Search results

  1. mamylove

    Laini kutokusoma kwenye simu

    Simu Samsung a30 nikiweka line yoyote nikajaribu kupiga inaniletea msg not registered on network lakini line hiyohiyo inasoma vizuri nikiweka kwenye simu nyingine. Msaada kwa anayejua tatizo ni nini
Top