana jamvi. Kwa wale waliosoma majengo secondary moshi mjini hebu tukutane hapa tuendeleze ummoja wetu
 5. ze big

  Kero ya kingo za barabara Mwenge - Mpakani

  Habarini wana jamvi. Kwanza niupongeze uongozi wa jiji kwa kujitahidi kutunza mazingira kwa kuweka kingo za barabara ili kuzuia wapita kwa miguu wasikanyaje maua na majani yanayootesha kati kati ya kingo hizo. Kero yangu ipo pale ambapo wawekaji wa kingo hizi wanapoweka pasipo kuangalia...
 6. ze big

  Wanaume tupimwe akili

  Zawadi ambazo MWANAUME humzawadia MWANAMKE: 1. Nyumba 2. Gari 3. Duka/biashara 4.Simu 5.Mikufu pete na vito vya thamani Zawadi ambayo MWANAMKE humzawadia MWANAUME: 1. Vest 2. Boksa 3. Saa 4. Magonjwa Wanaume Tupimwe akili [emoji3][emoji23][emoji23] by Donald Trump
 7. ze big

  Wenye vitambi kutaneni hapa

  Habarini wadau. Nimeona nianzishe uzi huu ili kusaidia wanaume na wanawake wenye tatizo la kitambi yaani tumbo kubwa lenye mafta mafta ili muweze kushauriana namna yakukipunguza kama sio kukitokomeza kabisa kama dengue. Hebu shaurianeni hapa ili kuboresha afya ......
 8. ze big

  Mwanasheria aliyeishtaki Israeli

  Kutana na Dola Indidis, mwanasheria aliyeishtaki Israel kwa kumuua Yesu). nadai hakuipeleka kesi mahakamani kwa misingi ya kidini bali kwa misingi ya Kisheria. Anasema "Its academic thing not a theological thing" Yeye anachoangalia si unabii bali legal procedure. Pia amesisitiza ameamua...
 9. ze big

  Unene wa mke wangu unamuweka matatani

  Nilifanikiwa kupata mwenza wa maisha (kuoa) mnamo mwaka 2006 kipindi ninaoa mimi nilikua na uzani wa kilo 50 na wife alikua na kilo 42 maisha yalisonga tukapata mtoto wakwanza. Wife alijifungua normal kabisa na tukalea mtoto wetu wa kwanza wife alikua na kilo 44 mpaka mwanetu anafikisha umri wa...
 10. ze big

  Tangazo la njileee la tigo pesa

  Nimekua nikilisikiliza hili tangazo kwa mda mrefu mara nyingi limekya likitangazwa kwenye stesheni ya Clouds fm. Kwa upande wangu ninaollipenda sana hili tangazo si kwa sababu ya tigo pesa la hasha bali ni kwa kuelezea uhalisia wa baadhi ya dada zetu wanaopenda vitu vya bure bure kama kupanda...
 11. ze big

  Mnawezaje kudumu na hawa ndugu zetu?

  Habari wana jamvi. Nimekua nikishangaa kila siku katika haya maisha kuanzia nmekua na akili yakuwatamani hawa wanawake. Nina zaidi ya miaka 35 lakini nimebakia kuwa mshangaaji inakuaje wanaume wenzangu mnaweza kudumu na wanawake kwenye mahusiano kwa mda mrefu!!! Mnawezaje kuhimili kero za kila...
 12. ze big

  Ujenzi bora wa ukuta

  Habari wana jamvi. Leo nimeona niwashirikishe jinsi yakujenga ukuta ulio imara ili kuepuka hasara zitokanazo na kuboka kwa ukuts itakayopelekea kupoteza pesa zetu. Kwanza kabla ya kujenga ukuta wowote lazima uhakikishe una plan za ujenzi na uweze kufanya uchunguzi wa ujenzi na gharama zake...
 13. ze big

  Foleni ya mataa ya ubungo kutokea riverside

  Habarini wana jamvi. Mimi ni mmoja wa waathirika wakuu wa foleni ya ubungo kuanzia ricerside kwenda mataa kama unaelekea mlimani city. Napenda kusikia kutoka kwenu je ni kweli foleni hii ni kubwa kiasi cha kusababisha msongamano wa aina hii au ni wahusika kutoipa kipaumbele. Nimekaa dakika 40...
 14. ze big

  Kwa wanaoifahamu Nissan Dualis

  Habarini wana jamvi. Nimekua nikivutiwa sana na gari hii nissan dualis ningependa kupata uzoefu kwa wataalam kuhusu uwezo wake na ubora kwa ujumla. Na kwa mwenye nayo anaionaje kwenye nyanja ya comfortability.
 15. ze big

  WATANZANIA POMBE TUNAZOKUNYWA ZINARAHISISHA SANA KAZI ZA WAPELELEZI .

  Habari wana jamvi nimefanikiwa kupita maeneo ambayo vilaji au pombe zinauzwa kwa wingi. Nilichogundua ni watanzania wengi tunaongea mambo mengi ya siri tukilewa nimepata kushuhudia mtu kama wakili tena anaesimamia kesi nzito sana anaropoka ushahidi akiwa bar. Je hii ni kutokana na stress...
 16. ze big

  Ujio wa Mobile Plaza ni mkombozi kwa watanzania waliokuwa wakiteseka kununua simu used au feki

  Habari za mda huu wana jamiii. Juzi niliona tangazo kuhusiana na Mall mpya iliyofunguliwa pale kariakoo ambayo ndani yake kuna maduka zaidi ya mia moja yanayohusika na uuzaji wa simu Original pamoja na maduka ya watoa huduma kama Vodacom na Halotel. Kiukweli nilipata fursa yakuzunguka kwenye...
Top