Search results

 1. musacha

  Wauaji walitumia, chai, miavuli na hata sumu kuwaangamiza wapinzani

  17 Februari 2017 [http://ichef-1]pHaki miliki ya pichaGETTY IMAGESImage captionDaraja la Waterloo mjini London ndio eneo lililotumika kumuangamiza Hakuna jambo jipya kuhusu mauaji ya mtu maarufu. Ni miongoni mwa njia zilizotumika kuwaondoa ulimwenguni watu waliokuwa na uwezo mwingi am watu...
 2. musacha

  Historia Yenye Ukakasi Kuhusu Uanzishwaji wa Taifa la Israel

  Wakuu wanajukwaa salaam kwenu. Binafsi napenda kutambua mchango wa wadau mashuhuri wa jukwaa hili, nikiwataja kwa uchache The bold , MSEZA MKULU , barafu na wengineo wengi ambao kwa kiasi kikubwa mmekuwa mkitoa chambuzi za kihistoria ambazo ni fikirishi lakini pia zinapanua ufahamu na...
 3. musacha

  Hii ndio namna tunaweza kupunguza umasikini na utegemezi

  Waungwana habari za wakati huu; Kwanza nianze kutambua na kupongeza kwa dhati michango na mawazo mbalimbali ya wanajukwaa, ambayo Imekuwa msaada mkubwa na dira katika maisha yangu na wanajukwaa wengine. Wanajukwaa nimejiwekea akiba mpaka imefikia Tshs 10 Milion, na sasa nataka nianze biashara...
 4. musacha

  Natafuta mtaalam mshauri wa mambo ya kilimo

  Waungwana Habari za Kazi, Nahitaji mtaalamu mshauri wa kilimo na ufugaji wa kisasa, ili nipate Huduma. Wasiliana na nami kwa 0714868342/0684224309
Top