Search results

 1. safuher

  Mambo machungu muhimu unayotakiwa kuyajua na kuyahimili ili uiweze ndoa

  Kabla ya yote zingatia haya mambo machache Hakikisha unachagua mwanamke aliye na maradhi yako(unavyovipenda)kwa maana yule mwenye umbile unalopenda wewe. Kama unapenda chura tafute mwenye chura na rangi uipendayo wewe, huyu akiwa ndani naam hata mkigombana utataka muyamalize ili usijemkosa...
 2. safuher

  Mwanamke anayetaka ndoa hatakiwi kutoa penzi kabla ya ndoa

  Dada yangu kuwa makini na wanaume kama unataka mwanaume mwema usimpe penzi kabla ya ndoa kwa sababu ni hatari sana kwa mustakabali wako. Kumbuka mabaharia wana misemo yao ile ya kuwa kama napata maziwa na nyama yake sasa ya nini kufuga ng'ombe? Alafu utasikia wanawake wanasema lazima aonjeshe...
 3. safuher

  Usipoteze muda na ujinga wa diet, hakuna chakula kibaya ukiwa mstaarabu

  Usihangaike na mambo ya kufanya diet ili uwe mwembamba ama upungue huko ni kujihangaisha bure Ndugu. Hakikisha njia utakayotumia kukupunguzia mwili iwe ndo system yako ya maisha, vinginevyo utajikuta unapungua ukiwa ndani ya system na ukirudi kwenye maisha halisi unarudia ubonge upyaaaaaaa...
 4. safuher

  Nimekamilisha upekuzi wa siku 30 kwenye simu ya mke wangu

  Kama miezi miwili nyuma niliamua kisirisiri kuingia kwenye secta hii ya ufbi kuchunguza mwenendo wa bi wife na watu wengine huko nje. nikajipa zoezi la kuvumilia lolote litakalo tokea nikalihimili. Sijazaliwa nae, nimejuana nae ukubwani, nawezakuoa mwingine any time, wanawake wapo wengi haya...
 5. safuher

  Kwanini wanawake mkiambiwa kazi yenu kubwa ni kulea watoto wengi hampendi?

  Kwa nini dada zangu wengi hasa wasomi wakiambiwa wao kazi yao kubwa na special ambayo hawezi kuifiti mwingine ni kulea familia hasa watoto huwa wanakataa na kuona wamejishusha? Wanawake kwa nini hamjiulizi ni kwa nini tokea hapo asili kuwa mwanamke ndo anakamata mimba? Hivi inawezekanaje...
 6. safuher

  Kufanya hijama(kupiga chuku) kutoa damu chafu

  Wakuu nawasalimu Kwa upendo wa dhati kutoka kwangu. Amani na huruma za Mola ziwe kwenu nyote Kuna hii kitu inaitwa hijaama ama kupiga chuku ama kutoa damu chafu mwilini. ni kitu inafanywa sana hasa na baadhi ya waarabu na hata zamani wazee wakifanya sana sijui kwa sasa. Madaktari wanasemaje...
 7. safuher

  Tusidanganywe sana, kuwahi kileleni sio tatizo la nguvu za kiume

  Kumekuwa na propaganda nyingi sana kuhusu upungufu wa Nguvu za kiume na tiba zake.na kumekuwa na tafsiri nyingi sana za watu juu ya upungufu wa nguvu za kiume. Wapo wanaoona kwamba kukojoa mapema ndo upungufu,wapo waonao kwamba kutokupata mtoto ndo upungufu,wapo waonao kwamba uume kulelegea...
 8. safuher

  Ukitaka mke asiye na dosari , utaishi mjane miaka dahari

  Katika maisha ya kuishi watu tofauti Kama marafiki,Ndugu na jamaa wengine lazima kutakuwa na tofauti za kimaumbile na kitabia baina yetu bila shaka. Kama tu rafiki ambaye unakutana nae katika muda wa masaa 9 ya kazi unakuta ana mapungufu yake ambayo huwenda huyapendi kwa namna fulani na...
 9. safuher

  Kila akili salama inaamini ulimwengu umeumbwa na Mungu sio buree

  Kama akili zako zinang'amua mambo sawa sawa basi utajua tu kwamba huu ulimwengu wetu umeumbwa na Mungu wala hauja exist tu kwaanbahati mbaya au nature. Kama mtu hakubali kwamba yale maghorofa ya kariakoo hayajaja yenyewe basi lazima asikubali pia kwamba dunia hii ipo ipo tu kwamba eti hakuna...
 10. safuher

  Kwenu wanawake : Hakuna mwanaume anachepuka kutafuta tabia njema

  Naomba wanawake mulifahamu hili ya kwamba HAKUNA MWANAUME ANAECHEPUKA KWENYE NDOA KWA KWENDA KUTAFUTA TABIA NJEMA HUKO NJE. mwanaume hachepuki kwa kuvutiwa na tabia njema ya mchepuko,mwanaume anachepuka kwa vigezo vingine kabisa. Mwanamke usijiaminishe kwamba eti una tabia njema na maadili...
 11. safuher

  Ni sahihi mke kusifia uzuri wa mumewe kama vile macho,vidole n.k.?

  Uzima ndio sifa ya watumiaji wa JF natumai kila anaesoma hii post ni mzima wa afya,wagongwa hasa hawawezi lolote hata kushika simu tabu.TUMSHUKURU MUNGU KWA KWELI. naomba tuchangie mawazo kidogo kuhusu suala la mke kumsifia mumewe kwa mambo mbali mbali.. Mfano Mke anamuambia mumewe "Una macho...
 12. safuher

  Ukitaka kufanikiwa kwenye kilimo usilime

  Sasa mimi nasema hivi, ukitaka kufanikiwa kwenye kilimo, Usilime wala Kulimisha! Wewe subiria wanaolima walime, wanaolimisha walimishe, wewe subiri mazao uyanunue. Tofauti na hapo ni ziro!
 13. safuher

  Utajuaje kwamba mchumba wako au mwanao wa kike anatobolewa jicho?

  Naomba kuwasilisha hii mada samahani naomba kuwekwa sawa tu. Jicho ambalo limetobolewa mtu analijuaje kwa kulitizama tu bila kufanya chochote kile..? Linakuwa limetoboka, halinda marinda, au linakuwaje kuwaje..? Tuna vijana wetu wa kiume na wa kike, waharibifu wapo wengi dunia ya sasa...
 14. safuher

  Wanawake ambao kwa muonekano wa haraka haraka hutakiwi kuoa

  Tukianza na wanawake ambao kwa muonekano wa haraka haraka hutakiwi kuoa kabisa.. 1.Wanaovaa suruali na vimini wakiamini kwamba huo ni uhuru wao wa mavazi - Hawa wanakuwa wakorofi kwenye ndoa kwa sababu wameathiriwaa na ule msemo pendwa "haki sawa kwa wote" 2.Wanaoongea sana na kujibu ambacho...
 15. safuher

  Wanaotafsiri movie za nje wanawanaharibu zaidi au wanasaidia?

  Wakuu kuna hili suala la hawa wanaotafsiri movie za nje kuja kwenye lugha yetu.binafsi kuna season moja ya the flash nimeitazama kuna jamaa alileta imetafsiriwa. Sijui kiingereza lakini cha kuombea maji kwa mbali kinapanda,jamaa anaharibu mambo mpaka unashindwa kuelewa kilichokusudiwa mule...
 16. safuher

  Wanaume wenzangu msidanganyike oeni,lakini kabla muwe makini

  Natumai kila mtu ama wengi tumekuwa tukizisoma nyuzi mbali mbali zikihusisha mambo ya ndoa na ndugu wengi wakiwashauri watu kuwa wasioe na wala wasiwajali wanawake kwa sababu ni wasaliti.na hoja nyingi mfano wa hizo. Ukisema usioe kwa sababu eti wanawake wasaliti : tambua kwamba hata kama...
 17. safuher

  Naepuka vipi magamba mikononi baada ya kutumia sabuni ya Unga?

  Wakuu kila nikifua mara nyingi hutokea haya magamba mfano wa yale ambayo yanaota baada ya kubangua korosho.lakini haya malaini laini. Naepukaje hali hii maana inakeraga sana mda ungine? Picha [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
 18. safuher

  You can not achieve the goals without self discipline,and you can not have a goal without dream

  You can not achieve the goals without self discipline,and you can not have a goal without dream. But dreams without goals are just dreams. When you buid your dreams you build your goals and when you build your goals you are preparing to achieve a success. But all of these above can't be...
 19. safuher

  Ambae aliwahi kukopeshwa pesa na hawa wanaojiita Islamic bank atoe ushuhuda hapa

  Hivi nani aliwahi kukopeshwa pesa na hawa ISLAMIC BANK? kama hawakopeshi pesa wanakopesha nini? Je hicho wanachokopesha wanauza wao au wanaenda kukununulia wao dukani kwa pesa zao then wanakupa? Naomba kwa wenye uelewa wanielekeze hapa ili nione kama kweli hawana riba ama wanaificha ficha na...
Top