Search results

 1. Matty96

  Wapenzi wa magari mazuri msiache kupitia huu uzi

  Crown ya kuanzia 2008.. New shape ya mkononi isiyovuka 17m inapatikana Boss? Sent using Jamii Forums mobile app
 2. Matty96

  Msaada wa Haraka Juu ya Subaru Legacy

  Nadhani Battery itakuwa ni tatizo.. basi tukutane kwa Mariam Biriani[emoji23]
 3. Matty96

  Msaada wa Haraka Juu ya Subaru Legacy

  Asante kwa ushauri.. itabidi nitafute battery nyingine hii hali ikijirudia
 4. Matty96

  Msaada wa Haraka Juu ya Subaru Legacy

  Ni dry ndio mkuu haitumii maji
 5. Matty96

  Msaada wa Haraka Juu ya Subaru Legacy

  Nmeiboost tu imekubali ila bado sijajua sababu ya battery ku drain
 6. Matty96

  Msaada wa Haraka Juu ya Subaru Legacy

  Wakubwa nmefanikisha kuwasha.. naona battery ilkuwa ni tatizo ila sijajua kwanini maana amna kitu niliacha on kwenye gari
 7. Matty96

  Msaada wa Haraka Juu ya Subaru Legacy

  Hapa hali ndo imekuwa mbaya zaidi wakuu.. saiv ndo haiwaki kabisa na imefifia taa za dashboard zote hazina mwanga hata button ya push to start haiwaki
 8. Matty96

  Msaada wa Haraka Juu ya Subaru Legacy

  Ngoja nikutumie picha kabisa mkuu
 9. Matty96

  Msaada wa Haraka Juu ya Subaru Legacy

  Nashkuru sana.. nitakutafuta asubuhi mkuu unisaidie nitakapokwama
 10. Matty96

  Msaada wa Haraka Juu ya Subaru Legacy

  Asante Mkuu... itabidi kukikucha nijaribu hizi namna... huku nafanya maombi isiwe shida kubwa kidogo
 11. Matty96

  Msaada wa Haraka Juu ya Subaru Legacy

  Nitajaribu kucheza na betri.. inawezekana imepoteza nguvu
 12. Matty96

  Msaada wa Haraka Juu ya Subaru Legacy

  Duh! Usingizi haupiti mkuu.. inabidi kesho niamke na battery nyingine sasa
 13. Matty96

  Msaada wa Haraka Juu ya Subaru Legacy

  Wataalamu naombeni msaada wenu juu ya hii gari leo nimejatibu kuiwasha lakini inaishia tu kutoa cranking sound ila haiwaki.. taa za dashboard zinawaka zote lakini taratibu.. hata taa za nje zimepunguza mwanga. Ni Push to start kila nikibonjeza button huku nimekanyaga brake ili niwashe inaishia...
 14. Matty96

  Naomba Hii Series

  Nataka format nzuri ya kuangalia kwa tv sasa kudownload inahitaji good internet and good money too which i have neither Sent using Jamii Forums mobile app
 15. Matty96

  Naomba Hii Series

  Kwa yeyote alieko Dar naomba anisaidie hii series ya INTO THE BADLANDS kuanzia season 1 maana naona inaongelewa kila mahala na mimi ndo sijaiona Sent using Jamii Forums mobile app
 16. Matty96

  Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

  hii mwalimu hadi niipate inabidi niandae kiasi gani?
 17. Matty96

  Natafuta rear spoiler/wing ya altezza

  Nenda ilala au lumumba huwez kosa
Top