Search results

 1. bampami

  Umewahi sikia uchawi wewe, basi huu ndo uchawi wenyewe

  Mbeya huko unaambiwa kinyesi kilikuwa kinaanguka toka kwenye dari bila ya kuona mtu.
 2. bampami

  Dhana ya kumwagiwa maji siku Ya birthday ilianzia wapi?

  Kumekuwepo na tabia ya kumwagiana maji pindi mtu anapotimiza miaka kadhaa..Hii dhana ilianzishwa na nani, nani mwanzilishi? Nimepita mahali na kuona mtu aliyemwagiwa maji machafu eti kwa kusherehekea siku yake ya kuzaliwa, binafsi naona ni too much. (picha chini)[emoji116]
 3. bampami

  Tarehe Ya Leo

  Tarehe ya Leo Katika Picha.
 4. bampami

  SOMO:Wanawake Pia Wana Upungufu Wa Nguvu Za Kike Pia

  Mzunguko wa tendo zima la ndoa huwa umegawanyika katika nadharia kuu nne ambazo kwa lugha ya kiingreza huitwa excitement (kusisimka),plateu,orgasim (kilele) na resolution (kurudi katika hali ya kawaida).Hatua hizi siyo lengo letu kuzizungumzia kwenye post hii,tutaziona kwenye post inayokuja...
 5. bampami

  Rais Magufuli mtazame mtangazaji huyu hata ukurugenzi

  Natambua Juhudi zako za kuiletea maendeleo Tanzania Mheshimiwa Rais, Mwandishi huyu amekuwa katika kampeni kubwa sana ya kuipromote Dodoma. Kwa wale walioangalia Tibisisi* alikuwa na kipindi cha twendeni idodyoma.
 6. bampami

  Evely Salt Amepatwa Na Nini?

  Ni mda sasa Bibie Evelyn Salt amekuwa banned kutotumia jamiiforum ni yapata miezi sasa. Kwani kafanya kosa gani mpaka apewe bann ya mda mrefu kiasi hiki?! Tukumbuke Evelyn Salt ni moja kati ya watu wakongwe sana humu jamvini nikiwepo nami pia. Toka 2009/10-12 tumekuwa humu, ni mcheshi sana...
 7. bampami

  Kwenu Wadada, Ujumbe Huu Uwafikie

  Acheni kutupa Sex, Kabla hatujawaoa. Sisi hatupendi hii tabia ila inatubidi tu. Kwa niaba ya @bmp
 8. bampami

  Hii Lugha Bora Ingerasimishwa Kwa Kiswahili Tu[emoji28]

  [emoji3516]Kichwa chajieleza
 9. bampami

  Mlingano Wa Hizi Picha Ni Utata Mtupu[emoji1787]

  Kwa Sisi Tuliotoka Vijijini Hapa Tumepigwa Changa La Macho. Labda Nyie Wa Huko Dar. [PICHA INAJIELEZA] [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
 10. bampami

  Kutoka Kona Ya Mpiga Picha Wetu

  Baada ya kusoma hili pandiko, natamani sana turejee kwenye dini za ma-ancestors wetu.
 11. bampami

  SWALI LA KIZUSHI KWENU

  Wasichana watatu walikuwa wanaoga katika bafu moja wakiwa uchi, ghafla mvulana mmoja akatokea. Msichana wa kwanza akaficha matiti yake Msichana wa pili akaficha uchi wake Msichana wa tatu akaficha uso wake. Je, ninani kati ya hao wasichana alitumia hekima?
 12. bampami

  Nimecheka Sana Leo.

  Haki kuna watanzania wanamajibu aisee...
 13. bampami

  MSAADA: Kwanini Tunakatwa Development Levy na Kodi kwa wakati mmoja?

  Naomba kujua kwenye payslip yangu, Nakatwa Development Levy, Wokers compensation, pamoja na kodi. Naomba kujua. Nini tofauti ya hiyo development levy na hiyo kodi? Ahsanteni.
 14. bampami

  Plot4Sale Nauza Mashamba yangu yapatayo hekari 6 "Chalinze kwa mboga"

  Wadau! Kama kichwa kilivyojieleza hapo juu, Nina hekari 6 zipo chalinze barabara ya kwenda moshi, unashukia kituo cha mboga, kutoka barabara kuu ni mwendo wa dakika 8-10 kwa bodaboda, kipo jirani na kiwanda cha matunda cha sayona(kama sikosei) Bei:1100,000 kwa hekari Eneo ni tambalale, na ni...
 15. bampami

  Yuko wapi kipenzi cha watanzania Edward Lowassa. Sijamwona msibani

  Igweee, Poleni na msiba watanzania wenzangu!! Baba yetu na aliyekuwa waziri mkuu wa awamu ya nne na mgombea kipenzi cha watanzania Mh. Edward lowassa ambaye kila shughuli za misiba na shughuli za furaha amekuwa yupo mbele kwa mbele kuhuzunika na wanaohuzunika na kufurahi na...
 16. bampami

  Mwenye kujua Yard inayouza Gari Hii Tafadhari

  Habari zenu, Naomba kama kuna mtu anajua wanapouza gari aina hii. Ni kwa ajili ya kubebea mzigo maswafa marefu kama 600kms hivi. Pia waweza nishauri brandi ipi ni nzuri mfano Toyota, TATA, au Mitsubishi. Ahsanteni
 17. bampami

  Serikali tunaomba mruhusu uhamisho wa watumishi

  Wa[emoji1241]wenzangu, Kwa sisi watumishi wa serikali, tumekuwa tukisubiri ruhusa ya uhamisho wa watumishi bila mafanikio, kiukweli kukaa mbali na familia ni jaribu lingine katika maisha, kwani: 1.Gharama za maisha zinakuwa juu kutokana na matumizi kuongezeka. 2.Mkikaa mbali kuna uwezekano...
 18. bampami

  Nikija Kuwa Mkubwa Nataka Niwe Kama Godbless J Lema

  Don't confuse the lenght of a relationship with the Strength of a relationship. "Godbless Lema" Jamani kwa wale wenye wake zao halali, TUWAPENDE WAKE ZENU JAMANI HAWA NDIO MARAFIKI ZENUU WANAOWAJUA NJE NDANI, HAO NDO THE BEST FRIEND EVER IN YOUR LIFE. MSIWAKWAZE. Sent using Jamii Forums...
 19. bampami

  AFYA: UNDANI WA SWALA LA MWANAUME KUSIMAMISHA UUME WAKATI WA ASUBUHI

  Jina sahihi la hali hii ni Nocturnal Penile Tumescence (NPT).Ni hali inayotokea karibia kwa kila mwanamme hasa vijana.Watu wengi huamini hutokana na kusisimka au kupanda kwa hisia za kufanya mapenzi jambo ambalo siyo sahihi sana kila muda. SABABU ZAKE Kuna sababu nyingi zinazopelekea kutokea...
 20. bampami

  "Natafuta Namna kukuadhibu" Hii Kauli Hii

  Kama kichwa kijielezavyo, Hii kauli ilitolewa juzi juzi na mmoja wa kiongozi wa muhimili mkubwa sana katika nchi... Kikwetu ukisema kauli hii ni kauli ya sayansi nyingine kabisa, ni kauli ammbayo anayeambiwa asipoomba msamaha kuna lolote la kumdhuru laweza mtokea, kisayansi yetu hii ni kauli...
Top