Search results

 1. TECHMAN

  Harmorapa Fans' Special Thread...

  Kweli kuna vijana wanatumia mitaji yao vizuri, Mungu kamnnyima sura kamnyima elimu lakini kuna kitu kapewa, sasa huyo mama kakiona hataki kukiacha. Punda alinyimwa pembe akapewa masikio, akapewa na mlio wa milele na milele.
 2. TECHMAN

  Punyeto ni nini na nini madhara yake?

  Nimebobea katika kupiga punyeto, nashangaa nina dalili zote za ugonjwa wa zinaa, je, nimeupataje?
 3. TECHMAN

  Steve Nyerere amponda Erick Omondi, adai watanzania wanaomkubali ni wajinga

  Unajua kuna uigizaji, uchekeshaji na utani. Sasa huyo stive ni muigizaji na muonyesha utani, mtu unaweza ongea masaa mawili usicheke. Stive hawezi mfikia hata yule mkenya chokoraa trick sana.
 4. TECHMAN

  Saa nyingine wanaume mnajichoresha

  Kama ni kweli ulifanya hayo wewe ulikuwa huna akili[emoji35]
 5. TECHMAN

  Upi ni uwezo sahihi wa mwanaume anapokuwa faragha?

  Hao wako si wanaume ni wavulana, jaribu mwanaume siku moja uje na mrejesho. Kama mwanaume yupo kwenye normal mode kawaida goli halitakiwi kuwa chini ya nusu saa, idadi pia inategemeana na aina ya K unayokula, kuna nyingine unaweza piga hata saba nyingine moja tu kisha unasepa.
 6. TECHMAN

  Vyakula vinavyomfanya mwanamke kuwa mtamu

  Samahanini, hivi vikolombwezo vyote vyaliwa ama vya wekwa huko ukeni?
 7. TECHMAN

  Msaada: Mwanaume huyu hapigi bao

  Vilainishi vimepigwa marufuku bwana.
 8. TECHMAN

  Jamshid...Mfalme wa Zamani Zanzibar

  King on the jeans, hii poa saaana
 9. TECHMAN

  Uongozi Chuo kikuu kishiriki Muhimbili umewazuia wahitimu wa Kikristo chuoni hapo kufanya mahafali

  Maswali ya watu wa dar . back to the point. Kunasheria ya kuruhusu nani aalikwe kwenye nini? We hujui kuwa kuna mashirikisho ya kidini katika vyuo?
 10. TECHMAN

  Kwanini huyu dada anapenda kutuchafua wanaume wa hapa mjini kwenye mtandao wake?

  Copy kisha ukapest kwenye google tafsiri ili ikutafsirie kikwenu.
 11. TECHMAN

  Sweden inaichokoza Tanzania

  Hii stoy kama vile ilianzia facebuku kisha bahati mbaya ikaja maliziwa huku. Maana haionyesho mwanzo tunaona lawama tu kwa wa swidish, haya huyo jasus kaima twiga wangapi huko oman ( eneo kubwa la loliondo liko chini ya ufalme wa oman)
 12. TECHMAN

  Ananipenda lakini ananinyima unyumba

  Kama anakunyima unyumba we mjengee nyumba
 13. TECHMAN

  [Ushauri]: Wa Kikubwa na Kiutu_Uzima Unahitajika hapa

  Huyo mwanamke akirudi ajiri kuwa house girl kabisa hafai kuwa mke
 14. TECHMAN

  Je Diamond Platnumz ana management mpya?

  Huyo ni mbeba viatu wa mondi.
 15. TECHMAN

  Jinsi ya kumwingia dem ambaye hujawai onana nae

  Azima gari nzuri kwa jamaa kisha nenda nalo, usimuombe na mba ya simu wewe mpe zakom ikifika saa nne usiku hajakupigia au sms, huyo achana nae, akituma sms au akipiga, umemaliza.
 16. TECHMAN

  Msaada: Nashindwa kuingia

  Hebu jaribu kubadili mtandao uone?
 17. TECHMAN

  Binadamu wote ni sawa

  binadamu wote ni sawa laini hawana haki sawa
 18. TECHMAN

  Happy fathers day!

  hakunana kitu kama hii, huyu atakuwa jogoo wa dar
 19. TECHMAN

  Obama akiwa kanisani

  hapo nusu ya kanisa watakuwa ni secret service, angalia walio nyuma yake hawaimbi wala hawana vitabu mikononi.
Top