Search results

 1. The Great Emanuel

  Kijana wa chuo usipoelewa basi tena

  Kama wewe ni Kijana mwenye umri kuanzia miaka 21 hii ndio post yako bora ya mwaka 2019 ,yakupasa uisome na kuitafakari vyema sana. Kwa mujibu wa mtandao wa www.biblemoneymatters.com umeonyesha kuwa kuna misitari 2000 ya neno pesa kwenye Biblia takatifu . Kisha mtandao wa www.tcu.go.tz...
 2. The Great Emanuel

  Umewahi kuwa na mpenzi anaependa kukugeuzia kosa?

  Story iko hivi. Nimewahi kuwa na mahusiano na dada mmoja hivi sasa huyo dada alikua na tatizo moja yeye hajuagi neno msamaha yani kutamka hilo neno ni kwa mbinde sana. Alikua na tabia ya kupenda kunigeuzia sana kosa, yani kwa mfano akifanya kitu nikaonyesha kukasirishwa nacho badala aombe...
 3. The Great Emanuel

  Swali kwa wanaoamini hakuna mpenzi wa peke yako

  Za uhuru day wanajamii. Kuna watu humu huwa wanaleta changamoto wanazokutana nazo kwenye mahusiano yao, sana sana naona malalamiko mengi ni kuhusu usaliti. Sasa kuna wadau humu wanajifanya wao kama wana mioyo ya chuma majibu yao makubwa ni hamna demu au men wa peke yako, kushare ni lazima...
 4. The Great Emanuel

  Ushawahi kumkimbia mpenzi wako wakati wa hatari? Ilikuwaje?.

  Mungu ibariki Tanzania. Story yangu ilikua hivi... Siku moja nilienda kumtembelea girl wangu mitaa ya kwao ilikua jioni ya kama saa 1,nilikua na rafiki yangu kanisindikiza, kufika pale yeye akaenda kutembea akatuacha pale. Sasa kuna sehemu tukaenda kukaa karibu na kwao huyo mpenzi maana kwa...
 5. The Great Emanuel

  Ukiwa DOMO ZEGE Kuwa Mbunifu Kama Huyu Mlokole.

  Ilikua zamani kidogo miaka ya 2007 kijiji flani hivi Tz hapa, Kulikua na Dada mmoja hivi mcha Mungu kweli kweli yani mlokole vibaya mno. Sasa kuna kijana mmoja hivi aliitwa Emanuel walikua wanasali kanisa moja huyu kijana alimpenda sana yule Dada shida ikawa kwenye kumwambia, Maana mdada ana...
 6. The Great Emanuel

  Nimeota ndoto nzuri imewahi kuisha Roho imeniuma sana.

  Leo usiku aisee nimeota ndoto moja nzuri sana, Yani nimeota nipo sehemu siijui lakini inaonyesha ni ofisi sasa mle ndani tulikua watu wanne, Mimi na boss wote wa kiume halafu kuna wakike wawili pia. Sasa mimi nilikua nimekaa nao wale wadada ni warembo vibaya mno yani. Mara ghafla Boss akatoka...
 7. The Great Emanuel

  Tujikumbushe mistari ya msanii jasiri Roma

  Huyu jamaa mi namkubali sana sababu sio muoga kabisa ukizingua anakuchana tu kupitia mic. Hii ni baadhi ya mistari ya nyimbo yake kali kabisa inaitwa Tanzania. Aliimba hivi; ''Najua msema kweli hufa mapema sijali kama mlimuua Amina hapa kwangu chuma cha reli, kwanza kwetu mi nimeaga na babu...
 8. The Great Emanuel

  Wanawake walio wengi hawana upendo na ndugu wa waume zao

  Wanawake walio wengi hawana upendo na ndugu wa waume zao. Ilikua siku moja hivi nimekaa na mzee mmoja mjeshi mstaafu akawa ananiambia tabia za wanawake kutowapenda ndugu wa mume. Akaanza kwa kuniambia ukitaka kujua hilo fanya hivi; 1. Nunua doti za vitenge hata 10 mpelekee mkeo mwambie hivi...
 9. The Great Emanuel

  Msaada ajira /kujitolea

  Habari wakuu Mimi ni kijana na mmoja wa wahanga wa kusimamishwa kwa ajira tukiwa tumeanza kazi. Nina Diploma ya community Development, na nilipata kazi manispaa moja hivi sasa baada ya kusitishwa kwa ajira zetu mimi niliomba kuendelea kufanya kazi lakini kwa kujitolea. Na afisa utumishi...
 10. The Great Emanuel

  Tetesi: Hii Njia Ya Kupata Pesa Ni Ya Ukweli?

  Hello. Guys kuna rafiki yangu mmoja yupo mkoa. Sasa leo amenitumia link ya mtandao unaoitwa Cashni. Na kwamba ukifuata maelekezo unapata pesa kwa kila mtu unaye mdirect huko. Na amenitumia na check ambayo amelipwa na bank ya Canada. Sasa nauliza kuna ukweli hapa? au ndo wizi wa mitandao maana...
 11. The Great Emanuel

  FACTS ABOUT LIFE

  Did you know if u bath at least twice daily,avoid alcohol avoid smoking tobacco and bhang go to gym everyday for fitness,have sufficient sleep eat fruits after each meal avoid stess stop using all sorts of drugs including caffeinne found in tea nd coffee and practise safe sex regurlary u will...
 12. The Great Emanuel

  Watu Wengine Mnatusumbua Walinzi Shirikishi

  Za mchana wandugu Kutokana na agizo la kamanda kuwa kila mtaa uwe na kikundi cha ulinzi shirikishi, Sisi mtaa wetu umeanzisha hicho kikundi na watu wanajitolea kulinda. Sasa majuzi nilikosa usingizi nikaamua nikasaidie kidogo kulinda, tukiwa lindo bana si ndo ghafla tukakurupushwa na sauti...
 13. The Great Emanuel

  Wanawake sio watu wa kuwaamini hata kidogo

  Habari Comrades. Mi nataka kujua kitu kimoja, hivi hawa ndugu zetu, dada zetu wana matatizo gani hasa? Hizi story za matukio ambayo yanatokea almost kila siku kuhusu wanawake kupanga misheni za kuwaua waume zao, hii tabia inasababishwa na nini labda? Maana sasa tutaanza kukosa imani na hawa...
Top