Search results

 1. etkahigwa

  Wale ambao upepo wa kisulisuli umetuponya tukutane hapa

  Nilikuwa zangu Kimara, ghafla upepo wa kisulisuli ukanibeba na kujikuta kwenye kisiwa cha Ukerewe nikiwa na wavuvi.
 2. etkahigwa

  Msaada: Cramp meter

  Habari zenu wakuu! Naomba msaada wa wapi ninaweza kupata digital cramp meter yenye uwezo wa kupima current ya DC na AC, voltage ya DC na AC pamoja na function zingine, maana nimezunguka maeneo mengi ambapo zile nilizopata zilipungukiwa uwezo wa kupima DC Current ambayo kwa kazi yangu, ina...
 3. etkahigwa

  Natafuta kazi ya udereva wa mabasi

  Habari zenu wanajf, mimi ni kijana ambaye ninatafuta kazi ya udereva wa mabasi yoyote yawe ni daladala na mengineyo. Nina ujuzi mzuri wa kuendesha mabasi, na nilipata mafunzo ya udereva huko VETA na leseni yangu ya uhalali ni ya grade C1. Kwa mawasiliano, namba yangu ya simu ni +255659122404...
 4. etkahigwa

  Msaada: Utumiaji wa digital multimeter

  Habari wanajf. Naombeni msaada kwa yeyote anayefahamu kutumia digital multimeter ambayo haina sehemu maalum ya kuset kwenye uf (microfaraday) kwa kupima capacitor na kujua kuwa ni nzima au ni mbovu. Na pia hata jinsi ya kupima IC (Integrated Circuits) kwa kutumia hivyo vifaa. Natanguliza...
 5. etkahigwa

  Mini Laptop used inauzwa

  Habari zenu wanajf, Ninauza mini laptop ambayo ipo katika hali nzuri kabisa na wala haijawahi kufunguliwa; Maelezo kuhusu sifa za hiyo mini laptop ni kama zifuatazo:- Mini Laptop ni ya aina ya ASUS Eee Pc 1001px Specification Display: 10.1 inch Built-in webcamWi-fi support Hard disk...
 6. etkahigwa

  Msaada wa laptop ya Acer

  Habari zenu wanajukwaa. Nina tatizo na laptop yangu ya aina ya Acer E-series; tatizo ni kwamba nikiunganisha power cable inawaka na pia inaonesha battery inacharge, sasa kinachoisibu hii laptop ni kwamba battery haiongezeki chaji na ninaweza kuchaji masaa 6 lakini isiingie hata 1% ; na pia...
 7. etkahigwa

  Sababu za kuanzisha makampuni katikati ya mji

  Habarini wanajf, hivi inakuwaje swala la makampuni mengi kuweka vitengo vyao vya huduma katikati ya miji hususani Dar-es-salaam kama vile maeneo ya posta, k/koo na sehemu zingine? nauliza hivyo kwa maana, kama kuna nafasi kubwa hususani nje kidogo ya mji wetu wa kuweza kujenga au kuanzisha...
 8. etkahigwa

  Urithi na kijana

  Habarini wanaJF Leo ninataka kutoa mada yangu kuhusu vijana (bado hawajaanza kujitegemea) hususani ambao hutegemea urithi kutoka kwa wazazi wao. Nimekuwa nikiona baadhi yao kutokuwa makini na maandalizi ya maisha yao hususani masomo na mengineyo, hii ni kutokana na kujipa ujiko kuwa kwa nini...
 9. etkahigwa

  Product keys ya windows 8.1 core

  Habari zenu kila mmoja. Naomba mwenye product key ya windows 8.1 core anisaidie, maana nilikuwa na temporary product key ambayo imeisha na windows inahitaji kuwa activated. Natanguliza shukrani kwa kila mmoja atakayeweza kunisaidia hizo keys na hata atakayenipa ushauri unaohusu hili jambo.
 10. etkahigwa

  Nawezaje ku-download Windows 10?

  Habari zenu wadau waJF, Kwa yule anayefahamu link ya kudownload Windows 10 iso file iliyo full version naomba anisaidie kunipatia.
Top